wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. JF Member

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Awamu ya Tano tuliona Marais wengi sana wa Afrika wakija, ilikuwa mwanzo wa uimara?

    Tuliona Marais na Wafalme mbalimbali wa Afrika wengi sana wakija hapa nchini. Mimi niliamini kabisa Africa Union (AU) inaenda kuwa imara, tena yenye maono sahihi kwa ajili ya Waafrika. Nini kimetokea siku hizi, maana siwaoni wakija tena. Je, Magufuli alikuwa na nia ya kuiunganisha Afrika?
  2. Kulupango

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Ikiwa imeshapita mwaka mmoja sasa tangu Kanisa kubwa la Byzantine empire liitwalo HAGIA SOPHIA kubadili muelekeo na kuwa Msikiti huko Instanbul, Quora inawezekana ikawa ni mtandao unao tegemewa sana katika harakati za kiimani, Quora ni tovuti ya kijamii ya maswali na majibu iliyopo Mountain...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe angekuwa makini angejikita zaidi kwenye kuwaendeleza na kuwapatia elimu ya siasa na uraia wanachama wake vyuoni

    Siasa ya karne hii inahitaji elimu ili uweze kupambanua mambo na kuwa na hoja za msingi. Vijana wa CHADEMA wengi elimu yao ni duni sana na ni watu wa kulalama kwa mkumbo tu bila kutumia akili sababu elimu ni hakuna. Spika amezingatia misingi ya katiba maana hawezi kuenda kinyume na katiba...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Babu zetu waliwakataza wanawake kula mayai na nyama wakiwa na mimba kuzuia mtoto kuwa mkubwa, wengi wamekiuka hujifungua kwa upasuaji

    Wahenga zetu kwa namna moja au nyingine walikuwa na akili sana. Zamani haya mambo ya upasuaji yalikuwa bado sana na mtoto alikuwa anazaliwa nyumbani kwa msaada wa wakunga ila kazi ya kumtoa mtoto kwa kiasi kikubwa ilikuwa kwa mwanamke kumsukuma mtoto atoke, hakukuwa na shortcut ya upasuaji kwa...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa Marekani wamekata tamaa na siasa

    Kwa mujibu wa matokeo ya utafiti wa vijana wenye umri wa miaka 18 hadi 29 nchini Marekani yaliyotolewa Aprili 25 na Taasisi ya Siasa ya Kennedy ya chuo kikuu cha Harvard HKS, 36% ya waliohojiwa wanaona kuwa "shughuli za kisiasa ni nadra kuzaa matokeo halisi", na 42% ya waliohojiwa walisema kura...
  6. chiembe

    JamiiForums Tanzania Mbowe aache ubaguzi: Wanachama wengi wa CHADEMA ni jobless, kwanini asiwatafutie ajira hao, anatafutia wenye kazi?

    Nimeona tamko la Mbowe kumtafutia mbunge mmoja ajira ya mshahara wa milioni 34. Hiki chama asilimia kubwa hawana ajira, wanaganga njaa, kwanini hawatafutii ajira hawa? Vijana wa chadema, hata hili mmeshindwa kuhoji?
  7. N

    JamiiForums Tanzania Natabiri show ya leo Tcc wasanii wengi kuimba wakiwa BWIIIIII

    Hiyo show ya legends wasaniii wa zamani ni a very good idea na list ni kubwa sana hadi inafurahisha ila ukweli ni kwamba hawa ndugu zetu wengi wao wamepoteza ramani vibaya mnooo wanalewa kupita kiasi na wana stress sana tutarajie nusu ya PAFOMAZI kuimba wakiwa bwax yaani itakuwa mikoromo...
  8. britanicca

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia, Ila ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi

    Tunamshukuru sana Rais Kwa Miaka 7 ongezeko la mshahara linekuwa leo tena Kwa asilimia 23 kuzidi nchi nyingi zilizo tu zunguka Asante Rais wetu.Ila Ongezeko la Mishahara haliakisi unafuu wa maisha Kwa Mtanzania kama ambavyo huwa inadhaniwa na wengi kwa ukweli kwamba wanafanyakazi hao wa...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Redpill talk: Wanawake wengi wanafurahi sana kukukataa pale unapowatongoza

    Hili swala nimelifanyia uchunguzi, Yani hata kama mdada hajavutiwa na wewe na hakutaki, ukimtongoza hlf akakukataa tena ile ya kikatili na ya kiroho mbaya bila sababu maalumu, rohoni huwa wanafarijika na kufurahi sana, ni wadada wachache ambao watakukataa huku mioyoni mwao wakiwa wanakuonea...
  10. chiembe

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbowe kuzuia Siasa za matusi, Lema, Lissu, Mdude, Maranja Masese, na vijana wengi wanaweza kufa kisiasa!

    Jana katika hotuba ya Mbowe, alizuia Siasa za matusi zonazofanywa na wanasiasa waandamizi wa chadema. Kimsingi, wanachadema hutumia matusi, kejeli na dharau kubwa dhidi ya wanaowapinga, ili wapate uhalali kisiasa. Hii tabia ni sawa na udikteta, ila unajificha tu katika kutukana na kushambulia...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wazazi wengi wa Kikristo wanachelewesha maisha ya watoto wao sana. Wanatoa sapoti ya elimu tu

    Habari wadau. Nimegundua wazazi wengi wakristo wa Tanzania bara wagumu sana kusapot watoto wao nje ya kulipa ada za shule na vyuo. Hata kama wana uwezo Ukiomba mtaji hawakupi ila ukitaka kusoma mpaka phd ada italipwa. Nina jamaa nawaona wana wazazi wapo vizuri ila hawapewi sapot za maisha...
  12. Mesja

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu plz

    Je naweza nikatoka nje ya nchi yangu,nikawa natumia namba yangu ya simu nayotumia au natakiwa kubadilisha mtandao
  13. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mapenzi ya kweli ni adimu kama dhahabu na wengi tunayagundua baada ya kuyapoteza

    Frank ni mtoto wa mwalimu na baba yake alimkazia sana kwenye elimu yeye na ndugu zake. Kwa miaka yote wakiwa shule ya msingi baba yao hakuwahi kwenda kunywa bia bar, alirudi nyumbani na kuoga na kuanza kuwa mwalimu wa watoto wake. Topic za hesabu Frank alifundishwa mwezi mmoja kabla ya wenzake...
  14. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Umaskini wa watu wengi hapa nchini umesababishwa na ujinga au upumbavu

    Habari! Samahani kama haya maneno "ujinga na upumbavu " vitakukwaza. UJINGA ni hali ya mtu kukosa ujuzi, elimu au taarifa fulani muhimu ambayo ingemsaidia kutatua changamoto za kwake au za jamii yake. Huku UPUMBAVU ni hali ya mtu kushindwa kutumia elimu, maarifa au ujuzi aliona ili kutatua...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

    Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo. Katika...
  16. britanicca

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

    Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR. Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika...
  17. U

    JamiiForums Tanzania Video ya Mzungu huyu TZ Ina views wengi ndani ya siku moja kuliko royal tour

    Kuna huyu Mzungu yupo huko you tube huwa anafanya documentary kuhusu misosi na utamaduni ndani ya nchi mbalimbali duniani na channel yake Ina nguvu sana. Inaitwa best ever food review show, Sasa huyu mtu ana subscription za you tube mil8.4 zaidi ya diamond platnumz, huyu mtu ameitangaza nchi ya...
  18. Mawematatu

    JamiiForums Tanzania Diamond ana hekima Sana. Wengi hawamuelewi. Wakati mwingine hata chawa wake ndio wanamutungia maneno

    Mada inajieleza. Naseeb anaheshima Sana. Na kama unajua unapokuwa na heshima watu wanakuheshim naazia Kwa wema. Wema anavyoheshimiana na mond ni ishara ya kwanza, na anapozaa wanae na mwenza wake wanabaki kuheshimiana, juzi kati huyu binti ambaye amejaaliwa heshima na ni mpole (Jina ) alikuwa...
  19. American Dream

    JamiiForums Tanzania Celebrities wengi wa Bongo ukikutana nao unakuwa disappointed kwa mwonekano wao

    Moja kwa Moja mi naanza na Lulu Elizabeth Michael picha zake nyingi unapata imagination kuwa ni mrefu kiasi lakini ukikutana nae kwa ule ufupi unakuwa disappointed 😞
  20. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanaume wengi wanaogopa kuoa wanawake wapambanaji na wanaojielewa?

    Sijui kwanini linapokuja swala la kufunga ndoa wanaume wengi huwa wanaogopa kuoa wanawake wanaojitanbua na wapambanaji. Wanaume wengi wakigundua nature ya mwanamke anaetaka kumuoa ni msomi ana kazi yake nzuri au mwanamke ana biashara zake na ana maisha yake basi linapokuja swala la kuoa huwa...
Back
Top Bottom