Kwako Mkuu wa Mkoa wa Dar (Kesi za Wizi Majumbani Zimeshamiri). Usalama hakuna

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,360
9,615
Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa.

Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena.

Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni.

Mko wapi?

Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule kigamboni, hapo ubungo. Kindononi, hadi maeneo ya pembezoni kama Makabe, msakuzi, msumi, madale kisenvule, Goba,, n.k. Kote ni hatari.

Au hadi mama afoke?

Wizi unaofanywa:
1. Vipuli vya magari na magari.
2. Wizi wa TV.
3. Wizi wa pesa na simu.
4. N.k.

Wasaidieni wananchi.

Lameck Akiwa Waziri Wa Mapolisi.

Aliwahi Kufutwa Kazi Kwa Kuzurura Akiacha Watu Wanakufa na Kuibiwa
 
Huu wizi wa ukibaka ni ngumu Sana polisi kuudhibiti kwa kuzingatia ratio ya polisi na raia.

Huu ukibaka kushamiri ni dalili za ukosefu mkubwa wa ajira kwa vijana,hilo ndilo jambo linapaswa kuangaliwa kwa upana wake.

Kijana asiye na ajira au kipato ni rahisi kushawishika kutenda uovu ili akidhi mahitaji, haogopi chochote maana hana cha kupoteza,hata kwenye maandamano watakuwa mstari wa mbele.Hili Ndio bomu alilosema Lowasa
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa.

Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena.

Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni.

Mko wapi? .

Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule kigamboni, hapo ubungo. Kindononi, hadi maeneo ya pembezoni kama Makabe, msakuzi, msumi, madale kisenvule, Goba,, n.k. Kote ni hatari

Au hadi mama afoke?.

Wizi unaofanywa.

1. Vipuli vya magari na magari.
2. Wizi wa TV.
3. Wizi wa pesa na simu.
4. N.k.

Wasaidieni wananchi.
Polisi waturuhusu tuwamalize wale tunaowakamata
 
Kule mtwara enzi zile walikuwa wakikamata mwizi wanamchekecha alafu wanamwacha wanamwambia ondoka dakika tano tuu anadondoka kwisha habari yake.
 
Kwann msifanye patrol na kuanzisha vikundi vya sungu sungu.... Mnawalipa kwa michango....... Mkipiga patrol kwa muda hao vibaka watatafuta kazi nyingine ya kufanya.
 
Mkuu wa Mkoa wa Dar pamoja na Mambosasa.

Hii hari ninayo isikia na kuona mtaani na kila ninapotembelea vituoa vya polisi sio nzuri. Usalama wa raia na mali zoa haupo tena.

Watu wanavamiwa mchana, usiku, asubuhi na jioni.

Mko wapi? .

Mfano: Staki shari kuna kesi kibao za watu kuibiwa. Kule kigamboni, hapo ubungo. Kindononi, hadi maeneo ya pembezoni kama Makabe, msakuzi, msumi, madale kisenvule, Goba,, n.k. Kote ni hatari

Au hadi mama afoke?.

Wizi unaofanywa.

1. Vipuli vya magari na magari.
2. Wizi wa TV.
3. Wizi wa pesa na simu.
4. N.k.

Wasaidieni wananchi.
 
Attachments

  • VID-20210420-WA0116.mp4
    12.8 MB
  • VID-20210420-WA0142.mp4
    18.5 MB
Back
Top Bottom