Msisitizo unaowekwa Mara kwa Mara na waziri mkuu na Makamu wa Rais kuwa waliotajwa kuhusika na ufisadi kwenye Ripoti ya CAG, una maana gani?

FPT

JF-Expert Member
Mar 23, 2017
1,201
1,839
Si chini ya Mara mbili kumsikia Makamu wa Rais na Waziri Mkuu kwa nyakati tofauti wakiweka msisitizo na mkazo juu ya waliohusika na ufisadi na waliotajwa na Ripoti ya CAG kuchukuliwa hatua kali za kinidhamu, kiuwajibikaji na kisheria. Je, msisitizo huo wa Mara kwa Mara una maana ipi hasa?

Nina hamu kuu ya kuona matokeo ya msisitizo huo ndio maana nina imani na Rais Samia, Makamu wa Rais na Waziri Mkuu. Ninaona kwa mbali rungu zito likitua kila mahali.
 
Back
Top Bottom