wizi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG imefichua madudu mengi ya awamu ya tano, kulikuwa na ufisadi wa kutisha

    Siku ya leo sijui tuuiteje huko; Mbaya? Au nzuri sana? Ripoti ya mkaguzi mkuu wa serikali inayoendelea kusomwa muda huu si kwamba tu inawaweka CCM na watetezi wa mwendazake kwenye wakati mgumu sana, lakini tayari imechefua wananchi wengi kwa kiwango kisichomithilika. Madudu ya SHUJAA WA AFRIKA...
  2. F

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Tsh milioni 400 katika ujenzi wa vituo vya Afya Ndago na Kinampanda wilayani Iramba, nini hatma ya DC na DED?

    Mtakumbuka mwaka 2019 waziri Mkuu Kasim Majaliwa aliibua wizi mkubwa wilayani Iramba mkoani Singida. Waziri Mkuu katika ziara yake aliwaambia wanainchi kuwa serikali ilitenga mabilioni ya fedha kwa ujenz wa vituo vya Afya kote nchini. Alisema ktk wilaya ya Iramba zaidi ya Tsh million 400...
  3. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania DCI yamkamata mwanaume aliyenakiliwa akitaka kumchoma mshukiwa wa wizi Mombasa

    TAHADHARI: Video huenda 'ikakusumbua akili' Idara ya upelelezi nchini Kenya DCI imemkamata Swabir Abdulrazak Mohammed, mwanaume aliyenakiliwa kwenye video akimpiga mshukiwa wa wizi jijini Mombasa. Swabir, ambaye ni mlinzi katika kiwanda cha Ajab Unga alirekodiwa akimpiga mshukiwa huyo huku...
  4. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania TIRA yaja na stika za Bima za kielekroniki ili kudhibiti wizi

    Kuanzia aprii 1, 2021 Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania(TIRA) imewatangazia wamiliki wa vyombo vya moto kuwa ulipiaji wa bima hautakuwa na utoaji wa stika za kubandika kama ilivyokuwa Badala ya Stika za kubandika mteja atapewa namba ya kielekroniki ya stika. Hatua hii imefikiwa kutokana na...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wizi wa magari umerudi kwa kasi, jua mbinu za wezi wa magari

    Kumekuwa na ongezeko la wimbi la wizi wa magari hasa jijini DAR ES SALAAM. Kwenye groups za WhatsApp hazipiti siku kadhaa linaletwa tangazo kuwa Kuna gari limeibiwa. Magari ambayo yamekuwa yakiibiwa zaidi Ni TOYOTA IST na mengine yenye injini za 1NZ na 2NZ. Hapa ni baadhi ya mbinu zitumiwazo...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Ni kipi kifanyike ili kuondoa wizi maofisini na katika mashirika ya Kiserikali?

    Toa maoni yako hapa, Jambo gani lifanyike ili kudhibiti wizi wa Mali na fedha za serikali? Je, mishahara ni kidogo? Marupurupu yaongezwe? Unadhani ni kipi kiboreshwe ili kukomesha hali hiyo?
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Wizara zenye wizi na ubadhilifu zapaswa kufanya tathmini (Risk Assessment) za kila mara, vitendo hivyo ni sehemu ya hujuma kwa taifa

    Wizara mbalimbali zimekuwa zikikabiliwa na matatizo kama ubadhilifu wa fedha, wizi wa kimtandao na wa kughushi na hata matishio ya kusambazwa kwa taharuki kutoka kwenye mitandao ya kijamii. Kumekuwa na taarifa za vitendo vya udanganyifu katika Wizara ya Ardhi, nyumba na maendeleo mijini, wizi...
  8. COARTEM

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa dawa zenye thamani ya Tshs 26.7 billioni wabainika kwenye Hospitali za Rufaa za mikoa 28 Tanzania bara

    Timu ya ukaguzi maalumu kutoka Wizara ya Afya imegundundua ubadhirifu huo wa dawa na vifaa tiba kutoka hospitali hizo za rufaa za mikoa kwa kipindi cha miezi 18 kuanzia Kula 2019 hadi Desemba 2020. Hayo yametangazwa leo na Waziri wa Afya Dr Dorothy Gwajima wakati akitoa taarifa ya uchuguzi huo...
  9. MSHINO

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Upigaji Kivuko cha Busisi

    Kuna wizi unaendelea siku ya 3 Leo kivuko cha busisi Mwanza. Wananchi wanalipia huduma ya Choo bila receipt wala machine siku ya 3 sasa. Watu wanatoa km sadaka kanisani. Nimejaribu kuuliza kwanini hawatoi receipt wala mashine nimeambiwa ni maelekezo kutoka ofisi ya TEMESA. Pia, nimemuuliza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania TCRA wakomesha wizi wa kwenye mitandao tuma ujumbe kwenda namba 15040

    Endapo umetapeliwa au umetumiwa ujumbe wa utapeli, tuma ujumbe husika na namba ya aliyekutapeli au kukutumia ujumbe wa utapeli kwenda 15040. Huduma hii ni bure. Tushirikiane kutokomeza utapeli kupitia simu za mikononi. Sambaza ujumbe huu cc @TCRA_Tz @ConsumerCcc
  11. Melubo Letema

    JamiiForums Tanzania DC Muro avuruga mtandao wa wizi wa ng’ombe za watu majumbani

    Mkuu wa wilaya ya Arumeru , Jerry C. Muro ametumia saa 18 kusambaratisha mtandao wa wizi wa ng’ombe za wananchi majumbani ambapo mpaka sasa watuhumiwa 5 sugu wa wizi wa ng’ombe tayari wako mikononi mwa vyombo vya dola. Dc Muro amelazimika kuingilia kati baada ya ng’ombe zaidi ya 13 kuibwa kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom na wizi wa kifurushi cha siku: Hayatimii masaa 24, hata ukijiunga saa 11:00 jioni ikifika saa 10:59 jioni ya siku hiyohiyo kifurushi kinaisha

    Kwa kweli kwa kipindi kirefu zaidi ya miaka 2 hii laini ilibaki ya huduma ya MPESA, nilikuwa natumia Halotel, Hlotel walipoharibu kwenye spidi ya data, nikaona nijaribu Voda. Kinachofanya niandike uzi huu ni jinsi huduma zao zilivyo. Kwanza kabla ya kujiunga na kifurushi cha siku hawasemi...
  13. Kisusi Mohammed

    JamiiForums Tanzania Wizi wa wahudumu wa kwenye vituo vya kujaza mafuta

    Habari za majukumu wanajamii, Habari hii ni kupata uzoefu zaidi, kutahadharishana na kuwekana sawa wakati huu mgumu wa uchumi wa kati. Nimekutana na matukio mawili kwa nyakati tofauti ya kuibiwa na wahudumu wanaotoa huduma ya kuweka mafuta katika kituo kimoja cha mafuta cha TOTAL kilichopo...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Aina nyingine ya wizi mpakani Tunduma

    Habari ya asubuhi wanajamii, sasa naomba vyombo vya dola viangalie hili tatizo pale Tunduma border. kumezuka kikundi cha watu wanajiita umoja wa madriver wa IT. Yaani gari zinazovuka mpaka wetu, hawa jamaa wanachukua eti ushuru wa shs 5000/ kila gari tena ni lazima, ukiwauliza wanasema ni...
  15. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Tutafunga kila mtu kwa wizi wa dawa

    Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Godwin Mollel amesema kama wataamua kuwachukulia hatua watumishi wanaojihusisha na wizi wa dawa watawafunga watumishi wote. Amesema hayo alipokuwa katika hospitali ya Mount Meru ambapo amesema kiwango cha dawa kinachoingia...
  16. Billionaire101

    JamiiForums Tanzania Airtel acheni wizi

    Airtel huu unyang’anyi mnaoufanya mmetisha. Nimehamia jana tu leo mmenifukuza!!! Nimenunua jana gb22 za mwezi mzima leo naambiwa zimeisha?!! Hapana kwakweli. Hata masaa 24 hayajaisha what a shame mnasema nimetumia internet while sijadownload chochote. Sad aisee!!! Nilishawishi watu wengi waje...
  17. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Control Number imepunguza Wizi

    Wale Vishoka mtaani na wahasibu wezi serikalini wanaisoma namba kwa vitendo. Hivi sasa mpaka Police Loss Report (Tsh. 500/=) Lazima ku-generate Control Number. Heko Awamu hii. Hakuna janja-janja kila mtu atafikiwa. NB: Katika kuweka mgomo baridi wa kunyang'anywa ulaji. Watendaji wameamua kutoa...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Huu mfumo unachangia upotevu wa mapato na wizi Serikalini

    Tanesco wanazalisha umeme na kuuza kwa taasisi za Serikali. Taasisi za umma zinakusanya pesa na kuziwasilisha hazina moja kwa moja, lakini Tanesco wanakwenda kwenye taasisi za umma kukata umeme kwa sababu wameshindwa kullipa bili huku pesa za kulipa bili zikitoka hazina. Kwa bajeti ya umeme...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa wizi wa magari wanaswa Njombe

    Jeshi la polisi mkoani Njombe linawashikilia watu watano wanaodaiwa kuhusika na mtandao wa wizi wa magari nchini ambao wamekutwa na magari Saba yanayosadikiwa kuibwa katika mikoa ya Dar es salaam, Mbeya na Singida. Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Njombe, – Hamis Issah amesema wezi hao wamekuwa...
  20. F

    JamiiForums Tanzania Magari sita ya wizi yakamatwa Njombe

    Mkuu wa polisi Njombe Hamis Issah amewaza kukamata watuhumiwa wizi wa magari pamoja na magari sita ya wizi. Kukamatwa kwa majambazi hayo ilitokana kwa kufuatilia gari moja ambalo liliibiwa Njombe na kupeleka kupatikana kwa hayo magari mengine 6. Pongezi kwa jeshi la polisi.
Back
Top Bottom