waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Ni kweli maagizo ya Waziri Mkuu hayatekelezwi au wanamuonea tu

    WIKI iliyopita Bunge lilichemka baada ya mvutano baina ya Jenister Mhagama na Spika wa Bunge kuhusu kauli ya Luhaga Mpina kwamba maagizo ya Waziri Mkuu kuhusu wafugaji hayajatekelezwa na wanaendelea kunyanyaswa kwenye nchi yao. Je ni kweli maagizo ya Majaliwa hayatekelezwi? Kati ya Jenister...
  2. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Jaji Mgeta: Niliumizwa na Waziri Mkuu kuchana Hukumu ya kesi niliyotoa kuwa kashindwa

    Jaji aliyemaliza muda wake wa kuitumikia Mahakama, Jaji John Mgeta amesema katika kazi yake ya utumishi kama Jaji hatasahau namna ambavyo kigogo wa Serikali alichana hukumu mbele yake. Jaji Mgeta ameyasema hayo leo Mei 4, 2023 muda mfupi baada ya hafla ya kuagwa yeye na majaji wengine wawili...
  3. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Wabunge wampongeza Waziri Mkuu

    Viongozi mbalimbali wakimpongeza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa mara baada ya kuwasilisha Makadirio ya Mapato na Matumizi Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa Fedha 2023/24 kupitshwa na Bunge.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wabunge wa Uingereza wagomea mwaliko wa Rais Mnagangwa kuhudhuria kusimikwa kwa 'King Charles III'

    Wabunge wa Uingereza wametoa tamko la kumshinikiza Waziri Mkuu, Rishi Sunak kufuta mwaliko wa Rais Emmerson Mnangagwa kushiriki sherehe hizo kwa maelezo kuwa uongozi wake umekuwa ukivunja Haki za Binadamu. Kama mwaliko huo hautafutwa, Mnangagwa atakuwa Rais wa kwanza kuingia jijini London baada...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Kaliua Ampongeza Waziri Mkuu Juu ya Maelekezo kwa Jeshi la Polisi Kutatua Migogoro ya kwenye Hifadhi

    MBUNGE KALIUA, MHE. ALOYCE KWEZI AMPONGEZA WAZIRI MKUU KWA MAELEKEZO ALIYOYATOA BUNGENI KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI KWENYE HIFADHI Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mhe. Aloyce Andrew Kwezi amempongeza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa hotuba nzuri aliyoitoa leo...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Maswali ya Papo kwa Papo Kwa Waziri Mkuu, Waziri Mkuu Aulizwe Maswali, Ajibu Maswali na Kama ni Ufafanuzi wa Jambo Lolote, Waziri Mkuu Huru Kufafanua

    Wanabodi, Tangu Bunge la Bajeti lianze, Alhamisi ya leo ndio kwa mara ya kwanza Waziri Mkuu anautumia muda wa kujibu maswali ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu. Sasa kwanza wenye access kualia Bunge live, angalieni maswali ya leo kwa Waziri Mkuu, kisha nitawaeleza kitu Karibuni UTANGULIZI...
  7. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia apokea ujumbe maalum toka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amekutana na Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Shirikisho la Ethiopia Mhe. Demeke Mekonnen Ikulu Ndogo Tunguu Zanzibar, ambaye amewasilisha Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia...
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Makamu wa Rais, Waziri Mkuu wakabiliwa na kesi ya wizi wa Mabati ya Kaya Masikini

    Kwa mujibu wa taarifa ya Msemaji wa Serikali, kashfa hiyo ya Rushwa imewagusa pia Spika wa Bunge, Mawaziri 26 na Wabunge 31 wa Nchini Uganda wanaotajwa kupora maelfu ya Mabati hayo. Taarifa imeeleza kuwa Rais Museveni aliagiza Mabati yatumike kuezeka nyumba za eneo la Karamoja lililotengwa kwa...
  9. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Vijana wamekopeshwa Shilingi Bilioni 1.88

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema serikali kupitia mfuko wa maendeleo ya vijana imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 1.88 kwa ajili ya kuwezesha miradi 85 ya vijana katika sekta za kilimo, viwanda na biashara kwenye halmashauri 28. Ameyasema hayo Aprili 16, 2023, wakati...
  10. HERY HERNHO

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Japan anasurika kifo baada ya kutupiwa Bomu

    Vyanzo vya habari vinasema Waziri Mkuu wa Japani, Kishida Fumio, hajajeruhiwa na ameondoka kwenye eneo la bandari ya magharibi mwa Japani baada ya milipuko mikubwa kusikika kabla hajatoa hotuba. Kishida alikuwa anazuru bandari ya Saikazaki mkoani Wakayama leo Jumamosi asubuhi. Waziri Mkuu wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu ya Mwaka wa fedha 2023/24

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amesema Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu imezingatia vipaombele muhimu katika maeneo yote yanayoratibiwa na Ofisi hiyo ili kuendelea kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi na tija kwa Taifa...
  12. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Sakata la Richmond lingesubiri Novemba aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu

    Wadau nawasalimu. Bunge letu limesema Sakata la Report ya CAG litajadiliwa November kupisha mjadala wa ushoga. Tukumbushane tu Sakata la Richmond, lingesubiri nalo November Mzee aliyejiuzulu angekuwa bado Waziri Mkuu! Soma Uzi maalum wenye matukio yote kuhusu sakata la Richmond Kama bunge...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anathibitishwa na Bunge hivyo wa kumwambia ajiuzulu ni Rais, Bunge au CCM lakini si CHADEMA

    Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu. Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge. Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM. CHADEMA pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu...
  14. chiembe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu ndiye msimamizi wa shughuli zote za serikali, inakuwaje taarifa ya CAG inasema 'tumepigwa'? Usimamizi wake ni hafifu?

    Mzee wetu Majaliwa kwa kweli ndio C.E.O, kwa maana ya mtendaji mkuu wa serikali. Kwa nini madudu haya yanatokea na yeye akiwepo? Ameshindwa kusimamia shughuli za serikali? Bunge linatakiwa limuhoji yeye kwa kuwa Yuko Bungeni kwa niaba ya serikali, na ndiye mtendaji mkuu. Kama hana majibu...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mhe. Janejelly James Ntate Amechangia Hotuba ya Bajeti ya Waziri Mkuu Bungeni.

    MHE. JANEJELLY JAMES NTATE MBUNGE WA VITI MAALUM ANAYEWAKILISHA WAFANYAKAZI NCHINI AMECHANGIA HOTUBA YA BAJETI YA WAZIRI MKUU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum, Mwakilishi wa Wafanyakazi Nchini anayetokea Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janejelly James Ntate leo tarehe 06 Aprili, 2023 amechangia Hotuba...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete: Serikali haina bajeti ya kuendeleza taasisi za wenza wa viongozi

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 2 leo Aprili 5, 2023. RIDHIWANI: SERIKALI HAINA BAJETI YA KUENDELEZA TAASISI ZA WENZA WA VIONGOZI Mbunge wa Kilombero, Abubakar Asenga ameuliza kama Serikali ina mpango wa kuendeleza Taasisi za wenza wa viongozi wakuu Nchini...
  17. J

    JamiiForums Tanzania PM Majaliwa: CHADEMA, ACT Wazalendo, NCCR, CUF, CCM na DP vimepokea jumla ya Tsh 17.5 bilioni ikiwa ni Ruzuku

    Waziri mkuu mh Majaliwa amesema Vyama 6 vya Siasa vyenye Sifa ya kupata Ruzuku ya Serikali vimepokea Jumla ya tsh 17.5 bilioni Vyama hivyo sita ni Chadema, ACT wazalendo, NCCR mageuzi, CUF, CCM na DP Chanzo: Swahili Times Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele! --- Katika bajeti ya...
  18. Chikenpox

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasubiri nini ofisini au Afrika kujiuzulu ni dhambi?

    Licha ya madudu yote hayo yaliyooneshwa na CAG lakini bado anakalia ofisi tu? Hebu fikiria Waziri Mkuu wa Iingereza alijiuzulu kwa kosa tu la kucheza mziki kipindi Cha COVID 19 lakini sisi huku Waziri Mkuu ndo kwanza anachekelea. Hivi nchi za kiafrika tunelaaniwa? Rais hawezi kumwambia Waziri...
  19. Tryagain

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021-2022; Waziri Mkuu hana msaada kwa Rais, Baraza livunjwe

    Kama kuna siku Mheshimiwa Rais ameongea kwa uchungu sana ni leo. Ni wazi kuwa Waziri Mkuu na wizara hazimsaidii kabisa wako busy tu kupiga hela kwenye miradi mikubwa makubwa haya Kodi ya zuio ilipwe hata hawa JKT walipe Mashirika yote yalipe hila exception Deni la serikali - tunakopa kwa...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
Back
Top Bottom