wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa dawa zenye thamani ya Tshs 26.7 billioni wabainika kwenye Hospitali za Rufaa za mikoa 28 Tanzania bara

    Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
  2. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Upigaji Kivuko cha Busisi

    Kuna wizi unaendelea siku ya 3 Leo kivuko cha busisi Mwanza. Wananchi wanalipia huduma ya Choo bila receipt wala machine siku ya 3 sasa. Watu wanatoa km sadaka kanisani. Nimejaribu kuuliza kwanini hawatoi receipt wala mashine nimeambiwa ni maelekezo kutoka ofisi ya TEMESA. Pia, nimemuuliza...
  3. J

    JamiiForums Tanzania TCRA wakomesha wizi wa kwenye mitandao tuma ujumbe kwenda namba 15040

    Endapo umetapeliwa au umetumiwa ujumbe wa utapeli, tuma ujumbe husika na namba ya aliyekutapeli au kukutumia ujumbe wa utapeli kwenda 15040. Huduma hii ni bure. Tushirikiane kutokomeza utapeli kupitia simu za mikononi. Sambaza ujumbe huu cc @TCRA_Tz @ConsumerCcc
  4. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania DC Muro avuruga mtandao wa wizi wa ng’ombe za watu majumbani

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako mikononi mwa vyombo vya dola. Dc Muro amelazimika kuingilia kati baada ya ng’ombe zaidi ya 13 kuibwa kwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na wizi wa kifurushi cha siku: Hayatimii masaa 24, hata ukijiunga saa 11:00 jioni ikifika saa 10:59 jioni ya siku hiyohiyo kifurushi kinaisha

    Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo. Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
  6. Kisusi Mohammed

    JamiiForums Tanzania Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Habari za majukumu wanajamii, Habari hii ni kupata uzoefu zaidi, kutahadharishana na kuwekana sawa wakati huu mgumu wa uchumi wa kati. Nimekutana na matukio mawili kwa nyakati tofauti ya kuibiwa na wahudumu wanaotoa huduma ya kuweka mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha TOTAL kilichopo...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Aina nyingine ya wizi mpakani Tunduma

    Habari ya asubuhi wanajamii, sasa naomba vyombo vya dola viangalie hili tatizo pale Tunduma border. kumezuka kikundi cha watu wanajiita umoja wa madriver wa IT. Yaani gari zinazovuka mpaka wetu, hawa jamaa wanachukua eti ushuru wa shs 5000/ kila gari tena ni lazima, ukiwauliza wanasema ni...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutafunga kila mtu kwa wizi wa dawa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote. Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
  9. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Airtel acheni wizi

    Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje...
  10. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Control Number imepunguza Wizi

    Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii. Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa. NB: Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Huu mfumo unachangia upotevu wa mapato na wizi Serikalini

    Tanesco wanazalisha umeme na kuuza kwa taasisi za Serikali. Taasisi za umma zinakusanya pesa na kuziwasilisha hazina moja kwa moja, lakini Tanesco wanakwenda kwenye taasisi za umma kukata umeme kwa sababu wameshindwa kullipa bili huku pesa za kulipa bili zikitoka hazina. Kwa bajeti ya umeme...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa wizi wa magari wanaswa Njombe

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe

    Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Watumishi 23 MOI wachunguzwa madai ya wizi wa Dawa na Vifaa Tiba

    Watumishi 23 wa Idara ya Famasia katika Taasisi ya Mifupa (Moi) wanachunguzwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) kwa madai ya wizi wa dawa na vifaa tiba vyenye thamani ya Tsh1.2 bilioni. Hayo yameelezwa leo Jumatano Januari 13, 2021 na mkurugenzi mkuu wa Takukuru...
  15. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Hongera NECTA kwa kusambaratisha wizi wa mitihani Wilaya ya Kilindi

    Hakuna jambo baya kama wizi wa mitihani kwani hupelekea kupata mabosi Vilaza na kutuletea tabu kwenye taifa. Wilaya ya Kilindi ilikua ni mojawapo ya Ngome za uvujaji wa mitihani , ilifikia hatua mpaka mitihani ya MOCK ilisoviwa, wadau mbali mbali walipigia kelele suala hili Mimi binafsi...
  16. Wizara ya Afya Tanzania

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri wa Afya Dkt. Mollel abaini wizi wa dawa za Tsh Milioni 9 katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amebaini wizi wa dawa unaofanyika katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Rukwa ambapo katika ushahidi alionao amesema kuwa Idara ya Famisia imehusika katika upotevu wa dawa za thamani ya Tsh Milioni 9. Dkt...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Njombe: Watu Wanne watiwa nguvuni kwa tuhuma za wizi wa nyaya za umeme

    Kamanda wa polisi mkoa wa Njombe Hamis Issa akizungumza mara baada ya kuwakamata watu wanne wenye hatia ya kuiba nyaya za Umeme Mkoani humo. WAKATI Serikali ikielekeza nguvu kuhakikisha kila Mtanzania ananufaika na nishati ya umeme, mkoani Njombe watu wanne wanashikiliwa na Jeshi la Polisi...
  18. C

    JamiiForums Tanzania Je kuna uwezekano wa Mtu kufanya wizi kwa Account ya mtu, kwa kupitia Account namba tu?

    Wakuu kuna hili swali nimekua nikijiuliza, ika nikaona ni bora nipate na mawazo ya wadau kutoka humu kwa katika jukwaa hili la Great Thinker. Hivi inawezekana mtu kufanya uhalifu(wizi) kwa kupata Account/Akaunti namba ya mteja wa Benki fulani? Sijui nimeeleweka wakuu.
  19. Course Coordinator

    JamiiForums Tanzania Airtel kabla hayajawakuta yakuwakuta shughulikieni hili la wizi wa vifurishi vya internet..

    Airtel Airtel Airtel . Huu wizi mnaotufanyia katika vifurushi sio mzuri mmefanya ndugu yangu arudi vodacom wakati alishatupa na line zao mbili. Haiwezekani ununue 5MB za siku 7 Halafu baada ya muda mnitumie sms kuwa umetumia 90% ya 2.5GB zako. Sasa kama Elfu 5 ni sawa na 2.5GB kwa nini...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Wizi wa pesa za Umma sababu ya Raia kukosa elimu husika

    Jana tarehe 14-12-2020 nilisafari kwa basi dogo maarufu kama Coaster kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma muda ukiwa umeenda kidogo kwa sababu nilikuwa na ratiba ngumu iliyopelekea kusafiri usiku. Tulisfiri kwa tabu kidogo kwa sababu coaster tuliyopanda Mbezi mwisho ilipofika Morogoro ilitufaulisha...
Back
Top Bottom