wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wafupi wengi wao huzaa kwa "upasuaji": Kuna ukweli gani ktk hili?

    Kuzaa kwa operesheni kuna sababu nyingi. Lkn nimeambiwa sababu kubwa ni ufupi wa mama mjamzito. Kuna ukweli gani ktk hili? My take; suala hili likithibitishwa kitaalamu basi wadada wafupi mwafwa!
  2. J

    JamiiForums Tanzania Dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi

    Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi. Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa kawaida pamoja na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kizazi cha sasa wengi ni legevu, hali inatisha sana

    Nyakati ngumu hutengeneza wanaume imara, wanaume imara hutengeneza nyakati zenye wepesi, nyakati zenye wepesi hutengeneza wanaume legevu, wanaume legevu hutengeneza nyakati ngumu. Kukosa mazoezi - wengi wapo kwenye viti makazini au darasani muda mwingi, kutembea ni kidogo sana usafiri umekuwa...
  4. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati apewe Waziri anayeaminika na watu wengi ili hata akisema lipo tatizo aaminike

    January si Waziri asiyeaminiwa na wengi hata michango ya watu iwe mitaani ama humu mitandaoni ukweli huo unajidhihirisha. Sasa ili kuwe na kuaminika tena kwa matatizo yahusuyo Nishati nikuombe Rais Samia teua Waziri mwenye japo chembe ya kuaminika na wengi wetu awe Waziri wa Wizara hiyo. Bado...
  5. Suzy Elias

    JamiiForums Tanzania Tunduma: Uwanja wenye wingi wa majajusi

    Nchi na Nchi hapa Ulimwengu lazima ziwe na mlango wa kuingilia baina yao. Mfano pale Tunduma Tanzania ndilo lango kuu la kuingia Zambia ukitokea Tanzania. Vilevile Rusumo,huko Kagera ndilo lango kuu la Tanzania na Rwanda. Tunduma,inasemekana ndilo lango linalindwa kwa gharama kubwa kupitia...
  6. Kididimo

    JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wawe wa kuchaguliwa au kuteuliwa hawapendi kukosolewa. Nchi haitaendelea kwa ujuaji tuu,ni hadi tukubali kukosoana bila kificho

    1. Ujamaa ulikufa kwa sababu ya viongozi kushupaza shingo kwa kukataa kukosolewa. 2. Viwanda vilivyobinafsishwa ( japo sera ilikuwa nzuri) haijulikani abc za nini kinaendelea. Wachina wako busy kuimarsha vya kwao na malighafi nyingi hazitoki kwenye jamii ili ipate maendeleo. Bunge likikosolewa...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ya Ulimwengu ni Maoni ya Wengi

    Spika Ndugai atajidanganya pakubwa kumnyooshea kidole Ulimwengu. Aliyoyasema Ulimwengu yanawakilisha maoni ya wengi. Zanzibar inapongezwa kwa hali ya maridhiano iliyopo inayeleta kupungua kwa misuguano: Balozi Wright atamani maridhiano ya Zanzibar yaje Bara Kwanini Zanzibar maridhiano ni...
  8. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Pro-CCM wengi ni Antisocial na wana Msongo mkubwa wa mawazo

    Kwa umri wangu wa kwenye mitandao, JF specifically nimejifunza na kugundua jambo hili, Pro-CCM wengi kama sio wote ni very antisocial na wanakitu kama stress Fulani hivi. No nadra sana kumkuta Proccm kwenye majukwaa ya MMU, Chitchat etc na hata ukibahatika kuwakuta huko lazima wachafue hali ya...
  9. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kuanza kula nyama ya kenge

    Nyama ya mamba inaliwa na inauzwa ghali Sana kg 1 ni 30,000/= pale kibaha kwa mzungu Sasa mamba na kenge ni ndugu je Kuna tatizo naomba ushauri. Naishi pembeni ya mto Kuna kenge wengi Sana.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania watu huhusisha paka, bundi na fisi na uchawi tofauti na Ulaya?

    Kwanini Tanzania watu wengi huhusisha viumbe mfano wa paka, bundi na fisi na uchawi? Ulaya viumbe hawa ni marafiki wa karibu sana wa binadamu. Naomba jibu.
  11. sirluta

    JamiiForums Tanzania Hivi wabunge wa CCM mnajisikiaje, wananchi hawafuatilii Bunge wanafuatilia kesi ya Mbowe?

    Tuelekee moja kwa moja kwenye swali la msingi. Miaka ile bunge lilipokuwa limechangamka ndipo yakaibuliwa maovu ya serikali watu walikuwa wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia bunge. Leo hii sijui bunge halina mvuto, wananchi wanaahirisha shughuli zao wanafuatilia kesi ya akina Mbowe kama...
  12. BAK

    JamiiForums Tanzania Kama huu ni Uchochezi wa Vitali Maembe, basi Watanzania wengi ni Wachochezi

    Kama huu ndio uchochezi, basi wananchi wengi ni wachochezi. Huu ndo wimbo unaotumika kutaka kumuangamiza Vitali Maembe,pamoja na "nyimbo nyingine". Sambaza Link ya Wimbo huu ili umma uamue kama anastahiki kuhukumiwa au kutuzwa.
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanandoa wengi huchepuka siku ya Jumamosi wanapohudhuria sherehe

    Jumamosi wanandoa wengi husingizia kwenda kuhudhuria sherehe za ndoa Kitchen party na birthday party. Huko wanakoenda kuhudhuria hujikuta wanafanya mambo ya ajabu na aibu kabisa.
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Tumetoka mbali sana, tumshukuru Mungu. Wengi hawakujionea kwa macho

    Yaani wengi watadhani ni as mulizi tu za Jomba Buji, lakini huku ndiko haswa tulikotoka 1. NGOMA YA MDUNDIKO Zama zile MDUNDIKO ulipita mtaa kwa mtaa jijini, ni mwendo mpwitompwito, nyimbo, ngoma, matusi, mikatiko, yaani kivumbi na jasho, unatoka kwenu Buguruni unajikuta uko Kawe Mzimuni, na...
  15. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya vijana wengi inabidi uangalie kifua ndio ujue jinsia yake

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa. Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana. Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

    Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
  17. Influenza

    JamiiForums Tanzania 16 - 22 Oktoba: Dar yarekodi Wagonjwa wengi wa #COVID19 Kimkoa. Waliougua nchini wafikia 26,154

    Taarifa ya mwendelezo wa mwenendo wa #COVID19 iliyotolewa na Wizara ya Afya inaonesha kuwa kwa wiki ya kuanzia Oktoba 16 - Oktoba 22, 2021 hakuna kifo kilichoripotiwa nchini Taarifa hiyo inaonesha kuwa mikoa 10 kati ya 26 imerekodi jumla ya wagonjwa 39 huku mkoa wa Dar ukiwa na wagonjwa wapya...
  18. mud-oil-chafu

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wengi hawataripoti vyuoni kwa sababu hizi

    Ukiangalia ile pdf ya loan board watu wanawastan wa ada shilingi 350000 rough estimation, vyuo vingi ada ni mill +. Wanachuo wengi ada wanajilipia na huwa wanalipia kupitia like boom la kwanza huku hela ya books and stationary 200000 ndo huwa inawapa confidence so wengi palehiwa wanakata kaka...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kuongeza bei za data, lengo ni kuibana internet isifikie wengi au ni kuota ndoto kwamba wananchi wana pesa za mchezo kununua mabando

    Miezi michahe iliyopita hili jambo lilipigiwa kelele sana pale mitandao yote kwa mpigo iliposhinikizwa kubadili bei zao kutokana na mabadiliko kadhaa ya sheria. Kiukweli kisu kiligonga mfupa na wananchi kelele zao zilikita kila kona na mpaka raisi akaingilia kati. kwa sasa ndani ya miezi...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
Back
Top Bottom