Omba omba ni wengi Jiji Dar

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
Leo nimehitimisha uchunguzi wangu usio rasmi. Nilichoona ni kuwa idadi ya omba omba jijini Dar imeongezeka. Na mamlaka husika sijui Wana mkakati gani kuwaondoa hawa ndugu zetu.
Hili ni tatizo kwa ustawi wa jamii.
Hatua za madhubuti zichukuliwe kwa taifa lililo kwenye uchumi wa kati
 
Kuomba sio dhambi,kuiba ndio dhambi.
Mbona hata Mbususu tunaomba lakini hatunyanyaswi.?
Wape heshima yao hao wahitaji.
 
Back
Top Bottom