Wanawake wanasheria ni ngumu sana kuolewa, wakiolewa wengi ndoa zao hazidumu. Walimu wanaolewa sana na ndoa zao zinadumu kwanini?

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,882
155,860
Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.

Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.

Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.

Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
 
Nimeoa mwanasheria. Kazi ninayo.
 
Mkuu siyo kwenye ndoa tu.
Hata kama una Nyumba yako usimpangishe Mwanasheria, they are troublesome creatures wanacomplications nyiiiiingi.
 
Sio walimu wa siku hizi
 
Mfumo wa uchumi unawafanya wapoe, sasa hakuna kazi hasa kwa mawakili, soko limejaa, kwa sasa ni kawaida sana kukuta mwanasheria/wakili kazalishwa na bodaboda, in the past, it was a proffession of noble people. Special class in the society, the learned one
 
Nafahamiana na wanawake wengi sana wanasheria, wenye tabia njema na wenye uzuri na mvuto wa kila aina.

Wanawake hawa wengi hawana waume, hata kama wana watoto.

Baadhi walifanikiwa kuingia kwenye taasisi ya ndoa, wengi ndoa zao zikafa, licha wapo wachache zimesimama imara.

Kwanini hali ni tofauti na walimu ambao wengi wao wameolewa na ndoa zao zinadumu sana?
Ujuaji..!!
 
Mkuu siyo kwenye ndoa tu.
Hata kama una Nyumba yako usimpangishe Mwanasheria, they are troublesome creatures wanacomplications nyiiiiingi.
Usiombee awe Muhaya, halafu jirani yako shambani, kila siku kazi yake ni kumega ardhi yako kwa kuhamisha mawe ya mpaka. Thanks God siku hizi mipaka iko kisayansi zadi kwa coordinates za kidigitali
 
Back
Top Bottom