Stroke
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 34,696
- 40,962
Ukifuatilia uchangiaji wa mada kwa siku za kawaida za wiki na za weekend utaona mada nyingi hupata wachangiaji wengi kwa siku za ijumatatu mpaka ijumaa.
Ijumamosi na jumapili wachangiaji huwa wachache na mada hazitembei sana.
Hii imenifanya kuhitimisha kwamba wachangiaji wengi wa JF wanalogin wakiwa makazini kwa kutumia net za maofisi yao na device za ofisi zao.
Wanaochangia weekends ni wale wanatumia simu zao binafsi au Ipad.
Ni mTazamo tu.
Mtat