Kwanini waajiri wengi hawapendi house girl wenye watoto?

Hell is real

JF-Expert Member
Aug 14, 2021
204
364
Habari wakuu!! Siku hizi kuna uhaba mkubwa wa house girl, waajiri wengi hawapendi wadada wenye watoto, tatizo ni nini??? Wakati hiyo ni kazi kama kazi zingine.

Kwa upande wangu mm naona huu ni ubaguzi na unyanyasaji Kwenye swala nzima la ajira!!!
 
Singo maza wanapigwa pin kila sehem sjui wanakosea wap
Hata kwenye ajir ra polis juz nmesoma nmeona hawaajiri mwenye mtto
 
Habari wakuu!! Siku hizi kuna uhaba mkubwa wa house girl, waajiri wengi hawapendi wadada wenye watoto, tatizo ni nini??? Wakati hiyo ni kazi kama kazi zingine!!! Kwa upande wangu mm naona huu ni ubaguzi na unyanyasaji Kwenye swala nzima la ajira!!!
Sehemu nyingi za ajira zinakua na vigezo na masharti, hata mashirika ya kusaidia watu yana vigezo vya kutoa ajira.
 
Fikiria housegirl ana mtoto mdogo, na boss wake ana mtoto mdogo. Ikitokea watoto wote wanahitaji attention ya haraka kwa wakati mmoja, unafikiri ataanza kumpa attention yupi?
Halafu pia hawawi makini sana ikiwa mwanae yupo mbali naye na ukimchukua akae naye ndio atakuwa bize naye kuliko..

Wanakuwa washa vurugwa na maisha ...

Sasa anaweza kuwa mzuri au mbaya..
 
"Usitumikie mabwana wawili" wengi hawawezi kuhudumia mtoto na kazi kwa pamoja, lazima kimoja kizorote.
 
"Usitumikie mabwana wawili" wengi hawawezi kuhudumia mtoto na kazi kwa pamoja, lazima kimoja kizorote.
Kama n hvyo basi wamama wote wenye watoto .,wanawake wenye watoto labda ukute tu mvivu ,ama mchafu hapo ndo kutakuwa na shida ila ukikuta mchapakazi ,msafi.
 
Wahindi wanajua sana kuwatumikisha wafanyakazi za ndani hasa wanawake. Pamoja na kwamba wanawapa mshahara sawa na wa kima cha chini cha serikali. Pia mfanya kazi hua anahudumu ndani ya muda wa kisheria wa muajiriwa.

Ila wahindi wanahakikisha kazi zinqfanyika kwelikweli. Yaani wanapata thamani halisi ya mishahara wanayotoa

Tatizo la waswahili wanataka mambo meengi sana kwa mfanyakazi. Mara asiwe na mtoto, asiwe mbea, asiwe na simu, asiwe na ndugu wala rafiki japo haingilii kazi zake, asiwe, asiwe asiwe......!!!! Marufuku kibao

Mshara sasa ndio kasheshe. Na kwa vile anakaa hapo nyumbani basi kazi anamaliza saa sita usiku na anatakiwa aamke tena saa kumi na moja alfajiri!!!

Kibaya zaidi ajira za hawa wadada wa kazi zipo mikononi mwa kina mama na wao ndio wanongoza kuwa mistreat! Mwnaume ukitaka kuingilia ili atendewe haki utaambiwa ni demu wako au unamtaka!!!
 
Wa kwangu alikuwa analeta sheria za malezi ya mwanawe kwa mwanangu. Kitu kidogo kofi, mara konzi mtoto wa miezi 11. Eti ajifunze. Nikamwambi weeee. Alivyokwrnda kwao geita nilimrushia talaka tatu hukohuko kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom