Airtel acheni michezomichezo katika Vifurushi, Wananchi tunaona!

Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,476
2,000
Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu.

Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama.

Tunaitaka mitandao, iache mara moja michezo hii ya kijinga, wasifikiri sisi wananchi hatuoni

Nausema specifically mtandao wa Airtel kwa sababu natumia vifurushi vyake.

Huu mtandao kabla ya Sakata la kubadili bei za vifurushi, ulikuwa mtandao fair lakini naona siku hizi nao kama unafanya michezo ya ajabu ajabu

Tunataka TCRA, Waziri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Airtel walifanyie kazi suala hili,Kuna kitu hakijakaa sawa!
 
butron

JF-Expert Member
Jun 3, 2013
1,469

Mkuu ni kweli mimi mara nyingi wanakula MB zangu kabla ya muda wa matumizi kuisha.
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
4,477
2,000
Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu.

Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama.

Tunaitaka mitandao, iache mara moja michezo hii ya kijinga, wasifikiri sisi wananchi hatuoni

Nausema specifically mtandao wa Airtel kwa sababu natumia vifurushi vyake.

Huu mtandao kabla ya Sakata la kubadili bei za vifurushi, ulikuwa mtandao fair lakini naona siku hizi nao kama unafanya michezo ya ajabu ajabu

Tunataka TCRA, Waziri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Airtel walifanyie kazi suala hili,Kuna kitu hakijakaa sawa!

ukitaka kujua kama data zako znaibiwa fanya hivi

start using your data ukishamaliza kwenye simu, now you can view kwenye app pia
lakini pia its very hard for airtel au mtandao wowote wa simu , kukuibia data because they dont control it after umenunua!
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,969
2,000
Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu.

Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama.

Tunaitaka mitandao, iache mara moja michezo hii ya kijinga, wasifikiri sisi wananchi hatuoni

Nausema specifically mtandao wa Airtel kwa sababu natumia vifurushi vyake.

Huu mtandao kabla ya Sakata la kubadili bei za vifurushi, ulikuwa mtandao fair lakini naona siku hizi nao kama unafanya michezo ya ajabu ajabu

Tunataka TCRA, Waziri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Airtel walifanyie kazi suala hili,Kuna kitu hakijakaa sawa!
Kumbe hata ujanja wa kujua unacholipia ndicho upewacho huna?! Are you that low!
 
Gagnija

JF-Expert Member
Apr 28, 2006
8,969
2,000
ukitaka kujua kama data zako znaibiwa fanya hivi

start using your data ukishamaliza kwenye simu, now you can view kwenye app pia
Njia zipo nyingi tu. Siku zote nimem-overrate huyu anayejiita missile of the nation nikifikiri ni mwelewa kumbe naye ni product ya vyuo vyetu vya kata.
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
9,476
2,000
Njia zipo nyingi tu. Siku zote nimem-overrate huyu anayejiita missile of the nation nikifikiri ni mwelewa kumbe naye ni product ya vyuo vyetu vya kata.
Naongea ninachokijua kiongozi, sikurupuki!

Si vibaya mtu kama wewe kuwa na Imani na makampuni kuwa wanakupa kilekile na kwamba wako fair kwenye kukuacha utumie data zako bila kukufanyia uhuni, but unfortunately this is not the case!, who feels it knows it well!

Nilikuwa nimebakiwa na 500MB, na within few minutes wananiambia 0MB wakati sidownload kitu chochote hata kwenye background hakuna updates zozote zinazorun, how dare they?, Na hii kitu imekuwa ikitokea frequently nowadays, haikuwa hivyo kwa Airtel kabla ya sakata la bei za vifurushi

Haiwezrkani let say Zamani ulikuwa unaweka GB 1 inakutosha Siku moja na nusu halafu leo hii unaweka GB 1 inakaa nusu siku tu na huku huna Matumizi ya Ziada kuliko zamani!

Kuregulate access ya bandwidth wala siyo kitu ambacho makampuni ya simu yanashindwa, yanaweza kwa mfano kupitia kwenye system kuset mtu atumie 75% ya given bandwidth then baada ya hapo data yake kwenye system ijiset to 0. Sasa ukiwa layman wewe unanunua data tu, wala hufuatilii, wewe unaweka tu mavifurushi bila kuangalia salio kumbe unapigwa 25% ya data yako.
 
Chendembe

Senior Member
Oct 20, 2019
109
250
Baada ya agizo ka kurudisha bei za vifurushi vya zamani, umetokea mchezo wa kijinga wa baadhi ya makampuni ya Simu.

Sasa hivi wanachokifanya, kwenye menu ya kuchagua vifurushi kweli wanaweka bei za Zamani, Lakini ikija kwenye Matumizi ya data, data inakwenda kasi kinyama.

Tunaitaka mitandao, iache mara moja michezo hii ya kijinga, wasifikiri sisi wananchi hatuoni

Nausema specifically mtandao wa Airtel kwa sababu natumia vifurushi vyake.

Huu mtandao kabla ya Sakata la kubadili bei za vifurushi, ulikuwa mtandao fair lakini naona siku hizi nao kama unafanya michezo ya ajabu ajabu

Tunataka TCRA, Waziri wa Mawasiliano na Mkurugenzi wa Airtel walifanyie kazi suala hili,Kuna kitu hakijakaa sawa!
Airtel hata bei za vifurushi hawajabadilika kivilee. Kuna ujanja ujanja wa kubadili lugha ya majina ya vifurushi tuuu.
 
Chendembe

Senior Member
Oct 20, 2019
109
250
Airtel ndo mtandao wa mwisho kutekeleza urudishwaji wa bei za vifurushi. Nilitegemea wangekuja vizuri, lakini so lolote, wamezuga tuuu
 
Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,140
2,000
Hili na mimi limenikumba nikaamua kuwakimbia airtel kwa muda... unaweka 500 mb nusu saa imeisha... na matumizi ni kama ya kawaida tu. Wizi mtupu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom