wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Haya maneno yana ukweli kiasi gani?

    Kwema Wakuu! Mzee mmoja akasema; Ingechukua miaka 100 Magufuli kukomboa watu wengi katika nchi hii; sasa Itachukua miaka 1000 kukomboa taifa hili. Akaendelea kusema, ingawaje alikuwa akiumiza wachache Kwa maumivu makali Kwa ajili ya wengi; Sasa Wengi wataumia maumivu ya POLEPOLE Kwa ajili ya...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Kwanini waajiriwa wengi hawana utamaduni wa kufanya savings nchini?

    Nimejaribu kufanya tathmini na nimegundua watanzania hasa hawa waajiriwa wa Serikalini hawana tamaduni za kutunza pesa, Wazungu wanaita savings. Ni vema watanzania wengi tukaanza kupiga mfumo wa Wazungu kuwa unapopata kamshahara kako basi angalau asilimia 20 itunze, halafu ndo uanze matumizi...
  3. JamiiForums Tanzania Vijana wanaamini wakivuta bangi wanapata Samaki wengi Ziwa Victoria

    Imani ya matumizi ya bangi kwa wavuvi katika Ziwa Victoria imetajwa kuwa tishio kwa vijana na watoto. Vijana hao huamini kuwa wanapotumia dawa ya kulevya aina ya bangi, hupata samaki wengi sambamba na ongezeko la nguvu za kufanya kazi nyakati za usiku. Uchunguzi wa Nipashe umebaini kwamba...
  4. JamiiForums Tanzania Kufunga Ramdahan ni nguzo nzito sana kwa Waislamu walio wengi

    Kwa utafiti niliuoufanya Waislam walio wengi hawafungi ramadhani, wengi wana pretend ili kuondoa aibu kwa wenza, majirani, marafiki, wazazi n.k Yani ile kwamba watanionaje? Ila ukweli wa dhati ni kwamba watu wanabonyea kama kawaida ila kwa kujificha saana. Mungu hachezewi ipo siku tutajutia...
  5. JamiiForums Tanzania Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  6. JamiiForums Tanzania Haiti: Ndege yaanguka mtaa wenye watu wengi, yaua watu sita

    Ndege ndogo imeanguka katika mtaa wenye watu wengi katika Jiji la Nchini Port-au-Prince Nchini Haiti, jana Aprili 20, 2022 na kuua watu sita akiwemo rubani wa ndege hiyo. Ndege hiyo ilikuwa ikiruka kutoka Uwanja wa Ndege wa Port-au-Prince saa 9:44 Alasiri kuelekea katika Jiji lingine Nchini...
  7. JamiiForums Tanzania Ni stress, kiburi au vichwa vigumu, kwanini watanzania wengi hupuuza amri kama "usikojoe hapa, usipite njia hii, abiria chunga mzigo wako

    Usipite hapa, nakumbuka hapa kwa macho yangu zamani tulifika sehemu ni kama kuna ujenzi wa barabara unaendelea wamefunga njia, mjomba alishuka kwenye gari akatoa jiwe slinaliziba njia, alikuwa anawahi bar, alinishushia njiani Msikojoe hapa....mtu anakojolea kabisa hayo maneno kwa mtindo wa...
  8. JamiiForums Tanzania Matumizi ya M- Kwenye Auto - Manual Cars. Wengi wanashindwa kufahamu watumie nini na wakati gani?

    Kwenye hizi gari ndogo za Mjapan ambazo nmefanikiwa kumiliki nimekuwa nikipenda kuwa na Gari ambazo ni Auto Manual- Binafsi mimi ni mpenzi sana wa Gari Manual. Ingawa kwa hizi ndogo ni nadra sana kuzipata Manual. kwa hizi ndogo nimekuwa na Toyota Harrier, Toyota Crown, Toyota Rumion na Toyota...
  9. JamiiForums Tanzania Ujinga uliowagharimu wengi kwenye maisha

    UJINGA ULIOWAGHARIMU WENGI KWENYE MAISHA! Anaandika, Robert Heriel. Kila binadamu anakiwango chake cha ujinga, hata Yule unayemuona anaakili Sana ujue anakaujinga kake. Sasa unaweza ukawa mjinga lakini kamwe Epuka kuwa MPUUZI, mpuuziaji ambaye baadaye itakufanywa uitwe mjuaji wakati hukuwa...
  10. JamiiForums Tanzania Kwanini Wazanzibari wengi wanatumia nguvu kubwa sana kulazimisha undugu na Waarabu

    Wazanzibari wengi ni kama wamesahau kabisa historia ya chimbuko lao kwamba waarabu walipofika visiwani walianza kuwakamata wenyeji na kuwauza kama watumwa nchi zingine, pale wenyeji walipokuwa wachache ndipo waarabu kama kina tipu tipu walisafri kuja huku bara na maeneo ya karibu kununua watumwa...
  11. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi hufukuza ama kupiga wanyama bila sababu?

    Hebu chukulia mfano yanayoendelea Ukraine, mtu unamkuta anaenda kutafuta hifadhi pamoja na mnyama wake, leo hii sitashangaa hapa kwetu mtu akihamia hata mtaa wa nne basi atamtelekeza mbwa wake. kuwatesa wanyama ni kumtemea mate usoni Mwenyezi Mungu alieumba viumbe vyote, kuna hizi tabia...
  12. JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kitanzania hawajui namna ya kuzika wapendwa wao

    Vijana wengi hasa wa mijini hawajui ni namna gani ya kuwazika wapendwa wao, hii nimeiona kwenye misiba kadhaa hasa ya kikristo wazikaji wanakodiwa. Kwanza ni waoga kuingia mortuary hawawezi kabisa, wakati wa mazishi kuingia kaburini wengi wao hawawezi kabisa kazi kunyoa viduku na kuvaa suruali...
  13. JamiiForums Tanzania Wapenzi wawili hawanitoshei, Je ni mimi tu au tupo wengi?

    Hello JF, Niende kwenye maada, ebana eeh I have tried lots mi kuwa na mademu wawili nimeshindwa hawanitoshi, for two years nimejaribu nibaki na wawili nimeshindwa nilikuwa na Vaileth na Glory, ila wapi imebuma nimeongeza. Jack na Mary, am trymng but when I see women with diverse features...
  14. JamiiForums Tanzania Tuacha upotoshaji wa kudhani kuteseka sana mwishowe huwa ni kufanikiwa, watu wengi huteseka mpaka kifo bila kufanikiwa.

    Utaskia.. "Diamond aliteseka sana leo kafanikiwa" - hapa mtu anasahau kwamba kwenye muziki kuna ma elfu ya wasanii wameanza kuimba 2005 huko ila mpaka leo bado wanteseka. "Bakhresa alianzia chini kwa kujiajiri leo katoboa" - katika kundi hili kuna watu wengi sanaaa waliojiajiri kila siku...
  15. JamiiForums Tanzania Sakata la Makonda limeonyesha wengi wetu hatupo tayari kwa utawala wa kisheria

    Nawasalimu kwa jina chama pendwa, CCM. Leo nami natumia haki yangu ya kikatiba kwa mujibu wa ibara ya 18 ya katiba ya JMT. Tangu jana mitandaoni suala kubwa lililoibuka ni aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar Ndugu Makonda kudai kuna vitisho dhidi ya maisha yake. Watu wengi sana wameongelea kuhusu...
  16. JamiiForums Tanzania Baadhi ya vyuo vya Ualimu vifutwe na kurekebishwa kuwa vya Kilimo na Ufundi Stadi ili kuendana na soko la ajira

    Ajira mpya za walimu kama 9,800 zimetangazwa nchini hapo jana lakini idadi ya walimu wasio na ajira ni kubwa Sana mtaani kuna haja ya Serikali kufikiria upya kuhusu kuendelea na kufundishwa kozi kozi za ualimu nchini kwani hazina tija tena KWA taifa letu kwa sasa. Ukijaribu kuchukua idadi ya...
  17. JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wengi wanakosa busara, wamejawa mihemko, hasira na ghiriba nyingi

    Binafsi sijawahi kuwa na shida ni watu kama Jeneral Ulimwengu. ni mtu ambaye nimekuwa nikimowna anasimamia ile ambacho anaamini kwa nguvu kubwa tu. jambo ambalo ni zuri. Ila mwisho wa siku naye ni binadamu kama binadamu wengine kuna madhaifu anakuwa nayo. gazeti lake maarufu sana la Rai lilikuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Mwaka 2025 wanaCCM wengi watakihama chama chao directly or indirectly. Na huenda ikawa sababu ya anguko kubwa kwa CCM

    Baadhi ya wanaCcM wameanza kuzila kushiriki shughuli za chama. Mfano ni huu uchaguzi wa jumuia za wazazi. Watu wamezila. Kuna harufu ya mgawanyiko. Na utakuwa mkubwa sana mwaka 2025.
  19. JamiiForums Tanzania Wazanzibari wengi (weusi) ni descendants wa Slavery

    Wengi ukiongolea Utumwa wanafikiri ni wale tu waliosafirishwa kwa meli mpaka Amerika, wanasahau kwamba Biashara ya utumwa ilifanyika hapa hapa pia, mfano wengi wanaojiita Wazanzibari leo hii walitokea Bara na walifika huko kama Watumwa, waliuzwa utumwani na akina Tippu Tip , Tippu Tip aliwanunua...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Private life ya mzee Mengi: Kumbe alikuwa anahonga wadada wengi wa mjini maelfu ya Dola za Kimarekani

    Nimeona video ya dokii YouTube alipelekwa na mzee Mengi hadi south Afrika kusomeshwa akapewa na u$d 8500 (tshs million 17) ya ada na matumizi achilia $2000(tshs milioni 4) au $4000(tshs milioni 8) zingine alizopewa kabla ya kupewa ada, baada ya kupewa izo hela dokii alisema mzee mengi alimsahau...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…