Wizara ya Ardhi Govt Institution Joined May 14, 2024 Posts 155 Reaction score 113 Jul 14, 2026 #1 Kuitwa katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya si adhabu, bali ni fursa ya kusikilizwa na haki kutendeka
Kuitwa katika Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya si adhabu, bali ni fursa ya kusikilizwa na haki kutendeka
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,559 Reaction score 74,378 Jul 14, 2026 #2 Sawa Lakini Ardhi Mnachangamoto Kutoa Hati Hati Faili Liwe Na Nyaraka Zote Lazima Muondoe Baadhi Kumkwamisha Mteja Tu Asipate Hati
Sawa Lakini Ardhi Mnachangamoto Kutoa Hati Hati Faili Liwe Na Nyaraka Zote Lazima Muondoe Baadhi Kumkwamisha Mteja Tu Asipate Hati
Kizibo JF-Expert Member Joined Jul 3, 2018 Posts 4,610 Reaction score 10,481 Jul 14, 2026 #3 Naomba kujua gharama za kibali cha ujenzi wa nyumba ya kawaida ya kuishi Wizara ya Ardhi
ngosha wa mwanza JF-Expert Member Joined Feb 23, 2015 Posts 4,910 Reaction score 15,300 Jul 14, 2026 #4 Tunaomba sana muweke mtu wa kupokea migogoro hapa jf ili tuweze kupata hata miongozo maana tumekua tunatapeliwa sana viwanja
Tunaomba sana muweke mtu wa kupokea migogoro hapa jf ili tuweze kupata hata miongozo maana tumekua tunatapeliwa sana viwanja
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 10,763 Reaction score 19,659 Jul 14, 2026 #5 Toka 2019 Kahama MC watu wasubiri hati zao!