Vincenzo Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2020
- 12,168
- 25,479
Madhara ya supu yameanza kuonekana kwa wana Uto.
Ndo mi nashangaaTukimjua atatusaidia nn kwenye haya maisha. Ww umemtambua na upo hapa hapa jf
BUgatti haji manara!
Madhara ya supu yameanza kuonekana kwa wana Uto.
Hii post ni mfano tosha
Huyo ni pacome fundii wa boli ukitaka kujua alifanyaje muulize shabiki wa simba sc atakwambiaTukimjua atatusaidia nn kwenye haya maisha. Ww umemtambua na upo hapa hapa jf
supu imekuuma sana! huchoki kuisema next time jilegezeni tena tuwapige tule supuMadhara ya supu yameanza kuonekana kwa wana Uto.
Hii post ni mfano tosha