Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.
Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin...
Viongozi wote nilipopitia post zao kwa miaka mitatu tangu atutoke Hayati Magufuli wamejikita kutuma picha zake na siyo hotuba zake.
Hali hii ni tofauti na kumbukizi ya Nyerere na Mkapa ambapo sauti yake usikika zaidi. Kifalsafa nini chanzo cha kutopostiwa kwa hotuba zake mitandaoni kwa wingi...
UTAFITI UNAVYOONESHA JINSI AMBAYO WANANDOA WENGI HUKTANA MARA YA KWANZA
1. hujuana kupitia marafiki zao wa pamoja ( mutual friend) = 32 %
2. Kazini ( kufanya kazi sehemu moja) = 18%
3. Shuleni ama Chuoni kusoma pamoja = 17 %
4. Sehemu za ibada ( kanisani ama Msikitini) = 8 %
5. kwenye...
Watu huja na watu hupotea! Lakini watu hao hao wengine huendelea kuishi kwa maana ya yale waliyowahi kuyafanya na kuyaacha kama mnara wa kumubukumbu zao kwenye vizazi na vizazi
Watanzania wasipomuenzi Magufuli, Waganda watamuenzi pindi wanapokuwa wakiliona bomba la mafuta kuyoka Hoima kuja...
Maana yangu katika kufanikiwa:
Kufanikiwa ni kuwa na uhuru wa kifedha, kuwa na amani moyoni, bila kuwepo na nguvu ya ziada ya ushurutishaji; uwe wa kimawazo, kiuchumi au kimazingira.
Hii inatafsiri, aliyefanikiwa anaweza kujiamulia mambo yake mwenyewe bila kuwepo na ushurutishaji wa kufanya...
Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo,
Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo?
Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
Leo tumeona Polisi wamedai kumkamata mmiliki wa akaunti ya X inayotambulika kwa JINA la Sukunuku; mara tu polisi walipotaka hayo mawakili binafsi wengi wameonyesha nia ya kusimamia kesi hiyo huku baadhi wakiweka wazi kwamba watashinda kesi husika mapema kabisa.
Mmoja wa mawakili ndugu Madeleka...
Kawaida, nafasi za kupata Stroke (kiharusi) ni kubwa kutokea Bafuni kwa sababu tunapoanza kuoga, tunaanzia Kichwani, ambayo ni njia mbaya. Ikiwa unaanzia kichwa kwanza, damu hupanda kwa haraka kichwani na mishipa ya damu inaweza Kupasuka. Hivyo Stoke(Kiharusi) hutokea na unakuta watu hujikuta...
Joseph Selasini, Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi amesema kwamba ukiingia kwenye siasa hasa zile za upinzani jiandae kutoa zaidi kuliko kupokea, na wanasiasa wengi wamekuwa maskini kwa sababu ya kutoa.
Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini
Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
Ni ngumu kiasi kukutana na mwafrika attractive, wengi hatuna sura na maumbo ya kuvutia, na sababu kubwa ni kwenye culture hatuchagui wenza wetu, wengi tumezaliwa na watu ambao hawakuchaguana ilitokea tu muda ukifika mwanaume akaamua kuoa au aliletewa na hii imeendelea kwa vizazi hadi vizazi...
Leo hii kuna laptop nimefungua ndani nikakuta vitu Kama ifuatavyo
Kule ndani nimekuta vifaa vya nchi kadhaa ikiwamo
U.S.A
Malaysia
China
Japan
India
Singapore
Je sisi ngozi nyeusi tutaweza Nini Kama tumeshindwa kufanya tu hata vya kuiga vinavo onekana kwa macho.
Tuache unafiki mfano. Mtu...
Kwa wiki iliyopita mitandaoni hasa Instagram na Twitter kuliibuka mjadala mkali ikiwemo vita ya maneno miongoni mwa wafanyabiashara wa mjini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyabiashara walimtupia lawama Bi Niffer ambaye ni mfanyabiashara mdogo anayekuwa kwa kasi ya ajabu. Wanamtuhumu Niffer kurukia...
Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu.
Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure.
Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa.
Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili.
Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti.
Kipindi kile Yanga...
Habari za mchana na habari za jioni!
Kuna fundi nilimpa Hela anitengenezee kitanda cha mbao za kenfa nilizozipata kwa shida.
Yapata Sasa mwaka kitanda bado na Hela kala na mbao zangu Katengenezea kitanda kingine kauza 😡.
Nimeenda kumshitaki kajitetea atanitengenezea kitanda kingine, ila...
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.
Sikushangaa pale...
Watu wengi tunaogopa kuanzisha biashara fulani kwa kuogopa kwamba ma giant wameshajaa hivyo hatutapata wateja.
Soko la maji ya kunywa lilikuwa limetawaliwa na kilimanjaro, kila sherehe ya harusi utakayoenda maji unakuta Kilimanjaro. Kila hotel kubwa ama bar kubwa maji unakuta kilimanjaro, leo...
Kijana kamaliza degree yake akiwa na 23, mindset yake imekuwa tuned kujiona yeye ni special keki kwamba inabidi asubiri kazi za ofisini zenye ulaji mnono, ujinga huu huwa wanajazana sana vyuoni.
kijana anamaliza chuo yupo kitaa anazungusha barua kwa kutafsiri msemo "one day yes" ndivyo sivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.