Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Wito: Jaji Mkuu Masaju Achia Ngazi

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,240
Reaction score
44,487
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
 
Huyu msababto anainajisi mahakama. Kwa nini upokee maelekezo ya mtu wa elimu ya hapa na pale?
 
Kuna vitu hata kukoment kunapoteza umaana
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Maskini tz nani mwokozi wake!
 
Kama kuna Taasisi inyaohatarisha amani na ustawi wa Taifa ni Mahakama
Kama kuna Taasisi inayohitaji mageuzi katika Katiba mpya, kwanza, ni Mahakama
Yaani...haiwezekani jambo la kufanya review tu linachukua miezi mitatu...kwenye kesi ya uhaini....Masaju hajui kuwa anaenda kutengeneza precedence mbaya sana...hawa watu wakija kufanyiwa wao watajifanya wanajua maana ya haki ni nini
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Uhakika ni Kwamba Masaju atakamatwa
 
Don’t count on him; Masaju ni mmoja wa majaji kazi maalumu!
 
Yaani...haiwezekani jambo la kufanya review tu linachukua miezi mitatu...kwenye kesi ya uhaini....Masaju hajui kuwa anaenda kutengeneza precedence mbaya sana...hawa watu wakija kufanyiwa wao watajifanya wanajua maana ya haki ni nini
Mkuu, kesi ya Tundu ina ' public interest'', Mahakama inajua hilo. Kwasasa everything is revolving and gravitating on Tundu's case. Nani amewatia upofu hawa watu?

Utakumbuka kesi ya Hamis Dibangula vs The government of Tanzania iliyoamuliwa na Mahakama ya chini kwa Hamis kwa kifungo. Nchi iliingia katika tension ya hali ya juu katika mambo ya Dini.

Mahakama kuu bila appeal iliitisha File kwa review na kesi ikamalizwa kwasababu lilikuwa jambo la Public interest. Hilo liliwezekana kwasababu pamoja na ubovu wa mfumo wa Mahakama, walioongoza walikuwa na maadili japo kidogo

Kwasasa ni vyote viwili, ubovu na ukosefu wa maadili na nyogeza ya uchawa!
Mahakama inahitaji kutengenezwa kwanza, siyo Tume ya uchaguzi, si kingine bali Mahakama.
Kenya walianza na hilo
 
Huu ni wendawazimu....umawezaje kuendelea kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia mbele ya mhimili mwingine? Kesi ya Lissu ni mfano halisi wa kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi

Haiwezekani kabisa kushindwa kutoa maamuzi madogo ili kesi ya Lissu iende kumalizwa...as a matter of fact..wewe na majaji wote wa rufaa mnapaswa kujiuzulu in principle...

Mmedhoofisha zaidi mahakama!!! Mmekuwa kama tawi la CCM
Simple and clear
 
Hata Masaju akitoka, atakayefuata atakuwa tu kama Masaju, maana ndio mfumo dhalimu wa CCM unavyofanya kazi
 
Huu ni wendawazimu... kuwa mkuu wa Muhimili usioweza kujisimamia kushindwa kwako kama Jaji Mkuu wa Tanzania...

Hufai

Umeshindwa
Huna weledi
Mkuu Mzee Mwanakijiji, kwanza with due respect, naheshimu maoni yako, hata kama sikubaliani nayo, kwasababu, everybody has the right to h/is/er opinion, to me this is too harsh and not fair!

Hapa jf, japo all the members are equal, ila kuna members who command much respect humu, you are one among them, ukisema ni jf imesema!

Tanzania tuna mihimili mitatu, kuna wakuu wa mihimili wamefanya mambo ya ovyo na madudu ya ajabu kabisa, ambayo sio tuu ni.ya ukiukwaji wa katiba ya JMT, bali uvunjaji wa katiba, wazi wazi mchana kweupe, lakini sikuwahi kukusikia au kukusoma ukikemea kwa maneno makali hivi, compared na anachofanya CJ!.
Wakuu wangapi wamefanya madudu ya ajabu lakini haujakemea kihivi, Hufai, Umeshindwa, Huna weledi!, kwa vile jf ni kubwa, inawezekana ni mimi ndio nime skip, uliwahi kumuamuru mkuu mwingine yupi wa mhimili ajiuzulu, zaidi ya enzi ile ya JPM, ulipoanzisha MADA HII HAPA BONYEZA HAPA
Na mimi nikaipigia chapuo kwa kukuanzishia mada
NYINGINE BONYEZA HAPA sikumbuki kama wewe uliwahi kumtaka mkuu yeyote wa mhimili kuachia ngazi kwa ukali huu licha ya madudu yao, likiwemo kubwa kuliko lile la ile siku!.

Kuhusu kesi ya Lissu, unataka CJ afanye contempt of the court kuiingilia mahakama Kuu, au yeye ndie afanye kazi ya DPP to pronounce nolle?.

Bahati nzuri sana, mimi sio najidai nina, bali nina jicho la ndani la kuangazia haki, ukimtazama tuu CJ Masaju, unaiona haki kwenye paji la uso wake, kauli zake na matendo yake, Ukosekanaji wa Haki kwenye Mhimili wa Mahakama, kunaweza kuwa kunachangiwa na Majaji/Mahakimu wenye uwezo mdogo kubaini haki? jicho hili la haki analo, hivyo kumtaka aachie ngazi kwasababu tuu ya hii kesi moja ya TL, sio kumtendea haki!.

P
 
Back
Top Bottom