Wanaopinga Serikali ya Rais Samia wapo wengi tofauti na matarajio yake kama Rais Mpenda haki na usawa

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Ni miezi michache tu tangu bibi yetu achukue kijiti hiki.Mwanzoni alionekana kukubalika saana hasa na wapinzani na wenye mlengo tofauti na aliye kuwa rais wakati huo.

Lakini hali imebadilika ghafla na kila mmoja wetu ana hofu nna mashaka juu ya hatima ya kesho.

Wengine wanajaribu hadi kumpinga hadharani nawengine wapo wanapinga chini kwa chini.

Nchi sio kisiwa cha amani tena,ni majuto,na tozo kubwa kubwa,sambamba na kutishiwa kuhama nchi ambayo kimsingi sisi ndo wenyenayo

Najaribu kufikiria na kuchambua hoja mbalimbali za kwanini mambo yanabadilika na kuzidi kuharibika kila uchwao?

Je,ni legacy ya JPM bado imo kichwani mwa wa tz walio wengi??
Je,ni kivuli/remote inayo m control Rais Samia?

Je, Ni usaliti na kampeni mbaya zidi yake ndani ya serikali yake?

Je,kuna watu wanamasilahi juu ya haya anayoyafanya?

Ama pengine hali ipo sawa,tofauti na fikra za wengi?

Karibu tujadili hili kwa manufaa ya wengi hasa hasa wale tuliopigwa na kitu kizito!

#magema jr
#uvccm taifa
 
Samia for life nani Kama Samia mtalia Sana , CCM mbele kwa mbele

USSR
 
mtaanduka yoooote, samia kama hajafa atakuwepo chamwino had 2030.


kwanza hafoki kishamba, hata majenerali huko watakuwa wanainjoi sana.


kuhusu upigaji... mwendazake amepiga pesa ndrfu sana kupitia vibaraka wake.


bora kwa sasa tunagawana
 
mtaanduka yoooote, samia kama hajafa atakuwepo chamwino had 2030.


kwanza hafoki kishamba, hata majenerali huko watakuwa wanainjoi sana.


kuhusu upigaji... mwendazake amepiga pesa ndrfu sana kupitia vibaraka wake.


bora kwa sasa tunagawana
Mungu hadhihakiwi
 
Ni Rais mpenda haki na usawa au ni Rais mpenda kuiba kura?
7nbv654311.jpg
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom