Ni kwanini makapenta (Mafundi Seremala) wengi wao ni matapeli?

Curtis De Mi Amor

Senior Member
Jan 9, 2022
134
498
Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡.

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. 🤬
 
hata siwaonei huruma halaf wan maisha ya ajabu sana kunaye mmoja back days alipewa pesa na mbao achonge makabati yale ya ndani ya nguo jamaa akawa anakuja anavyojisikia mbaya zaidi akataka mbao akazichonge achore maua aweke vioo achonge sehem ya vitasa lile bahau likasepa na hela nanmbao akacha kabegi kake kana randa mbili misumeno miwili misumar gundi ya mbao jeki ndogo

mwanzoni mama yangu akasema wala simfuatilii atarudi ameacha vifaa kutahamaki siku zinazidi kuhesabika,baba akasema ngoja nimtilie tim anapokaa anajulikana kesi ikaenda polisi akalipa nusu vifaa had leo vipo nyumbani stoo ikabidi tuingie gharama ya kutafuta fundi mwengine ambaye kwa sasa n marehemu na alifanya kaz within a short period of time.
 
Miti ni Viumbe, Miti ina maagano, Miti ina majini, Miti ina roho, Miti imefanyiwa makafara, Miti ni viringe vya Wachawi, Miti ni Dawa, Miti ni kila kitu.

Mkata Miti/Fundi Carpenter ni Sawa tu na Mchinja Mifugo Machinjioni. Akili zao zishavurugwa, Hawana cha maana wanachofanya. Yuko wapi Pierre Likwid. Anyway msamehe bure huyo fundi.
 
Hiyo kenfa ni miti Fulani mirefu na minene, mbao yake Huwa nyekundu, inataka kufanana na calypta au mininga. Kibali chake kinatoka kwa cubic meter.

Ni ngumu sana hizo mbao na wanasema ukiwa nazo ndani basi hata watu wabaya si rahisi kukuzuru. Pine na saiprasi nazenyewe ni jamii hiyo ila kenfa yenyewe kabisa Ile mekundu ni extinct ila ipo kwa uchache. Picha ntakuletea siku nikiingia Tena chimbo.

Samahani mkuu mbao za kenfa zipoje? Ndio nazisikia leo. Kama una picha ya hizo mbao au mti wake naomba nionyeshe.

Pole pia kwa tukio hilo
 
Miti ni Viumbe, Miti ina maagano, Miti ina majini, Miti ina roho, Miti imefanyiwa makafara, Miti ni viringe vya Wachawi, Miti ni Dawa, Miti ni kila kitu.

Mkata Miti/Fundi Carpenter ni Sawa tu na Mchinja Mifugo Machinjioni. Akili zao zishavurugwa, Hawana cha maana wanachofanya. Yuko wapi Pierre Likwid. Anyway msamehe bure huyo fundi.
Piere yupo magodwn ya silent ocean kama msimamiz miongoni mwa wasimamizi
 
Kuna mmoja nilitamani nimfanye vibaya lakini 🤣 🤣 nikashindwa nimfanyaje mshenzi sana wewe mtoto wa mzee wa kinyamwezi, Dodoma
 
Miti ni Viumbe, Miti ina maagano, Miti ina majini, Miti ina roho, Miti imefanyiwa makafara, Miti ni viringe vya Wachawi, Miti ni Dawa, Miti ni kila kitu.

Mkata Miti/Fundi Carpenter ni Sawa tu na Mchinja Mifugo Machinjioni. Akili zao zishavurugwa, Hawana cha maana wanachofanya. Yuko wapi Pierre Likwid. Anyway msamehe bure huyo fundi.
Wewe nimekuelewa kwa mapana.
 
Habari za mchana na habari za jioni!

Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.

Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡.

Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila Katengeneza kitanda na mbao ambazo sio za kenfa.

Mi nimegoma kupokea hicho kitanda, tumeenda Tena mbele kwa mbele nikaambiwa nimpe gharama za mbao za kenfa na hela ya kitanda niliyompa anilipe.

Zile mbao za kenfa zilinigharimu 2.5ml kwasababu ya kibali chake kuwa ni cha shida yaani hawatoi kabisa.
Sasa huyu kapenta amegoma katakata na mtaani haonekani Tena.

Mimi ujumbe wangu ni huu jasho la mtu haliendi Bure Bure, utataga tu muda ukifika.

Tuweni makini na hawa matapeli jamani, mtu unachukua kazi nyingi kuzidi uwezo wako was kuzihudumia. 🤬
Kuna Hawa mafundi wa vifaa vya umeme🤔 ebana eeh!! Usiombe uingie kumi na nane zao ni wasumbufu sijapata kuona!! Kuna mmoja nimeamua kumsusia pesa na mashine yangu niliyompa anitengenezee.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom