Wito kwa wana diaspora wote wapenda haki

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,005
Reaction score
142,608
Maxence Melo
Kama inawezekana, uwekeeni pin huu uzi ili uweze kubaki juu wakati wote.

Ndugu wana diaspora wa Kitanzania, hususan kwenye nchi za Ulaya Magharibi, Scandinavia, Marekani, Canada, na hata Kenya pia, katika kuhakikisha tunamwajibisha Samia, tusimuache aishi wala kusafiri kwa faraja kwenda kwenye hizi nchi ambazo zinaheshimu haki za binadamu na zina uhuru mkubwa wa watu wake kujieleza.

Tuhakikishe kuwa, endapo itatokea huyu mtu anasafiri kwenda kwenye moja ya hizo nchi, basi Watanzania wote wapenda haki na walioumizwa na mauaji aliyoyafanya Oktoba 29, tunampa wakati mgumu sana kwa kuandamana alipofikia, atapotembelea, na popote pale atapoonekana akiwa huko.

Mimi na watu wangu tumeshajiandaa kikamilifu kuandamana na kumpinga, kumzomea, na kumfanya mengine ambayo kwa sasa ni siri yetu.

Hatutanii. Ajichanganye aje pande hizi aone. Huku hatuwaogopi hao wanaomlinda. Wakileta za kuleta, tutawapatia wanachokitaka.

Haiwezekani na haikubaliki kabisa aue Watanzania wasio na hatia yoyote ile kisa tu aendelee kutawala.

Hivyo basi, Watanzania muishio kwenye nchi za magharibi, jipangeni kwa namna muwezavto kumkabili endapo ataleta pua yake sehemu ambazo mpo.

Na siyo lazima muwe kwenye vikundi. Hata mtu binafsi tu unaweza kupanga jinsi ya kumkabili endapo atakuja sehemu ambayo nawe upo.

Wana diaspora hatuna kabisa sababu ya kumuogopa huyo mtu.

Yeye yupo upande wa uovu na sisi wema upo upande wetu. Na daima siku zote wema huushinda uovu.

Tumwandame huyu mtu mpaka awajibike.
 
Naunga mkono hoja.
 
Ila mkuu ana security yule naona ni ngumu labda tu mabango ila sio rahisi kufanya kitu kama shambulizi
Kwa taarifa yako, hakuna kiwango cha ulinzi kinachoweza kuzuia asiguswe.

Walishaguswa watu wenye ulinzi ulio bora maradufu na huo alionao.

Ila hapa hatujadili hayo, hapa tunajadili namna ya kudeal naye akija kwenye 18 zetu.
 
Ukiwa na akili timamu huwezi kumlaumu Rais Samia ......
Yeye Sio tatizo isipokuwa ni matokeo tu ....
Zima hisia washa akili ....

Hakuna external force inaweza kukusaidia kusolve yako ya ndani .....
Acheni ujinga watanzania...
Period
 
Kwa taarifa yako, hakuna kiwango cha ulinzi kinachoweza kuzuia asiguswe.

Walishaguswa watu wenye ulinzi ulio bora maradufu na huo alionao.

Ila hapa hatujadili hayo, hapa tunajadili namna ya kudeal naye akija kwenye 18 zetu.
We ni jinga lililokata tamaa
 
HILI NALO MKALITAZAME.

Mimi kama mama yenu sikubaliani na mbwinu hizi za kunizomea nikiwa mamtoni.

Sipendi jambo hili. Nina walinzi wenye mbavu nene nitawawajibisha nyinyi.

Kaeni mbali nami, sipendi kufokewa nina kisukari na tumbo kubwa nisije kupasuka hadharani.

Mimi mama yenu ni mtiifu sana na ninaupiga mwingi kwenye hilo.

Jitazameni sana. Jeshi langu la MAAFANDE VIGIMBI likiongozwa na Lucas Mwashambwa halitawaacha salama.

Nitawararua huko huko kwa Trump hata kama sina visa.
 
Back
Top Bottom