Uongozi wa Simba sio mbovu kama wengi wanavyotaka kuaminisha watu

Masikio Masikio

JF-Expert Member
Apr 12, 2023
1,840
3,378
Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili.

Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti.

Kipindi kile Yanga walikua wanasajili kimya kimya sana kuna muda mpaka sisi mashabiki wa Yanga tukaona msimu huu wa sasa tunaenda potea sababu Simba kupitia ahmed aly walikua wameteka media zote.

Nakumbuka baada ya kumsajili ngoma aliniapia lazima watamfunga Yanga saba aliongea hayo maneno akiwa kwenye dimbwi la furaha kubwa sana na sio yeye tu kila mshabiki wa simba alikua anatabasamu
Kitu ambacho walisahau mpira hauchezwi mdomoni au kwenye media bali uwanjani.

Uongozi wa simba uache PR kwenye usajili bali ijukite kwenye kusajili wachezaji watakaokua na msaada na timu na wajitahidi kucheza karata zao vizuri kwenye usajili.
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili

Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti

Kipindi kile Yanga walikua wanasajili kimya kimya sana kuna mda mpaka sisi mashabiki wa Yanga tukaona msimu huu wa sasa tunaenda potea sababu Simba kupitia ahmed aly walikua wameteka media zote

Nakumbuka baada ya kumsajili ngoma aliniapia lazima watamfunga Yanga saba aliongea hayo maneno akiwa kwenye dimbwi la furaha kubwa sana na sio yeye tu kila mshabiki wa simba alikua anatabasamu
Kitu ambacho walisahau mpira hauchezwi mdomoni au kwenye media bali uwanjani

Uongozi wa simba uache PR kwenye usajili bali ijukite kwenye kusajili wachezaji watakaokua na msaada na timu
kuna watu utajaribu kuwatetea ila hawateteeki...
 
"Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili". Huu ndio ubovu wa uongozi wa Simba. Usipo sajili vizuri unakosa timu bora.
 
Mashabiki wa Simba wananikumbusha ule wimbo maarufu wa simamaa kaa rukarukarukaaaa simama kaa
Team ikishinda wanaruuuuuuka hadi juu team iki draw wanasimama ikifungwa wanakaa wanaanza lawama kwa viongozi
 
Back
Top Bottom