Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

Nesi mkunga

JF-Expert Member
Nov 28, 2022
701
1,840
Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini

Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo muumini yoyote nyumbani kwake kufungulia au kutazamana hizo media house zenye udini na chuki kwa ajili dini nyingine. Sijazitaja hizo media house ila zinajijua kuanzia leo hatutazitaxams
 
Acha watu waenjoy na dini zao..Uchawi huo
 
ni vizuri na uungwana zaidi,
ikiwa kuna media house nyingi kama unavyo sema, basi tafuta ile media house ya dini unayoupenda na iskize hiyo na hizo nyingine waachie wengine nao waskize wazipendazo.....
 
kwa kwa kuwa media house ziko nyingi, basi weka uipendao wewe.
ingekuwa kama ndo iko moja ulimwenguni ungekuwa na haki ya kulalamika.
 
Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo...
Vipi kuhusu radio IMAAN, radio NUUR, radio IHSAAN, radio QIBLATEN, radio KHERI, radio Al-Noor, nk... je, hizi huwa zinaweka nyimbo za Kwaya kwenye vipindi vyao ili kufurahisha waumini wa dini tofauti?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom