Parque Luis A. "Wito" Morales (Luis A. "Wito" Morales Park) is a park in the municipality of Ponce, Puerto Rico. It is part of the Lake Cerrillos Dam recreational area.
Wanabodi,
Karibu, Nipashe ya leo
Kufuatia Watanzania wengi kuwa ni waumini wa dini kuu mbili, Ukristo na Uislamu, hivyo sii wengi wanaijua "karma" ni nini, kwasababu "karma" ni neno la lugha ya ki Hindi "Hindu" na linafundishwa kwenye dini ya Hinduism na Buddhism, mimi nilijifunza kuhusu...
Msaidizi wa kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Arusha ACP J. Kaijanante ametoa wito kwa jamii kushirikiana na jeshi la polisi katika kupambana na vitendo vya kikatili kwa kutoa taarifa za vitendo hivyo katika vituo vya jeshi hilo.
Pia wadau wa haki za wanawake na watoto wemeaswa kutorudi...
Kesi ya Mbowe ingali ikirindima. Hata hivyo tayari kuna ambayo hatukuyajua ambayo leo tunayajua zaidi.
Kumbe pana Makomando wengi wanaweza kuwa walipotea baina 2015 - 2021.
Nani ajuaye huenda wanaendelea kupotea leo.
Hawa ni watanzania, wananchi na binadamu wenzetu wenye haki zao za msingi...
Kwanza nawapa pole na majukumu. Niende moja kwa moja kwenye lengo. Kuna dhana potofu na mbaya sana kuwa kazi ya udaktari ni kazi ya wito.
Hii dhana inapelekea jamii na madaktari wenyewe kuonekana kama ni binadamu tofauti na wengine, jambo ambalo sio sawa. Hii kitu inasababisha kuonekana na...
Baba mzazi ya Diamond Platnumz, Mzee Abdul Juma ametoa wito kwa mwanawe kuelewana na mwenzake wa zamani Rajab Abdul Kahali almaarufu kama Harmonize.
Alipokuwa kwenye mahojiano na Mbengo TV hivi majuzi, mzee Abdul alimsihi Diamond ashiriki kikao na Harmonize wazungumzie tofauti zao na...
Salam ndugu wana JF!
Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi.
Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
Wanabodi,
Japo JF ni an open public forum kwa wote, mtu ukiwa na ujumbe wako fulani ambao ni muhimu, unataka kumfikishia mlengwa au walengwa fulani, ukiutuma ujumbe huo kupitia jf, unamfikia mlengwa kwa haraka zaidi na kwa urahisi zaidi, hivyo hili ni bandiko, kwa ajili ya kufikisha ujumbe...
Jana nilikuwepo Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi. Sikwenda pale kwa minajiri ya kuhudhuria kesi ya akina Mbowe. Nilikwenda kufuatilia mambo ya mwanangu anayesoma pale Law School of Tanzania. Kwakuwa nilimaliza kilichonipeleka mapema na niliwaona hata marafiki zangu wakijumuika...
WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi mstaafu, Dkt. Augustino Mrema, ameyataka madhehebu na viongozi wa dini nchini kuendelea kuwaelimisha waumini wao umuhimu wa kupata chanjo ya COVID-19 na kuchukua tahadhari za ugonjwa huo kama ambavyo wataalam wa afya wanashauri.
Akizungumza jana wakati wa misa...
Dodoma.
Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa amefika katika Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kuhojiwa baada ya jana Kamati hiyo kutoa ombi kwa Spika wa Bunge Job, Ndugai kutaka akamatwe.
Kamati hiyo iliomba kukamatwa kwa mbunge huyo na kufikishwa katika kikao cha kamati saa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.