wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania 15% Majeruhi wa ajali wanaotibiwa Muhimbili hawana bima, huuza mali zao ili kujitibia

    Asilimia 15 majeruhi ajali wanaopata matibabu katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) wanauza vitu vyao vya ndani ili kupata fedha kwa ajili ya matibabu. Aidha, asilimia 20 ya majeruhi hao wanaazima fedha kwa ndugu najamaa kwa ajili ya kugharamia matibabu yao. Hayo yamesemwa Juni 6, 2022...
  2. Mwalimu interprises

    JamiiForums Tanzania Njia rahisi ya kupata mafanikio kwenye ufugaji wa kuku wa mayai

    Cage za kuku wa mayai. Layers Cage. ¹kutokana na mfumo wa cage zetu ulivyo boreshwa kuku watakuwa salama saana na kuepuka magonjwa kwa asilimia zaidi ya 85%. ²Usalama wa mayai ni 100% mfumo uliowekwa ni wa kisasa na kumfanya kuku asiyakalibie mayai. ³utafuga kuku wengi saana katika eneo...
  3. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Mabinti wengi wa sasa hawajui kununua mboga sokoni

    Fikilia mwanamke unapimiwa samaki ambae kaisha haribika sawa hukuona sababu uko bize unachezea simu yako sasa tuseme hata harufu ya kuoza huisikii kweli. Aisee mwenzenu leo usiku nalala njaa sa ntafanyaje?
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake, basi vijana wengi walipaswa wawe mahakamani

    Nawasalimu kwa jina la Chama pendwa CCM. Kama tafsiri ya kubaka ni kumwingilia mtu kimapenzi bila ridhaa yake basi watu wengi hasa wanaume wangekuwa mahakamani wakijitetea kwa tuhuma za kubaka. Huu ni ukweli usiopingika. Wanawake wengi karibu wote wameshawahi kuingiliwa kimapenzi bila wao...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Mbowe baada ya kulamba asali imewachanganya wengi. Vijana wa CHADEMA ni walaini mithili ya bamia. Hii hatari👇

    Hivi asali wanazolamba zina nini?
  6. nyboma

    JamiiForums Tanzania Mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais inanuka rushwa ndio maana wateule wengi wa Rais hutapeliwa ovyo na watu wanaojinasibu hutoka ofisi ya Rais

    Uhuni huu enzi ya Hayati Magufuli haukuwepo ila naona umerudi kwa kasi baada ya Mama Samiah Suluhu kutwaa madaraka. Kwa ufupi ni kwamba mamlaka ya uteuzi chini ya ofisi ya Rais ikulu imejaa na inanuka rushwa, hili limedhilika kwa baadhi ya wateule wa Rais katika nafasi mbalimbali ikiwemo DC...
  7. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Sasa nimeelewa kwa nini inapasa kuoa wake wengi

    Ni ngumu sana kupata mwanamke ambaye. 1. Ana akili 2. Ana rangi nzuri 3. Ana sura nzuri 4. Ana body nzuri 5. Anajiheshimu Nimeshauriwa hapo nioe wanawake tofauti tofauti kama watano au zaidi kulingana na sifa. Unakuta dada mzuri ila hana akili. So huyu nakuwa naye kipindi kile nahitaji tu...
  8. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Air Tanzania, Soko la Afrika Kusini, Abiria ni wengi ajabu!

    Air Tanzania changamkieni Soko la Afrika Kusini (Johannesburg na Cape Town) abiria Ni wa kuchota. Maana SAA imesitisha safari za kimataifa hivyo ni fursa kwa ATCL kwenda huko kama majirani zetu Kenya Airways, Ethiopian airlines na Rwandair.
  9. mangosongoo

    JamiiForums Tanzania Wanaume wengi wana matatizo ya akili

    Nimegundua watu wengi Wana matatizo ya akili, hasa wanaume na hawakubaliani na hiyo Hali. Mwisho wa siku inakuja kuleta madhara makubwa. Ushauri wangu nendeni mkajitibu hayo matatizo msije kuua watoto wa watu..
  10. U

    JamiiForums Tanzania Je, ilikuwa ni dhambi Mfalme Suleiman kuoa Wanawake wengi wakiwamo Masuria 300?

    Kwa mujibu wa Biblia Mfalme Suleiman alipenda sana Wanawake 1 Wafalme 1-25 "Akawa na wake mia saba binti za kifalme, na masuria mia tatu; nao wakeze wakamgeuza moyo" Naomba mtujuze je aliyofanya Suleiman ni dhambi pia according to vitabu vingine ukiachana na Biblia? Namaanisha Biblia...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naungana na watanzania wengi wanaomlaani Dk. Kigwangalla kutafuta umaarufu wa kisiasa kwa kumchafua Mo Dewji

  12. S

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kupendwa na mademu wengi

    Hii mbinu ndogo nakupa chukua uniletee mrejesho sawa? Mademu sikufichi wanapendaga vitu vizuri sasa ili kuvutia mademu jitahidi uwe na vitu vizuri Cha kwanza kabisa zingatia muonekano yani vaa sana vitu vikali hakikisha una pea zisizopungua tano za viatu vya gharama hamna hamna usivae kiatu...
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Si wanaume wengi wangefanya maamuzi aliyoyafanya Matuga

    Matuga ni kijana kutoka kijijini, alianza hustle zake baada ya kumaliza darasa la 12. Aliuza mazao na kuweka pesa mpaka alipofanikiwa kupata nauli na hela kidogo ya kujikimu alikwenda Afrika ya Kusini. Bahati nzuri aliongea Kiingereza cha kueleweka shukran imwendee kiongozi wake wa dini kwani...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Waislamu wengi mtandaoni wamshukia Benzema akifunga goli leo lazima asujudu

    Wengi wanachukizwa na tabia ya Benzema kutoiwakilisha imani yake ipasavyo anapofunga goli. Benzema hajawahi kusujudu akifunga goli. Hii tabia imewahuzunisha wengi sana. Wamemkumbusha Benzema anang'ara sasa hivi kwa uwezo wa mwanyaaazz. Wameendelea kumkumbusha Benzema akilalamika siku zile kocha...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Sinza kuwa na mashoga wengi

    Sinza kuna mashoga wengi kwa sababu aina ya maisha ya kule yapo juu sana. Kumbi za starehe zipo kila mtaa na zinapiga siku zote j Jumatatu mpaka Jumatatu yani hamna kupoa Vijana wanatafuta kila namna wavimbe kila siku ndo utakuta wengine wanakuwa matapeli wengine wanakuwa machawa wengine...
  16. Michael mbano

    JamiiForums Tanzania Nimepita wilaya fulani nimeona mapungufu haya kwenye vibao anuani za makazi...

    Kazi ambayo serikali imechukuwa muda kuiratibu lakini imetendeka ktk kiwango cha chini au kinachostaajabisha. Anuani ya makazi unakuta wilaya nzima vibao vimeandikwa kwa majina ya watu hivi ilishindikana kabisa kufatilia kujuwa jina la mtaa la asili? Au kuna watu walitaka kujitafutia umaarufu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wanawake wengi bila urembo hawavutii! Sio wazuri

    Kwema Wakuu! Ninawaelewa wanawake katika Kupenda pesa Kwa sababu bila matunzo Kwa kweli hawafurahishi, hawavutii, Kwa uzoefu wangu mdogo na wanawake nuliowahi kuwaona katika majiji makubwa nachelea kusema Wanawake wengi yaani 95% bila ya urembo hawavutii na wala hawaonekani kuwa wazuri...
  18. Lil bees

    JamiiForums Tanzania Kwenye nyumba za kupanga mabinti wengi hutumika sana

    Katika nyumba za kupanga nimejionea mambo kadhaa ambayo yamenipa mshangao. Wadada wengi hujikuta wanaliwa na wanaume wengi kadri wanavyo hama hama nyumba. Hata mabinti wadogo nao ni wahanga wa hili. Nilipo panga kuna binti mdogo mdogo ila anapenda kupewa zawadi sana sana. Naona karibia vijana...
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa Serikali za Mitaa wapiga dili. TAKUKURU wamulikeni

    Salaam Wakuu, Leo kijana wenu nimeona niseme kidogo kuhusu kero ya rushwa na kutaka chochote kitu kwa Viongozi wengi wa serikali za Mitaa wakiwemo Wenyeviti, Wajumbe, Watendaji na wengineo wa ngazi hiyo. Kumekuwa na muendelezo wa tabia ya viongozi hawa kutaka pesa kidogo (rushwa) kila...
  20. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

    Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini. Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika. Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena. Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
Back
Top Bottom