Waziri Mkuu anathibitishwa na Bunge hivyo wa kumwambia ajiuzulu ni Rais, Bunge au CCM lakini si CHADEMA

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,975
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.

Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.

Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.

Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.

CHADEMA pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
 
Ukiwa smart, kama mtumishi wa umma na mlakodi zao,mnywa kodi zao,mlala kodi zao,mvaa kodi zao,nk nk.Ikiwa without reasonable doubt Failure imetokea katika majukumu yako, kwani wewe ni nani?

Nchi ni yako peke yako,kwani mwenye akili ni wewe tu, kwamba wewe ndiyo msomi tu na unaweza wengine hawawezi.? Ukweli pasipo shaka utajiuzulu mchana mapema ili mwingine ajaribu. Short and Clear!!
 
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.

Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.

Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.

Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.

Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Hivi Majaliwa ni mbunge aliyechaguliwa na nani? Ni mwananchi gani alimpigia kura?
 
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.

Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.

Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.

Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.

Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Leo umeamka na Akili zako zote kabisa.

Ubarikiwe.
 
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.

Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.

Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.

Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.

Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Bwashee na wewe bana! Ni sawa na kutaka kusema, "Wewe ni Mkristo na umebatizwa na mchungaji wako, wenye dhamana ya kukuambia uache dhambi ni mchungaji wako, mke wako na familia yako, ex wa mkeo hapaswi kufanya hivyo"
 
Tunakumbushana tu kwa wale mlio Wasahaulifu.

Waziri mkuu huteuliwa na Rais na kuthibitishwa na Bunge.

Waziri mkuu ni lazima awe Mbunge wa kuchaguliwa.

Hivyo wenye haki ya kumtoa Waziri mkuu ni Rais wa JMT, Bunge na chama chake CCM.

Chadema pambaneni na akina Halima Mdee ndio level yenu kikatiba kwa sasa.
Na hao uliowapa mamlaka haujui kwamba ni sehemu ya umma wa Watanzania na ndiyo wenye mamlaka zaidi?Unayakumbuka ya Mizengwe Pindo na Subeir Kabwen bungeni kuhusu utiaji wa saini?
 
Zile alizokuwa anasainisha Joshua Nassari?

Leo Nassari yuko Monduli DC😃😃😃
 
Kulamba asali wamejikaimisha au kuhodhi nafasi ya rais, bunge na mahakama.

Halafu kila siku ni wahubiri wa democracy na haki
 
Back
Top Bottom