Tigo acheni wizi kwa vijana wa Kitanzania

KAYAMASKINI

Member
Oct 29, 2016
50
21
Awali ya ya yote ni kutaka kuwasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendeleeee vijana wa kitanzania waliopewa majina teamleder yasiokuwa na faida kabisa kwao na familia katika kampuni ya Tigo wanatumikisha sana zaidi ya miezi 8 mwisho anakuja kulipwa utopolo, binafisi imenisikitisha rafiki yangu amekuwa akihuzunika kushindwa kuendesha familia yake.

Waziri wa Kazi na Kamishna wa kazi wakati umefika sasa kutoa usaidizi kwako hapa nawafungashia name sms malipo yao mtu aliyefanya kazi mwezi mzima kalipwa kama malipo yake ya mwezi. Tigo nyinyi Daah Maisha haya kila nikikaa na kuyatafakari nawaza mbali Sana.

Kweli tunapitia magumu mengi Sana na changamoto nyingi Sana ktk kazi.

Mfano saa hizi wanasema tununue laini kwa bei punguzo sasa nawaza hapa kama team leader kalipwa sh 2000 au sh 1000 au hajalipwa kabisa huyu team leader ataipush vipi team ifanye kazi?

Hapo hapo team leader unajitoa kusafiri na team kwenda kupambana kwa gharama zako mfukoni mwako labda week matumizi yote hayo pengine unategemea ukilipwa commission utafidia hizo gharama commission inakuja tofauti unabaki umejiinamia kichwa chini huku unadaiwa Kodi ya nyumba Mara watoto wanataka wavae au wale hupati majibu commission umelipwa sh 2000 tu.

Maisha yana upendeleo sana mfano Mimi nimelipwa Commission yangu 8400 hapo nitoe Kodi ya pango la nyumba hapo hapo nilipia watoto ada ya shule hapo hapo nipush team iendelee na kazi mambo lukuki na majibu siyapati.

Yote ya yote nabaki natafakari na kumuachia mungu maana yeye ndo muweza wa yote laiti wangeona tunavyo teseka kutafuta namba vijijini wangekuwa wanatunea sana huruma lakini sababu wapo kwenye viyoyozi wametulia kwenye viti huku masikini ya Mungu tunahangaika kuzitafuta namba mtaani mvua yetu jua letu eeh mwenyezi mungu tuonyeshe njia ya kutufanya tuishi.)haya ni ya malamiko ya hao wanaowaita teamleder tigo ukiona mtu analalamika Hivi ujue kuna jambo.

IMG-20210503-WA0012.jpg
IMG-20210503-WA0013.jpg
 
Mwezi mzima unalipwa buku 2,ni kazi gani hiyo mkuu?
Piga chini iyo haraka sana tafuta issue zingine.
Duh,,,!'kuna watu wanapitia pagumu mno haya maisha.
 
Awali ya ya yote ni kutaka kuwasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendeleeee vijana wa kitanzania waliopewa majina teamleder yasiokuwa na faida kabisa kwao na familia katika kampuni ya Tigo wanatumikisha sana zaidi ya miezi 8 mwisho anakuja kulipwa utopolo, binafisi imenisikitisha rafiki yangu amekuwa akihuzunika kushindwa kuendesha familia yake.

Waziri wa Kazi na Kamishna wa kazi wakati umefika sasa kutoa usaidizi kwako hapa nawafungashia name sms malipo yao mtu aliyefanya kazi mwezi mzima kalipwa kama malipo yake ya mwezi. Tigo nyinyi Daah Maisha haya kila nikikaa na kuyatafakari nawaza mbali Sana.

Kweli tunapitia magumu mengi Sana na changamoto nyingi Sana ktk kazi.

Mfano saa hizi wanasema tununue laini kwa bei punguzo sasa nawaza hapa kama team leader kalipwa sh 2000 au sh 1000 au hajalipwa kabisa huyu team leader ataipush vipi team ifanye kazi?

Hapo hapo team leader unajitoa kusafiri na team kwenda kupambana kwa gharama zako mfukoni mwako labda week matumizi yote hayo pengine unategemea ukilipwa commission utafidia hizo gharama commission inakuja tofauti unabaki umejiinamia kichwa chini huku unadaiwa Kodi ya nyumba Mara watoto wanataka wavae au wale hupati majibu commission umelipwa sh 2000 tu.

Maisha yana upendeleo sana mfano Mimi nimelipwa Commission yangu 8400 hapo nitoe Kodi ya pango la nyumba hapo hapo nilipia watoto ada ya shule hapo hapo nipush team iendelee na kazi mambo lukuki na majibu siyapati.

Yote ya yote nabaki natafakari na kumuachia mungu maana yeye ndo muweza wa yote laiti wangeona tunavyo teseka kutafuta namba vijijini wangekuwa wanatunea sana huruma lakini sababu wapo kwenye viyoyozi wametulia kwenye viti huku masikini ya Mungu tunahangaika kuzitafuta namba mtaani mvua yetu jua letu eeh mwenyezi mungu tuonyeshe njia ya kutufanya tuishi.)haya ni ya malamiko ya hao wanaowaita teamleder tigo ukiona mtu analalamika Hivi ujue kuna jambo.

Hapa tatizo siyo TIGO bali wewe usielewa maana ya commission. Kwenye commission unalipwa kufuatana na mauzo. Ndiyo maana huwezi ukategemea commission kuendesha maisha yako. Wengi wanaofanya hiyo kazi huwa na kazi nyingine inayowaingizia ki[pata. Kwa mfano unaweza kuwa na duka au biashara yoyote kuu. Hii ya vocha na kuuza laini za simu inakuwa ni kama "something extra". Usitemee TIGO wakupe commission ya laki tatu au nne huku wewe umeuza mali yenye thamani ya elfu hamsini au laki moja. Kama commission ni 1.5% tegemea kupata 1,500 kwa kuuza mali ya elfu hamsini au 15,000 kwa laki tano. Unachotakiwa ni kujuwa wanakulipa vipi! kwa asili mia kiasi gani. They cannot just throw money at you.
 
Umeandika kama afisa wa tigo
 
Back
Top Bottom