Habari!
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa hivi sasa ninapoandika haya, kuna uwezekano wa kutokea kwa Mapinduzi ya Kijeshi nchini Mali ambapo kumekuwa na mvutano mkubwa kati ya Serikali na vikosi vya Jeshi nchini humo.
Taarifa zaidi zitafuata hapo baadaye!
====
SASISHO: Katibu Mkuu...
Siamini kwamba kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kwamba Tanzania inaongoza Afrika kwa kusambaza umeme ameitoa yeye mwenyewe bila kuongozwa na washauri. Na kama ni washauri wake wamempa hizo taarifa potofu basi wanapaswa kuwajibishwa kwa kusababisha Waziri Mkuu kutoa kauli ya "uwongo" bila...
Leo nimemsikiliza waziri mkuu ndugu Majaliwa akiwa kwenye kongamano la viongozi wa dini la kuisifu serikali.
Waziri Mkuu ameutangazia umma wa Watanzania kuwa serikali italinda Amani wakati wote hata kipindi cha uchaguzi mkuu, na akataka siasa za kistaarabu.
Wakati akiyasema hayo, viongozi wa...
Waziri mkuu mh Majaliwa amefanya ziara ya kushtukiza katika moja ya shule za wilaya ya mkuranga na kukuta wanafunzi wa msingi na sekondari wamekaa chini.
Mh Majaliwa ameshangazwa na hali hiyo na kutu muda wa wiki mbili madawati yapatikane na watoto wote wakae.
Majaliwa amesema wilaya hiyo ina...
UTEKAJI UMERUDI NCHINI
TAARIFA KWA UMMA
TUMECHOSHWA NA UNYAMA HUU
Chama cha ACT-Wazalendo kimepokea kwa mshutuko taarifa za kuvamiwa, kutekwa akiwa nyumbani kwake na baadaye kupelekwa kusikojulikana mwanachama wetu, Joackim Gerion Ng’ombo na watu ambao hawajafahamika.
Ng’ombo ambaye alishika...
Wana Lindi wenzangu habari
Leo nimependa niwakumbushe wakati tunaenda katika uchaguzi mkuu ,
Nina waomba Wana Lindi bila kujali ITIKADI, Jimbo la Ruangwa tumuache waziri mkuu ,mhe KASIMU MAJALIWA apite bila kupingwa ,ni heshima Kwa mikoa yetu ya kusini, Sisi sio wa Kwanza kufanya hivyoo
Mikoa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa muda wa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kukutana na Wakuu wa Vyuo Vikuu nchini ili kubaini vyuo ambavyo vimeshindwa kuwasilisha michango ya wanafunzi katika Mfuko wa Taifa Bima ya Afya (NHIF) licha ya wanafunzi kulipa fedha hizo.
“Katibu...
Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao.
Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
Umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu wana CHADEMA kwa umoja wetu ni lazima tukae na tufikiri kwa kina Bwana B Membe tumpishe kwa nafasi ya Urais na Ndg yetu Lissu aje kukaa kwa nafasi ya Uwaziri Mkuu kwa makubaliano ya kimaandishi kabisa although kushinda huwa ni ndoto ya mfalme juha kutokana...
Ndugu wapendwa nawasalimu kwa majina makuu.
Waziri Mkuu ametoa maelekezo kuwa tufanye kampeni za kistaalabu zisizo beza, kashfu au tukana mtu au vitu vilivyofanywa na seriali.
Naomba wenye clip, au matamko yakistaalabu yaliyotolewa na wana CCM dhidi ya wapinzani ili tuone mfano wa yanayotakiwa...
Serikali ya Burundi imetangaza siku 3 za maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Tanzania Benjamin Mkapa. Kwa siku zote tatu Bendera zitapepea nusu mlingoti ikiwa ni kuanzia leo, jumatatu.
Waziri Mkuu Mh Kasim Majaliwa alikuwa kwenye ukaguzi wa mradi wa kisasa wa kilimo cha mboga mboga. Hawa ndio Watanzania wa uchumi wa kati. Pichani akisalimiana na bibi Asumini ambaye ni mpiga kura wa Ruangwa.
Waziri Mkuu wa Ivory Coast, Amadou Gon Coulibaly amefariki dunia ghafla baada ya kuzimia, Bw Coulibaly alizimia ghafla wakati akiwa kwenye kikao cha Mawaziri
Baada ya kuzimia alichukuliwa ni kukimbizwa Hospitalini ambako baada ya muda alitangazwa kuwa amefariki
Bw Coulibaly alikuwa anatarajiwa...
Tunaposema CCM imekufa huwa hatubahatishi, Mh Kasimu Majaliwa ambaye yuko Tunduma kwa kinachoitwa ziara ya ukaguzi wa ujenzi wa hospitali ya Mji wa Tunduma, hatimaye ametimiza kile kilichompeleka hasa ambacho ni kutafuta uwanja wa Msaliti Silinde kuhutubia baada ya kubainika kwamba, kwa sasa...
WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amewataka Watazania waendelee kazi kwa bidii ili nchi iendelee kukua kiuchumi na kufikia uchumi wa juu kwa kuwa tayari imekuwa ya uchumi wa kati.
“Kama ni mkulima lima kwa bidii, mtumishi wa umma fanya kazi kwa bidii, mlio viwandani fanyeni kazi na mamalishe nanyi...
Napenda sana na mno Uchapakazi wake Waziri Mkuu wa sasa ( Awamu hii ya Tano ) Mheshimiwa Kassim Majaliwa Kassim ila kuna mahala kama vile naona hapako sawa hasa upande wa mlundiko wa Ratiba zake nyingi ambazo zinahusisha Kusafiri kwa Gari au Ndege ndani na nje ya nchi pasipo hata Kupumzika.
Je...
Alikuwa Waziri Mkuu wa Israel mwaka 2001. Amekuwa mahututi tangu mwaka 2006 kufuatia mfululizo wa matatizo ya kiharusi. Ariel Sharon alikuwa askari wa vita na baadae kuwa kiongozi wa nchi.
Alipokuwa mwanajeshi, alijulikana kwa ushujaa wake katika uwanja wa mapambano kwa miongo kadhaa kufuatia...
Waziri mkuu wakati akitoa hotuba ya kuaga bunge alisema ametengeneza ajira laki 6.5, Jana Mheshimiwa, mkuu, mtukufu Rais kasema wametengeneza ajira milioni 6+.
Nataka kujua, nimesikia vibaya au? Na nani nimwamini? Na hizo ajira milioni 6 za nchi hii au wapi?
Mheshimiwa Ndugai hongera kwa kuumaliza mwendo vyema na kwa hakika ulimfaa sana JPM katika yote na ulijua vyema kucheza ngoma ya bwana mkubwa huyo.
Kwahivyo, kwa yote mema ni rasmi unaenda kuwa na cheo alichopata kuwa nacho ndugu Augustine Mrema.
Na kila lililo la kheri mwanadada Tulia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.