wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bepari la bariadi

    JamiiForums Tanzania Kuna tahadhari za kuongezeka matukio ya ujambazi na unyang'anyi, mamlaka husika zimeshindwa?

    Pasipo kumung'unya maneno Hali ya usalama wa raia na Mali zao imetikiswa kwa kipindi hiki, matukio ya ujambazi, unyang'anyi, ukwapuaji, na ukabaji yameendelea kushamiri sasa licha ya kuwepo na matamko mbali mbali kutoka kwa wenye dhamana na usalama wa raia. Kama halijakukuta Basi fanya simple...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Hili la wizi wa mafuta TPA linaumiza vichwa

    Kwanza kabisa nimpongeze DC wa Kigamboni kwa swala zima la kuwabaini wezi wa mafuta kwenye mabomba ya mafuta ya mamlaka ya Bandari tanzania (TPA) kule Kigamboni cha kushangaza kabisa eti TPA nao wanadiriki kupongeza juhudi za mkuu wa Wilaya katika kuwabaini wezi wa mafuta. Hii ni aibu kubwa...
  3. 666 chata

    JamiiForums Tanzania NMB haya makato yenu kwenye mobile app ni makubwa sana na wizi uliovuka mipaka. Ushahidi huu hapa

    Siku zote nimekuwa nikitoa hela kwa kutumia application ya NMB Mobile Bank na mara zote hizo sikuwai kuwa makini na masuala ya ada ya makato ambayo inachukuliwa na hawa NMB, mpaka pale nilipoamua niangalie huwa wanachukua shilingi ngapi ndipo niliposhangazwa zaidi. Nilianza kutoa laki moja na...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Vijana 34 wakamatwa kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki

    Jeshi la Polisi mkoa wa Morogoro linawashikilia vijana 34 kwa tuhuma za wizi wa kukwapua mali za wananchi kwa kutumia pikipiki ambapo jumla ya pikipiki nane zinashikiliwa na jeshi hilo. Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro SACP Fortunatus Musilimu, amesema kuwa watu hao wamekamatwa katika maeneo...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma Tanzania hautakoma mpaka pale Serikali itakapoamua rasmi nchi hii iendeshwe Kijamaa

    Habari waungwana! Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili. Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo ambalo tuko kinyume nalo. Wizi upo Ufisadi upo Rushwa ipo na Unyonyaji upo. Unyonyaji ndio baba wa...
  6. Geza Ulole

    JamiiForums Tanzania Jinsi Serikali inavyoweza kuzuia wizi wa mafuta Kigamboni

    Kwako mama Samia, Inasikitisha kuona wizi wa mafuta bado upo tena sasa ni unaendelea kuwadhulumu wafanyabiashara wa mafuta wanaotumia Kurasini Oil Jetty yaani baada ya kusomeka katika flowmeter mafuta yananyonywa na wanaonunua wanabaki wakipata mafuta pungufu. Hii si sawa!! Nashauri bomba lote...
  7. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Sera ya 'Maridhiano' ya Samia Suluhu inarudisha wizi Serikalini

    Watanzania wanajua rais wanayemtaka. Wanataka rais ambaye ata- sacrifice maisha yake kulinda rasilmali za nchi lakini hapa tunaye rais anayeongea kuhusu maridhiano na anawawezesha watu kuiba tena. Si ndio maana watu walikuwa wanauliza kama mwanamke anaiweza hii kazi ya urais. Rais hachaguliwi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Posho wanazojilipa Wakurugenzi na Mameneja huwa ni wizi mtupu! Bila kuzifuta posho hatutoboi

    Ukizunguka wizarani na kwenye mashirika kuna hawa watu wanaitwa wakurugenzi na mameneja (senior staff) Hawa watu wameajiliwa kwa mishahara mikubwa sana average 2m ~8m kwa mwezi kama malipo ya mshahara katika majukumu yao! Lakini cha ajabu kila jukumu la kazi huwa lina posho! Mfano! Kuandaa...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kama Halima et al wanalipwa hela wasizostahili/za "wizi" na Mamlaka zimebariki, basi mwenye nafasi ya kulipwa asichostahili ni SAWA

    Tusiwe na double standards. Halima et al wanalipwa mabilioni bila kuwa wabunge kama sheria inavyotaka na Mamlaka Kuu za Serikali zimebariki including the Executive, basi waacheni na wa Wizara ya fedha nao "wapige" pesa kama akina Halima wanavyopiga pesa. Simple!
  10. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania VUDEO: Ni uchunguzi gani ili mtu ajue kuwa huu ni wizi mtupu kwa jina la "malipo ya posho ya.....??"

    Hii kitu kama kweli imefanyika Wizara ya fedha - HQ, basi tuna tatizo kubwa sana na usalama wa fedha ya umma chini ya watu hawa... Waziri wa fedha kwa sasa ni Mwigulu Chemba. Kwa takwimu hizi za wizi huu wakati unafanyika zinazotolewa na PM, Mwigulu alikuwa hajawa Waziri bado... Wakati huo...
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizi wa bodaboda watikisa Kilimanjaro

    Wizi wa pikipiki zinazosafirishwa kwenda kuuzwa nchi jirani umeutikisa Mkoa wa Kilimanjaro. Wizi huo umekithiri zaidi katika wilaya za Moshi na Rombo pamoja na Mji wa Mirerani. Chama cha Wamiliki na Waendesha Bajaji Mkoa wa Kilimanjaro (CWBK) kinakadiria wastani wa pikipiki 100 huibwa kila...
  12. M

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  13. Chimo

    JamiiForums Tanzania Airtel kwa wizi huu nawahama

    Nitasikitika mamlaka Kama hazitakaa kuichukulia hatua kali za kisheria kampuni hii ya mawasiliano ya Simu za mkononi ya Airtel hapa nchini kwetu kwa wizi. Airtel wafanyakazi wenu wasio waaminifu hawawezi kuzibeba wala kuwa Na Dhamana baina yao na sisi wateja wenu bali ni nyie waajiri wao kwa...
  14. MAMESHO

    JamiiForums Tanzania TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  15. dubu

    JamiiForums Tanzania Uhujumu Miundombinu: Vifaa vya ujenzi daraja la Busisi vyaibwa, watu 8 mbaroni

    Vifaa vyenye thamani ya bilioni 16 vya kujenga daraja la Busisi vimeibwa eneo la Kigongo Busisi Mwanza Jeshi la Polisi mkoani Mwanza linawashikilia watu 8 kwa tuhuma za wizi wa vifaa vya ujenzi wa daraja la JPM linalojengwa kwa fedha za serikali, zaidi ya bilioni 600 katika eneo la...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dar: Polisi Wakamata Watuhumiwa 161 wanaojihusisha na wizi wa vifaa vya magari, pikipiki na uvunjaji

    JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA MAMBO YA NDANI JESHI LA POLISI TANZ TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA 161 WANAOJIHUSISHA NA WIZI WA VIFAA VYA MAGARI, PIKIPIKI NA UVUNJAJI. Ndugu Wana habari, Mnamo tarehe 20.04.2021 na 24.04.2021 nilitoa taarifa kwa umma za...
  17. KAYAMASKINI

    JamiiForums Tanzania Tigo acheni wizi kwa vijana wa Kitanzania

    Awali ya ya yote ni kutaka kuwasalimu kwa jina la Jamhuri na kazi iendeleeee vijana wa kitanzania waliopewa majina teamleder yasiokuwa na faida kabisa kwao na familia katika kampuni ya Tigo wanatumikisha sana zaidi ya miezi 8 mwisho anakuja kulipwa utopolo, binafisi imenisikitisha rafiki yangu...
  18. Ryan The King

    JamiiForums Tanzania Hii hela ya Field tunayotoa Watu wa Diploma mbona ni kama wizi

    Wakubwa shikamoo Tuliolingana Mambo Vipi!! Wakuu naomba nipo mwaka wa tatu, nasomea Diploma ya Clinacal Officer, CO Wiki ijayo tunaenda Field Sasa kinachonishangaza ni hizi gharama za Field tulizoambiwa tutoa Hapa chuoni kwetu kuna wanaotoa 170,000, wengine 180,000 mpaka 200,000 Hizo hela...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Airtel acheni michezomichezo katika Vifurushi, Wananchi tunaona!

    Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu. Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama. Tunaitaka mitandao...
  20. Mr. MTUI

    JamiiForums Tanzania Wizi wa catalytic converter kwenye magari 'Masega'

    Aisee kuna wizi unafanyika kwenye magari. Mafundi wasio waaminifu wanakata exhaust na kuremove unga unga uliopo kwenye exhaust (bomba la moshi). Inasemekana wanauuza huo unga kwa watu wnaorexycle na wanauza kuanzia laki hadi laki tatu kwa kiloSo kuwa makini na mafundi wako. Catalytic converters...
Back
Top Bottom