wengi

Wengi is a municipality in the Seeland administrative district in the canton of Bern in Switzerland.

View More On Wikipedia.org
  1. Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume

    Haya ni baadhi ya mambo ambayo single mama wanatafuta kwa mwanaume: 1. Mwanaume Anaelewa, na kutambua shida za Single Mom. 2. Mwanaume aliye simama Kimaisha. 3. Mwanaume mwenye Fedha. 4. Mwanaume anayeweza kumlinda kihisia, mwanaume aliye kamili kihisia. 5. Mwanaume anayeleta Usalama...
  2. R

    Jina la Yesu wanalotumia wahubiri wengi si jina la Yesu wa kweli

    Jina la Yesu Kristo linapotamkwa kutatua jambo kama ugonjwa, mauti, au kutoa pepo hutamkwa mara moja TU na jambo lile likatendeka. Iko mifano mingi kwenye Agano Jipya, mmojawapo ni ule wa Petro kumponya kiwete pale kwenye mlango wa hekalu. Hawa wahubiri wetu wa siku hizi wa kulitaja jina la Yesu...
  3. Utafiti: Vijana wengi wanaotumia muda mwingi sana na simu kupost picha zao na memez status hawajatulia kwenye mahusiano

    Jarida Moja nchini Korea ya kusini imefanya utafiti vijana wengi sana ambao Wapo active kwenye mitandao ya kijamii wanajiuhusisha na mapenzi zaidi ya wapenzi wawili. Jarida hilo limeenda mbali hadi kukagua Maisha binafsi ya wanasiasa vijana, wanaharakati, na watu mbali mbali. Wakagundua...
  4. Makundi ya wanaopinga ndoa na maisha ya ndoa

    Hali inazidi kuwa mbaya kwa vijana wetu hasa hawa wa kiume wanahamasishana kila kona na kampeni yao yenye hashtag #KATAA NDOA Sababu wanazotoa zinachekesha mno na kwakweli hazina mashiko.. Kubwa ikiwa ni kuogopa kusalitiwa lakini pia kuna la uchoyo na kukwepa majukumu ila haya hawayasemi kwa...
  5. Hivi ni kwanini Rappers wa kike wa Mbele "mamtoni" wengi ni pisikali halafu huku kwetu Rappers wa kike wanajifanya ni majike dume?

    Kwema Wakuu! Kabla Sabato haijaingia nimelikuwa nacheki hapa muziki nikaona huyu Mwanamuziki Card B, hapohapo nikashangaa swali linakuja. Inakuwaje Rappers wakike wa Mbele, makuu, mamtoni, Kwa Biden, ni pisikali, wanamvuto wa kike, yaani sio Pouwa. Wanamapozi ya kike, wanajichetua...
  6. Kwanini Nelson Mandela hakumsamehe Winnie Mandela

    Ukweli ni kwamba Winnie alikuwa na wapenzi wengi kipindi mandela yupo gerezani. miezi kadhaa kabla ya mandela kutolewa alikuwa na uhusiano na Dali Mpofu mwanasheria alietofautiana naye miaka 30 ambaye alikuwa katika timu ya wanasheria wa utetezi Aliendeleza uhusiano huo hata baada ya Mandela...
  7. Watu wengi wanaoponda ajira ni umasikini / utumwa mara nyingi wazazi au ndugu zao wana ajira za chini sana

    Oh, Ajira ni utumwa Oh, kuajiriwa ni manyanyaso Huwa hawanaga utofauti sana na wale waliokulia maisha ya kimasikini ambao ni rahisi sana kuwajua siku hizi, ukisikia mtu anatumia sana msemo maarufu " Tafuta pesa" ni kwamba huyo kuna uwezekano mkubwa sana kakulia maisha ya kimasikini sana. Basi...
  8. Kwanini wazazi wengi hamthamini malazi ya watoto

    Asilimia kubwa ya familia zetu waswahili wenye kipato na wasiyo n kipato ukienda angalia mahali ambapo watoto hulala unapata maswali sana Unakuta watoto wanalalia godoro limechoka, Unakuta watoto hawana shuk wanajifunika mitandio, wengine khanga, wengine vitenge au shuka zimechakaa Unakuta...
  9. Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu

    Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitima. Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandari Padri kitime amesisitiza kwa sasa serikali inataka kuligawa Taifa kwenye pande mbili wanaokubaliana na wasiokubaliana,lakini wengi wanaokubaliana wanahofi tu kwa...
  10. Serikali Ifanye Hili Kabla ya kuruhusu Mabasi Kusafiri Kwa Saa 24, Vinginevyo Mtaua Watu Wengi

    Serikali imesema hivi karibuni itaruhusu mabasi kusafiri kwa saa 24, ni jambo jema sana endapo jambo hili muhimu litafanyiwa kazi. Jambo lenyewe ni kufunga taa kwenye barabara kuu zote, fungeni taa zinazotumia solar panels ili kuongeza mwanga barabarani, kwa wanao endesha usiku watakubaliana...
  11. Kwanini Marais wengi wa barani Afrika hupenda kulindwa na watu watokao kwao au hata ndugu zao?

    Nina Taarifa za uhakika (100%) kwa Kujiamini kabisa (kama ilivyo Desturi yangu GENTAMYCINE) kuwa kuna Rais Mmoja Afrika (kwa sasa nimemsahau Jina) analindwa na Wajomba zake Wawili huku Mwingine akiwa ni Mfanyakazi wake wa Ndani ambaye pia ndiye aliyemlelea Wanawe Wakubwa Wawili (Mmoja Kazaa na...
  12. Kwanini Watanzania wengi hawaiamini Mahakama?

    Leo nilikuwa mahakamani ambapo nilikutana na mtu mmoja aliyenimbia kuwa ana kesi yake mahakamani lakini hana Imani kama mahakama itatenda haki. Kwa uzowefu wangu ni kwamba watu wengi hawana Imani na mfumo wa mahakama ila hawana la kufanya kwa kuwa ni lazima mashauri yao yaamuliwe mahakamani...
  13. Watanzania (wengi) ni evil!

    Nimeumia sana, mtu mtoto wa miaka 5 kampeleka boarding school, kamkabidhi shuleni kaondoka mtoto analia lkn hajali anayeitwa mzazi kaondoka, hivi unawezaje hata kulala usingizi mtoto wako wa miaka 5 yuko boarding?
  14. Je, hii ni moja ya sababu kwa nini vijana wengi wa Tanzania hawatoboi?

    Kutokuwa tayari kula na watu. Kuna dogo mmoja anafufua na kuuza PC kwa bei rahisi. Alinifuata anaomba mtaji na hataki kukopa benk. Nikamwambia sasa mimi nitawekeza kiasi kadhaa alafu katika hiyo faida na mimi nipata kiasi flani, hata pesa ya marketing ntashiriki. Hii ingemsaidia kukua kwa...
  15. Hii ndio sababu kwanini wahuni, watu tunaowaona wadhambi wengi wataingia mbinguni kuliko watakatifu wa kidigitali

    Hawa jamaa waliopinda, wahuni, wezi, vibaka na watu wa aina hii licha ya ukorofi wao huwa wakibanwa kwenye kona ni wapole sana na wepesi kutubu. Nakumbuka ajali moja ya Bajaji abilia wote walikuwa wamelewa chakali lakini wakiwa majeruhi walikuwa wanatubu na kumuomba Mungu fasta kabla hawajadedi...
  16. Kwanini January Makamba akipewa wizara anafanya mabadiliko ya staff wengi?

    Kwa mliofuatilia teuzi za January. Akiteuliwa tu hubadili watendaji wa wizara karibia wote hadi kuvunja board za wakurugenzi? Hii ni tofauti kabisa na wengine? Shida Huwa ni Nini? Wataalam wa huko mawizarani huwa kuna Nini? Na haohao aliowaweka siku akiondoka wanashangilia Tena.
  17. Hali ya wanafunzi wengi wa vyuo kupunguza bidii katika masomo

    Kumekuwa na Situation ya wanafunzi wengi walio vyuoni kupunguza nguvu ya kusoma kwa bidii, Wanafunzi wengi wamekuwa wakijichanganya sana mtaani kwa shughuri za kuingiza japo pesa kidogo (Mishe Mishe). Kwa Upande wangu naweza sema, Changamoto ya Ajira wanayo ishuhudia ndio inawakosesha nguvu ya...
  18. Gabon: Jeshi limechukua madaraka baada ya Ali Bongo kutangazwa mshindi wa Urais

    Kikundi cha Wanajeshi 12 kimechukua uamuzi huo ikiwa ni siku chache tangu Tume ya Uchaguzi kutangaza kuwa Rais Ali Bongo ameshinda tena Kiti cha Urais Wanajeshi hao wametangaza kupitia Televisheni ya Taifa kuwa wanafuta matokeo yaliyoyangazwa na kuzifuta Taasisi zote za Umma pamoja na kulinda...
  19. S

    Sababu kubwa kwanini watu wengi hawafuti namba za ma-EX wao

    Watu wanaachana lakini namba hawafuti. Unajua ni kwanini? Kwasababu ni suala la muda tu ipo siku watatafutana. Nami nakushauri kamwe usifute namba ya ex wako. Ipo siku atakufaa kwa matumizi ya dharura.
  20. Utafiti: Kuzaa Watoto mara nyingi (Watatu na Zaidi) kunaweza kusababisha Saratani ya Mlango wa Kizazi

    WATAALAMU wa afya wameeleza sababu kubwa ya wanawake kupata saratani ya mlango wa kizazi ni ngono katika umri mdogo na wanawake kuzaa watoto wengi. Sababu zingine zilizotajwa wanawake kuwa katika hatari ya kupata saratani hiyo ni wanawake wanaofanya ngono na wanaume wengi na wale wenye virusi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…