wito

Parque Luis A. "Wito" Morales (Luis A. "Wito" Morales Park) is a park in the municipality of Ponce, Puerto Rico. It is part of the Lake Cerrillos Dam recreational area.

View More On Wikipedia.org
  1. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Natoa wito Jeshi na Walalahoi tumuunge Mkono Kapten Tesha. Tumlinde ni moja ya Tunu za Taifa

    Napenda kutoa Rai kwa heshima na Taadhima kwa Watanzania. Tumuunge mkono Kapten Tesha. Natamani haraka sana nije Tanzania. Natamani sana. Nimemsikiliza machozi yamenitoka. Huyu Kapten anajua vizuri hatari ambayo inamkabili baada ya hili. Anajua vizuri changamoto ambazo atakumbana nazo. Ameamua...
  2. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Wito wa kususia nyuzi zisizo na uhalisia kisiasa kuelekea hatma ya Taifa hili

    Comrades, Natoa wito kususia mada ambazo ha,ina uhalisia kisiasa. Mada zinazoikweza ccm katika mazingira haya ya sasa. Mada kama zifuatazo 1. Kusifia nyomi 2. Kusifia ilani, hasa hama kilichopo madarakani 3. Kusifia misafara ya mvombea wa ccm 4. Kuaminisha watu ccm kina nguvu ya hoja 5...
  3. Zacht

    JamiiForums Tanzania Rais wa Colombia, Gustavo Petro atoa wito Umoja wa Mataifa kuondolewa Marekani

    Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza. Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
  4. Spectophotometer

    JamiiForums Tanzania Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao

    Dar es Salaam – Waislamu wameaswa kuendelea kuwaheshimu na kuhifadhi heshima za viongozi wao katika dini na jamii kwa ujumla. Wito huo umetolewa na Sheikh Ilyasa Jamaa alipokuwa akihutubia swala ya Ijumaa waumini katika Msikiti wa Markaz Omar ibn al-Khattab uliopo Kariakoo, mkabala na makao...
  5. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kuzaliwa sehemu ambayo si sahihi ndiyo technic kubwa sana huitumia shetani kumfanya mtu asiishi katika wito wake

    Hili jambo wenye D tatu za rohoni ndio watanielewa. Mungu ameweka vitu 3 ndani ya mwanadamu kutoka katika ofisi zake kuu 3 . Kuna karama Kuna huduma na Kuna kipawa. Vitu hivyo 3 ndivyo vinatimiza lengo la mtu kuwa duniani. Lengo la binadamu kuwepo duniani si kula, si kuabudu bali kutimiza wito...
  6. profHarryEnock

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Wakazi wa Moshi: Fursa Adimu ya Kujifunza na Kufurahia Utalii wa Ndani

    Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi, Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
  7. Taasisi ya Mifupa-MOI

    JamiiForums Tanzania DC Dodoma atembelea banda la MOI Nanenane, atoa wito ushirikiano katika Elimu ya Usalama Barabarani.

    Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Mhe. Alhaj. Jabir Shekimweri ametembelea banda la Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) katika Maonesho ya wakulima 'Nanenane' yanayoendelea katika viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma, ambapo ametoa wito kwa taasisi hiyo kushirikiana na taasisi nyingine na...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Dkt. Hussein Omar aipongeza TET, atoa wito kuandaa Mtaala utakaosaidia kukabiliana na changamoto ya taka ngumu

    Avutiwa na Utendaji katika Mifumo ya TEHAMA NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt. Hussein Mohamed Omar ameipongeza Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kwa jitihada wanazofanya za kukuza Sekta ya Elimu nchini hasa kupitia eneo la mifumo ya TEHAMA inayosaidia katika ujifunzaji...
  9. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania NUKUU: Vikao vianze tu hivyo hivyo, hata kama hayupo, amesusa au hajulikani alipo!

    "Hakuna haja ya kubembelezana tena, muda haurudi nyuma, mambo ni mengi na watu wamesafiri na kuacha shughuli zao binafsi kuja kufanya vikao ili mambo mengine yaendelee. Sasa kama hayupo, hajulikani alipo au amesusa, hilo ni lake binafsi, halituhusu moja kwa moja. Kwa kuwa wasaidizi wake rasmi...
  10. S

    JamiiForums Tanzania Wito wangu kwa wana simba wote wenye mapenzi na nia njema kwa timu yetu

    Timu yetu inapitia wakati mgumu sana, inarushiwa mishale mashariki, magharibi, kusini na kaskazini, hawapumui. Nawapa pole sana viongozi wangu, hiyo ndio kazi ya uongozi. Mitandao ya kijamii imeleta changamoto kubwa katika tasnia ya habari nchini, kila mtu anapojisikia kuongea anaita social...
  11. Camo

    JamiiForums Tanzania Tutajenga Historia au Tutarithi Hofu? Wito kwa Matajiri wa Tanzania

    Salaam, mara nyingi nimekuwa mpenzi mtazamaji hapa JF, leo nkaona nidondoshe uzi kwa mara ya kwanza, nilipotaka weka uzi platform ikanitaka niwe a registered member basi nikafanya hivyo nakusubiri approval na siku ya leo ndio my JF ac imekua approved. Direct to the topic. Tanzania na Afrika kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Dini na Madhehebu yote Tanzania.

    Tunahitaji ukombozi kamili wa Nchi yetu. Kwa hiyo, naomba tusiishie tu kukemea MAPEPO yasiyoonekana badala yake tukemee pia MAPEPO yanayoonekana na tunayoishi nayo Mitaani mwetu. Ukienda Kanisani au Msikitini, unapotoa sadaka yako kumbuka kunuilizia kwamba, Mungu naomba kupitia sadaka hii...
  13. Bramo

    JamiiForums Tanzania Baada ya Eng. Hersi Kuchukua Form ya Ubunge - Wito kwa wana Yanga : NRNE

    Wakuu JF wana Yanga na wa Tanzania wote kwa Ujumla wenye Mapenzi mema na nchi yetu Amani ya Mungu wetu ikae nanyi Daima. Niweke wazi in advance kuwa mimi ni Mtanzania, shabiki wa Yanga na ni mwana CHADEMA, pia ni mmoja ya wa Tanzania tunao wish CCM ife hata hii leo Nimewiwa kuja na uzi huu...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Nimepewa wito nigombee Ubunge lakini nimeambiwa hamnahamna niandae 30M kwa kampeni. Nifanyeje?

    Ijumaa Kareem! Nchi IPO pazuri. Uchaguzi! Uchambuzi! Kuingia mjengoni nikagonge Meza. Jioni nipokee mkwanja. Sasa kuna mtu asiyejulikana au tumuite aliyesahaulika ingawaje heshima yake ingalimo. Juzi tulikuwa tunateta naye. Kanambia huu ni mwaka muhimu Kwangu kama ningependa uwe hivyo...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Wito kwa Watanganyika wote wapenda haki: Tum - support Tundu Lissu na CHADEMA kwa kujitoa sadaka/dhabihu kwa ajili ya wokovu/ukombozi wa sisi sote

    Tundu Lissu Mwenyekiti wa CHADEMA ameamua kujitoa mwenyewe sadaka/dhabihu ya mateso kwa ajili ya ukombozi na wokovu wa Watanganyika wote Angekuwa ni mtu anayefanya haya kwa faida binafsi (personal benefits) ili apate vitu vya dunia hii kama fedha, vyeo, majumba, ardhi nk vitokanavyo na dhuluma...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Maombolezo ya Jamii Iliyopotea: Wito wa Kurudisha Haki na Utu kwa watanzania

    Ni kweli kwamba tumepoteza wengi—marafiki, ndugu, na binadamu wenzetu—kwa mateso, mauaji, na kupotezwa bila haki. Ni picha ngumu sana kuona jamii ikizidi kuangalia mambo ya msingi kama burudani na mapenzi, huku haki, utu, na thamani ya maisha zikidharauliwa. ni kama tumelala usingizi wa pono...
  17. DR Mambo Jambo

    JamiiForums Tanzania Tunafurahia ushenzi?. Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena

    Tunafurahia ushenzi? Na hao mnaotaka wawe wastaarabu wakiuitikia wito wa kishenzi basi hakutokua na nafasi ya kuukaribisha ustaarabu tena. Msitake wajivike ustaarabu ushenzini. Regardless ya kiwango cha ushenzi watakachokionesha kama muitikio wa ushenzi waliooneshwa.. UShenzi haufurahiwi...
  18. digba sowey

    JamiiForums Tanzania Wito :Neno Tanganyika na Watanganyika litumike zaidi ili kuonesha kutokubaliana na Yale yanayoendelea nchini mwetu,

    Katika nyakati hizi ngumu, sauti zetu hazipaswi kuzimwa na woga wala hofu. Wale waliochoshwa na ukandamizaji, mauaji na utekaji unaoendelea nchini mwetu, ni wakati wa kusimama na kusema hapana. Hatutakubali kuona ndugu zetu wakipotea bila sababu, haki kupotoshwa, na sauti za wanyonge kufifia...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba ingetakiwa mpaka mda huu wawe either wapo kituo cha polisi au wameshajulishwa wito wa kwenda kituo cha polisi

    Walichofanya viongozi wa Simba ni utapeli wa maksudi 👇👇👇👇👇👇👇👇 Uwanja umefungiwa hakuna taarifa ya kufunguliwa umeanza kuuza tiketi bila go ahead, umepewa taarifa rasmi ukajitoa ufahamu ukaendelea kuuza tiket ukijua unachofanya sio sahii Baada ya mechi ya berkane ukaambiwa mechi inayofuata ni...
  20. Kitomai

    JamiiForums Tanzania Wito wa ushirikiano! Tuachane na Vvisingizio, tuinuke pamoja!

    Tufungue Pamoja Uwezo Wetu wa Kweli! Karibu kushiriki katika uchambuzi wetu wa kipekee: "TUNAUWEZO MKUBWA—TUNAWEZA KUFANYA YOTE TUKIUTUMIA!" Kwa nini kushiriki? 1. Pamoja, tunaweza kuvunja mazoea ya kujipa udhaifu (kama kusema "sina bahati" au "sikuandikiwa"). 2. Kugundua jinsi jamii...
Back
Top Bottom