Mkingaleo

Member
May 13, 2021
68
74
Ninawasalimu wanajukwaa wa JF

Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa haki za walimu.

Manaibu Makatibu hao Naima Twalib wa Tanga Jiji na Thomas Mnkande wa Mkinga Halmashauri wamegeuza ofisi kua pango la kupigia fedha za umma. Makatibu hao wote wawili kwa nia ovu kabisa wamekua hawawashirikishi wasaidizi wao katika masuala yakiofisi ikiwemo kushuhulikia kero za watumishi ndani ya Halmashauri zao.

Badala yake wanapokea maelekezo kutoka kwa wakurugenzi na maafisa elimu ili kuwakandamiza walimu. Ofisi hizo zimegeuka kama wapo chini ya wakurugenzi na maafisaelimu. Hata kesi za kinidhamu hawawashirikishi watumishi kwenye ofisi zao bali wanashuhulikia mashauri ya walimu kwa matakwa ya wakurugenzi. TSC Tanga na Mkinga sio watetezi wa walimu bali niwapiga dili kupitia Naima na Mnkande

Wanaminya haki za watumishi wenzao ndani ya ofisi kwakiburi na dharau eti kwasababu wao niwakongwe hawataguswa na mtu yeyote. Pia wanajisifu kwamba wana watu wao TSC Makao Makuu Dodoma na Ummy Mwalimu nae eti ni wanammudu.Hiyo ni aina ya rushwa serikali liangalieni

KUBWA KULIKO ZOTE NI WATUMISHI HAO KUSAINIANA ILI WATOE FEDHA ZA OFISI. Ukweli ni kwamba naibu katibu wa Tanga Jiji amekua ndio signatory wa TSC Mkinga na yule wa TSC Mkinga amekua signatory wa Tanga Jiji tena kwa muda mrefu sasa.Huu ni wizi wa dhahiri na mamlaka zimewafumbia macho.

Manaibu makatibu hao wameota pembe zaidi maana hata TSC Makao Makuu wameshapewa taarifa za uvunjaji huo wa taratibu za fedha lakini hawachukui hatua. Inaonekana KUNA MGAO WANAPELEKA MAKAO MAKUU NDIO MAANA WANALINDWA. Hii inadhihirika pale watumishi wa ofisi za TSC Tanga na Mkinga wakilalamika kwa mamlaka zao Dodoma hakuna hatua zozote.

Wakaguzi wa ndani hawajaona huu uvunjifu wa sheria ndani ya hizi halmashauri? Wakurugenzi hawajaona huu wizi? Au kwakua wanabebana wanapopeana maelekezo. Inakuaje mtu atoke Tanga Jiji akasaini Mkinga na mwingine atoke Mkinga Halmashauri akasaini Tanga ikiwa ofisi zote zina watumishi wenye vigezo vya kufanya mambo hayo?Wizitu na kufanya kazi kimapenzi na kwamazoea kwa wazee hawa vikomeshwe.

Wanatembeza mgao na kupiga sana tunguli ndio maana hawaguswi. Kutwa kucha wanapigiana simu za kujadili waganga wazuri walipo ili waendelee kushikilia ofisi. Wala hawajali maslahi ya watumishi sanasana wanaibatu hela za serikali.

Waziri Ummy awashuhulikie hawa wazee wanaofanya kazi kimapenzi na kwamazoea waondoke ofisini waletwe viongozi wanao wajali na kuwasikiliza watumishi na sio hawa wazee wawili ambao wapotu kwaajili ya kupokea maelekezo kutoka kwa wakurugenzi na maafisaelimu kwa lengo la kukandamiza watumishi.

Ummy usiwalinde hawa tunakuamini wewe ni mchapakazi kama ulivyofanya kwa wale wakurugenzi wa halmashauri hawa nao wasimamishe wapishe uchunguzi. Niwezi wa mchana kweupe tena wezi wazee ukiwaona wanatia huruma lakini niwezi sana.

Mh. Ummy lifanyie kazi. Katibu mkuu Tamisemi na Utumishi sikieni kilio cha walimu wa Tanga na Mkinga
 
Ninawasalimu wanajukwaa wa JF

Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa haki za walimu.

Manaibu Makatibu hao Naima Twalib wa Tanga Jiji na Thomas Mnkande wa Mkinga Halmashauri wamegeuza ofisi kua pango la kupigia fedha za umma. Makatibu hao wote wawili kwa nia ovu kabisa wamekua hawawashirikishi wasaidizi wao katika masuala yakiofisi ikiwemo kushuhulikia kero za watumishi ndani ya Halmashauri zao.Badala yake wanapokea maelekezo kutoka kwa wakurugenzi na maafisa elimu ili kuwakandamiza walimu. Ofisi hizo zimegeuka kama wapo chini ya wakurugenzi na maafisaelimu. Hata kesi za kinidhamu hawawashirikishi watumishi kwenye ofisi zao bali wanashuhulikia mashauri ya walimu kwa matakwa ya wakurugenzi. TSC Tanga na Mkinga sio watetezi wa walimu bali niwapiga dili kupitia Naima na Mnkande

Wanaminya haki za watumishi wenzao ndani ya ofisi kwakiburi na dharau eti kwasababu wao niwakongwe hawataguswa na mtu yeyote. Pia wanajisifu kwamba wana watu wao TSC Makao Makuu Dodoma na Ummy Mwalimu nae eti ni wanammudu.Hiyo ni aina ya rushwa serikali liangalieni

KUBWA KULIKO ZOTE NI WATUMISHI HAO KUSAINIANA ILI WATOE FEDHA ZA OFISI. Ukweli ni kwamba naibu katibu wa Tanga Jiji amekua ndio signatory wa TSC Mkinga na yule wa TSC Mkinga amekua signatory wa Tanga Jiji tena kwa muda mrefu sasa.Huu ni wizi wa dhahiri na mamlaka zimewafumbia macho.

Manaibu makatibu hao wameota pembe zaidi maana hata TSC Makao Makuu wameshapewa taarifa za uvunjaji huo wa taratibu za fedha lakini hawachukui hatua. Inaonekana KUNA MGAO WANAPELEKA MAKAO MAKUU NDIO MAANA WANALINDWA. Hii inadhihirika pale watumishi wa ofisi za TSC Tanga na Mkinga wakilalamika kwa mamlaka zao Dodoma hakuna hatua zozote.

Wakaguzi wa ndani hawajaona huu uvunjifu wa sheria ndani ya hizi halmashauri? Wakurugenzi hawajaona huu wizi? Au kwakua wanabebana wanapopeana maelekezo. Inakuaje mtu atoke Tanga Jiji akasaini Mkinga na mwingine atoke Mkinga Halmashauri akasaini Tanga ikiwa ofisi zote zina watumishi wenye vigezo vya kufanya mambo hayo?Wizitu na kufanya kazi kimapenzi na kwamazoea kwa wazee hawa vikomeshwe

Wanatembeza mgao na kupiga sana tunguli ndio maana hawaguswi. Kutwa kucha wanapigiana simu za kujadili waganga wazuri walipo ili waendelee kushikilia ofisi. Wala hawajali maslahi ya watumishi sanasana wanaibatu hela za serikali.

Waziri Ummy awashuhulikie hawa wazee wanaofanya kazi kimapenzi na kwamazoea waondoke ofisini waletwe viongozi wanao wajali na kuwasikiliza watumishi na sio hawa wazee wawili ambao wapotu kwaajili ya kupokea maelekezo kutoka kwa wakurugenzi na maafisaelimu kwa lengo la kukandamiza watumishi.
Ummy usiwalinde hawa tunakuamini wewe ni mchapakazi kama ulivyofanya kwa wale wakurugenzi wa halmashauri hawa nao wasimamishe wapishe uchunguzi. Niwezi wa mchana kweupe tena wezi wazee ukiwaona wanatia huruma lakini niwezi sana.

Mh. Ummy lifanyie kazi. Katibu mkuu Tamisemi na Utumishi sikieni kilio cha walimu wa Tanga na Mkinga

E0NhMwdXIAAW0HL.jpeg
 
Ninawasalim wanajukwaa. Ninatumaini maandalizi ya Eid el fitri yameenda vizuri.
Ninaandika uzi huu kuiambia jamii ya kitanzania na wengine wajue adha zinazosababishwa na viongozi wa halmashauri ya Mkinga.
Naibu katibu was TSC Mkinga ndugu Thomas Mnkande akishirikiana na Afisaelimu Sekondari mwalimu Omari Kombo hawataki kuwatendea walimu haki. Walishirikiana na viongozi wengine kumtengenezea zengwe mwenyekiti wa CWT Mkinga.
Mwenyekiti huyo wa CWT alitengenezewa zengwe baada ya kuonekana kwamba anawatetea walimu haki zao. Aliulizia namna ambavyo TSC wanashughulikia maslahi ya walimu. Kilichotokea ni viongozi miungu watu kutengeneza hujuma na baadhi ya wajumbe was TSC kupewa bahasha za kaki ili mwalimu huyo afukuzwe kazi. Kwani hamtaki watu wakiulizia maslahi yao wasipopewa mtachukua ninyi? Acheni mambo ya ajabu mnatia aibu hata hao waliowaweka hapo. Kombo anajifanya hatumjui kwamba aliwekwa na aliyekua waziri mmoja wa hapo kwao Mkinga. Hana sifa ya kua Afisaelimu ni majungutu na majigambo. Anajitia ni bingwa wa fitna.
Hata mkurugenzi nae alishiriki dhambi hii maana walishiriki kutengeneza tuhuma hewa na kumshawishi naibu katibu wa TSC kumfungulia mwenyekiti wa CWT mashtaka. Aibu kwenu wote Kombo,Mnkande na huyo mtu wako wa kufa na kuzikana naibu katibu wa TSC Tanga mjini Naima Twalib ambae anakufundisha kutengenezea walimu tuhuma. Naima na Mnkande wameigeuza Mkinga ni yao maana Naima ni signatory wa Mkinga. Mkurugenzi wa Mkinga anajua na hasemi lolote. Aibu kubwa

Mungu mkubwa maana baada ya Afisaelimu msingi mwalimu Omari Mashaka kujua ukweli wa sakata hilo yeye akajitoa kabisa. Hivyo bahasha ya kaki yeye haikumhusu.
Katibu wa TSC amekua mkandamizaji na hataki kutatua kero za walimu. Anaendekeza wizi,rushwa,vitisho na kupiga tunguli huko kwao ili abaki kazini.
Wakiungana na Omari Kombo Afisaelim sekondari nimambo yahovyo wanafanya. Kombo anadai Ummy yupo mikononi na hawezi kufurukuta mbele yao.

Ummya kama unaweza watu wako hao na hayo ni machachetu
 
Ninawasalim wanajukwaa. Ninatumaini maandalizi ya Eid el fitri yameenda vizuri.
Ninaandika uzi huu kuiambia jamii ya kitanzania na wengine wajue adha zinazosababishwa na viongozi wa halmashauri ya Mkinga.
Naibu katibu was TSC Mkinga ndugu Thomas Mnkande akishirikiana na Afisaelimu Sekondari mwalimu Omari Kombo hawataki kuwatendea walimu haki. Walishirikiana na viongozi wengine kumtengenezea zengwe mwenyekiti wa CWT Mkinga.
Mwenyekiti huyo wa CWT alitengenezewa zengwe baada ya kuonekana kwamba anaqatetea walimu haki zao. Aliulizia namna ambavyo TSC wanashughulikia maslahi ya walimu. Kilichotokea ni viongozi miungu watu kutengeneza hujuma na baadhi ya wajumbe was TSC kupewa bahasha za kaki ili mwalimu huyo afukuzwe kazi.
Hata mkurugenzi nae alishiriki dhambi hii maana walishiriki kutengeneza tuhuma hewa.

Naibu katibu was TSC Mkinga ndugu Thomas Mnkande akishirikiana na Afisaelimu Sekondari mwalimu Omari Kombo hawataki kuwatendea walimu haki.

Walishirikiana na viongozi wengine kumtengenezea zengwe mwenyekiti wa CWT Mkinga.
Mwenyekiti huyo wa CWT alitengenezewa zengwe baada ya kuonekana kwamba anawatetea walimu haki zao. Aliulizia namna ambavyo TSC wanashughulikia maslahi ya walimu. Kilichotokea ni viongozi miungu watu kutengeneza hujuma na baadhi ya wajumbe was TSC kupewa bahasha za kaki ili mwalimu huyo afukuzwe kazi.
Hata mkurugenzi nae alishiriki dhambi hii maana walishiriki kutengeneza tuhuma hewa.

Mungu mkubwa maana baada ya Afisaelimu msingi mwalimu Omari Mashaka kujua ukweli wa sakata hilo yeye akajitoa kabisa. Hivyo bahasha ya kaki yeye haikumhusu.
Katibu wa TSC amekua mkandamizaji na hataki kutatua kero za walimu. Anaendekeza wizi,rushwa,vitisho na kupiga tunguli huko kwao ili abaki kazini.
Wakiungana na Omari Kombo Afisaelim sekondari nimambo yahovyo wanafanya. Kombo anadai Ummy yupo mikononi na hawezi kufurukuta mbele yao.
Ummy watu wako hao eti wanadai nyie wote wazawa hata huwafanyi kitu
 
Naona uzi mwingine umesema Katibu Mkuu hapa Naibu. Ni wote au mmoja?
 
Hiyo Mkinga ipo wapi ili Mama akisoma hapa apige simu moja kwa moja?
 
Ninawasalim wanajukwaa. Ninatumaini maandalizi ya Eid el fitri yameenda vizuri.
Ninaandika uzi huu kuiambia jamii ya kitanzania na wengine wajue adha zinazosababishwa na viongozi wa halmashauri ya Mkinga.
Naibu katibu was TSC Mkinga ndugu Thomas Mnkande akishirikiana na Afisaelimu Sekondari mwalimu Omari Kombo hawataki kuwatendea walimu haki. Walishirikiana na viongozi wengine kumtengenezea zengwe mwenyekiti wa CWT Mkinga.
Mwenyekiti huyo wa CWT alitengenezewa zengwe baada ya kuonekana kwamba anaqatetea walimu haki zao. Aliulizia namna ambavyo TSC wanashughulikia maslahi ya walimu. Kilichotokea ni viongozi miungu watu kutengeneza hujuma na baadhi ya wajumbe was TSC kupewa bahasha za kaki ili mwalimu huyo afukuzwe kazi.
Hata mkurugenzi nae alishiriki dhambi hii maana walishiriki kutengeneza tuhuma hewa.

Mungu mkubwa maana baada ya Afisaelimu msingi mwalimu Omari Mashaka kujua ukweli wa sakata hilo yeye akajitoa kabisa. Hivyo bahasha ya kaki yeye haikumhusu.
Katibu wa TSC amekua mkandamizaji na hataki kutatua kero za walimu. Anaendekeza wizi,rushwa,vitisho na kupiga tunguli huko kwao ili abaki kazini.
Wakiungana na Omari Kombo Afisaelim sekondari nimambo yahovyo wanafanya. Kombo anadai Ummy yupo mikononi na hawezi kufurukuta mbele yao.
Ningekushauri umwandikie rasmi Boss wake ili awatume watendaji wake kuja kufanya uchunguzi, ukiweka open hivi hapa inakuwa kama majungu
 
Bila maelezo mengi kwa lengo la kutochosha mamlaka husika, ninaripoti kwamba wakurugenzi hao wa Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri wamefumbia macho wizi unaofanywa na makatibu wa TSC Tanga na Mkinga

Naibu makatibu wa TSC Mkinga Mwalimu Thomas Mnkande na mwenzie wa Tanga jiji Mwalimu Naima Twalib wamekua wezi wa hila.
Kwamuda mrefu sasa,naibu katibu wa TSC Tanga amekua signatory Mkinga na Naibu Katibu wa TSC Mkinga amekua signatory Tanga.

Je kwanini hawataki kuwaruhusu watumishi wenzao kwenye ofisi hizo wakajua matumizi ya fedha hizo. Au wanajua fedha hizo ni zao hawatawajibika?

Nadhani lengo lao ni kufanya wizi. Mh Rais watapishe hela za umma walizokula muda mrefu.

Rais hao wamefanya hayo kwa baraka au uzembe wa wakurugenzi.

Rais hawa wote wanne ikikupendeza wape mkono wakapumzike utume timu yako ifanye upekuzi. Utabaini wizi, udhalilishaji, ubinafsi na ukiukwaji wa sheria kazini

Wanaroga sana lakini sasa nimeamuru mauzauza yao yayeyuke na wapotee nayo.

Mama nakutakia Eid njema na kazi njema, Asante kwa kumpumzisha Sabaya
 
Back
Top Bottom