waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. J

    JamiiForums Tanzania Je, yawezekana Kardinali Pengo ametuonyesha "moshi mweupe" wa mrithi wa Rais Magufuli mwaka 2025?

    Hawa maaskofu ndio wamepokea kijiti kutoka kwa Mtume Petro hivyo sauti na maono yao hutoka kwa Mungu. Kardinali Pengo ndiye pekee hapa nchini Tanzania mwenye kura ya kumchagua Baba Mtakatifu (Papa) wa dunia nzima. Nijuavyo mimi kumchagua Papa ni jukumu gumu na zito kuliko lile la kumtabiri...
  2. concrete jungle

    JamiiForums Tanzania NSSF: Kilio kilichokosa ufumbuzi. Wanyonge hunyongwa kimya kimya nchi ikijifanya haioni, sababu ni jambo linalogusa tabaka la waliotengwa na mfumo

    Habarini wakuu, Ninaandika waraka huu nikiwa na maumivu makuu moyoni juu ya mahangaiko na misukosuko tunayopitia waathirika tuliopoteza ajira zetu katika kipindi hiki kigumu na kuamua kufungua madai ili kupata stahiki zetu NSSF tukiamini ndo hazina yetu iliyosalia itakayotukwamua katika kipindi...
  3. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu aokoa mamilioni, atembea kwa miguu kwenda ofisini

    Isichukuliwe kama dhihaka! Isichukuliwe kama maskhara na furahisha genge! Bali ikupe fikra fikirishi ya huko tunakoelekea na dhana nzima ya kubana matumizi. Akiripoti kutoka Dodoma mwandishi wa kituo cha WAPO RADIO, amesema wananchi wa Dodoma leo wamesifu kitendo cha Waziri Mkuu cha kutembea...
  4. Rumishaeli

    JamiiForums Tanzania Bunge team summons Pinda

    By Elisha Magolanga In Summary He said there were about 70 DEDs implicated in the theft of public funds who were transferred instead of facing prosecution. Dar es Salaam. The parliamentary Local Authority Accounts Committee (LAAC) yesterday...
Back
Top Bottom