Wazungu ni watu wa upendo sana

LA7

JF-Expert Member
Aug 26, 2019
457
1,746
Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo

Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo
U.S.A
Malaysia
China
Japan
India
Singapore

Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho.

Tuache unafiki mfano. Mtu aliyegundua umeme huyo alimaliza kila kitu akifuatiwa na waliogundua computer

Je, Waafrica tumegundua Nini kikatusaidiaa au kusaidia mpaka wazungu?
 
Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo

Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo
U.S.A
Malaysia
China
Japan
India
Singapore

Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho.

Tuache unafiki mfano. Mtu aliyegundua umeme huyo alimaliza kila kitu akifuatiwa na waliogundua computer

Je? Waafrica tumegundua Nini kikatusaidiaa au kusaidia mpaka wazungu?
tumegundua uchawa...hakuna nchi yoyote ile ilogundua uchawa isipokuwa tz....na mengne meng kama kisingeli, taarabu, vicoba, chuma ulete, kukata umeme, ....inamaana hayo yote hujayaona mkuu😂🤣😅😆
 
Back
Top Bottom