Wanawake wengi wanaolewa ili kupata urahisi wa maisha na sio upendo wa kweli

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,304
Jambo?

Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.

Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaolewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli.

Sasaivi sio jambo la ajabu kuona Mwanamke akidai talaka baada ya kufunga Ndoa iliyodumu kwa muda mchache, sasaivi sio ajabu kuona Mwanamke akimuua Mwanaume wake ili arithi mali, sasaivi sio ajabu kuona Mwanamke akimuibia mume wake mali na kuziwekeza sehemu ili baadae awe na maisha ya uhuru na kujitegemea.

Kama wewe ni Mwanaume na unajitambua basi ni vyema ukajiweka tayari muda wowote dhidi ya Mwanamke utakaemuoa.

Kama unaona mambo hayaeleki ni vyema ukaishi peke yako, kwani kuishi peke yako sio kosa kisheria ndio maana hata Manguli wa Sayansi waliishi peke yao bila ya kuoa.

Mjanja M1 ✍️
 
Jambo?

Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.

Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaoelewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli.

sina hakika na sigahamu kwakweli 🐒
 
Yote tisa, lakini mtoa mada si kaongea ukweli 😁 Depal
Ni kweli ndiyo.
Baba chanja mchele unakaribia kuisha
Baba chanja gas imeisha
Baba chanja pesa ya nguo za watoto
Baba chanja ehee baba chanja yooo
Baba chanja naomba pesa nusu nibadili hii cm nimeichoka.
Baba chanja kuna mchango wa harusi wa workmate nisaidie.
Baba chanjaa weuweeee 😘😘
 
Jambo?

Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.

Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaoelewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli.

Sasaivi sio jambo la ajabu kuona Mwanamke akidai talaka baada ya kufunga Ndoa iliyodumu kwa muda mchache, sasaivi sio ajabu kuona Mwanamke akimuua Mwanaume wake ili arithi mali, sasaivi sio ajabu kuona Mwanamke akimuibia mume wake mali na kuziwekeza sehemu ili baadae awe na maisha ya uhuru na kujitegemea.

Kama wewe ni Mwanaume na unajitambua basi ni vyema ukajiweka tayari muda wowote dhidi ya Mwanamke utakaemuoa.

Kama unaona mambo hayaeleki ni vyema ukaishi peke yako, kwani kuishi peke yako sio kosa kisheria ndio maana hata Manguli wa Sayansi waliishi peke yao bila ya kuoa.

Mjanja M1 ✍️
Hiyo ya manguli wa sayansi ni story za vijiweni .
Ila kuishi peke ako ni better zaidi nakubaliana na ww mjanja
 
Jambo?

Kwa ulimwegu wa sasa wenye changamoto nyingi za malezi na uzinzi uliokithiri kupita kiasi usije ukajidanganya kuwa mwanamke unaetaka/uliemuoa anakupenda kwa dhati.

Mwanamke aliewahi kuwa na mahusiano kadhaa nyuma huwa anaoelewa kwasababu ya vitu na sio upendo wa kweli.

Sasaivi sio jambo la ajabu kuona Mwanamke akidai talaka baada ya kufunga Ndoa iliyodumu kwa muda mchache, sasaivi sio ajabu kuona Mwanamke akimuua Mwanaume wake ili arithi mali, sasaivi sio ajabu kuona Mwanamke akimuibia mume wake mali na kuziwekeza sehemu ili baadae awe na maisha ya uhuru na kujitegemea.

Kama wewe ni Mwanaume na unajitambua basi ni vyema ukajiweka tayari muda wowote dhidi ya Mwanamke utakaemuoa.

Kama unaona mambo hayaeleki ni vyema ukaishi peke yako, kwani kuishi peke yako sio kosa kisheria ndio maana hata Manguli wa Sayansi waliishi peke yao bila ya kuoa.

Mjanja M1
Upendo wa kweli alikuwa nao Yesu pekee kwa kutoa uhai wake ili wenye dhambi waokolewe, Binadamu hafikii kiasi hicho hata kwa 30% tu.

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.
 
Ni kweli ndiyo.
Baba chanja mchele unakaribia kuisha
Baba chanja gas imeisha
Baba chanja pesa ya nguo za watoto
Baba chanja ehee baba chanja yooo
Baba chanja naomba pesa nusu nibadili hii cm nimeichoka.
Baba chanja kuna mchango wa harusi wa workmate nisaidie.
Baba chanjaa weuweeee 😘😘
Ndo unavotakiwa .. hivo
🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom