Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mvua kubwa inayoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali, mbali na kusababisha vifo, imeathiri barabara 73 na madaraja kwenye mikoa 18 nchini.
Picha: Baadhi ya maeneo yaliyoathiriwa na mvua nchini.
Amesema reli ya Tanga hadi Arusha, na Dar es Salaam hadi...
Leo bungeni kwenye kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe aliuliza maswali ya msingi sana kwa Waziri Mkuu. Maswali hayo yakiwepo.
(i) Ni lini Serikali ya CCM itaruhusu vyama vya upinzani vifanye mikutano yao ili vijiandae na uchaguzi mkuu wa mwaka huu?
(ii)...
Habari Wadau wa JamiiForums, leo nawaletea hoja ambayo imekuwa changamoto hasa kwa wananchi kuhusu tozo ya upimaji wa ardhi katika maeneo mengi Tanzania.
Kuna maeneo ambayo yamepimwa na Halmashauri na baada ya Halmashauri husika kushindwa kulipa fidia kwa Wananchi, Uamuzi ulitolewa wananchi...
Ikiwa kama Paulo Makonda ametenda unyama uliotajwa na Serikali ya Marekani na ambao umepelekea kudhalilisha nchi yetu kuliko ilivyowahi kudhalilishwa tangu Mungu aumbe mbingu na ardhi, nina swali dogo sana la kuuliza.
Je alipokuwa anatenda uhalifu huo viongozi wakuu wa nchi hii akiwemo Rais...
Habari za chini ya carpet zinadai kuna mkakati mahsusi wa kiuchaguzi kati ya Chadema na ACT wazalendo ambapo baba wa upinzani maalim Seif anatarajiwa kugombea urais wa JMT.
Mh Mbowe anatajwa kuwa mgombea mwenza huku Zitto Kabwe akiandaliwa kuwa Waziri mkuu.
Godbless Lema naye anatajwa kuhamia...
Waziri Mkuu wa Lesotho, Thomas Thabane ametangaza kwenye chama chake cha All Basotho Convention (ABC) kwamba atajiuzulu.
Msemaji wa ABC ambacho ndicho chama tawala amesema kuwa Thabane atatangaza rasmi kujiuzulu Jumanne katika baraza la mawaziri.
Hakuna sababu yoyote iliyotolewa kwa kiongozi...
Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa.
Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
Rais wa Marekani bwana Donald Trump amezidi kuwa kituko duniani pale aliposikika akiwalaumu watoaji wa tuzo ya Nobel kwa kumpatia tuzo hiyo Waziri Mkuu wa Ethiopia na kumuacha yeye ambaye amefanya kazi kubwa kuleta amani huko Ethiopia na kwingineko.
Nauliza kwa wale watu wanaoelewa vizuri mambo ya itifaki.
Katika sherehe za mapinduzi Zanzibar, Waziri mkuu mh Majaliwa aliingia uwanjani baada ya makamu wa pili wa Rais wa Zanzibar mh Idd Seif kuwa ameshaingia na wakati wa kuondoka alianza waziri mkuu kabla ya balozi Seif.
Karibu kwa...
Waziri Mkuu mpya wa Finland Sanna Marin amependekeza nchi hiyo iwe na siku nne tu za kufanya kazi ili wananchi wawe na fursa kuwa na familia zao kwa muda mrefu zaidi na kufanya mambo mengine ya jamii ikiwemo michezo na utamaduni.
Marin, akiwa kiongozi mkuu wa serikali mdogo kuliko wote duniani...
Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameamua kutafuta kinga ya bunge dhidi ya mashitaka ya ufisadi yanayomkabili.
Hatua hiyo huenda ikachelewesha kesi dhidi yake hadi uchaguzi utakapofanywa upya mwezi Machi.
Mwezi Novemba, Waziri Mkuu alishitakiwa na mwanasheria mkuu kwa kutoa hongo...
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson leo hii anatarajiwa kuelezea mipango yake, ya namna gani atatekeleza ahadi zake za kufanikisha kujiondoa katika Umoja wa Ulaya haraka na kupanua wigo wa huduma za afya nchi mwake.
Katika hafla ya kuanza msimu mpya wa bunge la Uingereza, Malkia Elizabeth...
Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu.
Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua Baba Mtakatifu (Papa) wa dunia nzima.
Nijuavyo mimi kumchagua Papa ni jukumu gumu na zito kuliko lile la kumtabiri...
Habarini wakuu,
Ninaandika waraka huu nikiwa na maumivu makuu moyoni juu ya mahangaiko na misukosuko tunayopitia waathirika tuliopoteza ajira zetu katika kipindi hiki kigumu na kuamua kufungua madai ili kupata stahiki zetu NSSF tukiamini ndo hazina yetu iliyosalia itakayotukwamua katika kipindi...
Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi.
Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea...
By Elisha Magolanga
In Summary
He said there were about 70 DEDs implicated in the theft of public funds who were transferred instead of facing prosecution.
Dar es Salaam. The parliamentary Local Authority Accounts Committee (LAAC) yesterday...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.