waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa tunakuomba uende ukamalize mgomo wa daladala Arusha

    Hii nchi bado ina rule of law ila watu wachache ambao wana maslahi binafsi wanashindwa kufata na kusimamia sheria kwa personal benefits zao. Tunaomba Waziri Mkuu Majaliwa, mtumishi wa watu uende Arusha ukamalize mgomo ulioanza tarehe 14/8 na ambao utaendelea bila kikomo hadi madereva wa...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa akerwa na kasi ndogo ya Mkandarasi mradi wa REA Newala

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amehoji kwanini mkandarasi wa Rea, Newala hachukuliwi hatua ikiwemo kusimamishwa licha ya kuwa na kasi ndogo ya utekelezaji wa mradi wa kuunganisha umeme katika baadhi ya vijiji wilayani humo. Kauli hiyo ameitoa wakati wa ziara yake Wilayani Newala ambapo amesema...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa ataka waajiri sekta binafsi kuzingatia afya za wafanyakazi kazini

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakurugenzi wa makampuni binafsi nchini kuzingatia afya za wafanyakazi mahala pakazi akidai kufanya hivyo ni kulinda haki za binadamu. "Kwa kuwa nyinyi waajiri nitoe wito kwenu zingatieni afya ya wafanyakazi na usalama mahala pakazi" Pia ameongeza...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kuwa Bunge liko chini ya Waziri Mkuu na Mahakama iko chini ya Waziri wa Katiba na Sheria, na Wote wako chini ya Rais wa JMT

    Anayemlipa mpiga zumari ndiye anayechagua wimbo wengine wanabaki kuwa wanenguaji tu kwenye burudani Bajeti ya Bunge iko ofisi ya Waziri mkuu kama unabisha angalia nani huwa anapanga tarehe za mikutano ya Bunge Bajeti ya Mahakama iko Wizara ya Katiba na Sheria Ndio Shujaa Magufuli akasema...
  5. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Tanzania Waziri Mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika?

    Wakuu ni kwa nini nchini kwetu waziri mkuu akijiuzulu na Baraza la Mawaziri linavunjika na hali yeye siyo kiongozi wa baraza la mawaziri wala aliyewateua kama kwa nchi kama Uingereza?
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Mbele ya Waziri Mkuu mzee asema bora afe asiposaidiwa kupatikana kwa mtoto wake anayedai alitekwa na Askari Polisi

    Katika hali isiyo ya kawaida Mzee Isaac Mwasilu amesema Bora arudi nyumbani na kwenda kufa kama itashindikana kusaidiwa kupatikana kwa mtoto wake aliyepotea tangu tarehe 11/11 mwaka 2021, kwa madai kwamba alichukuliwa kama Mateka na askari wa jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya aliyedai atampoteza...
  7. T

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Sweden ashtushwa na idadi kubwa ya watu kuomba kibali cha kuchoma Quran

    Waziri mkuu wa Sweden ameshtushwa na idadi kubwa ya watu wanaoomba kila siku kibali cha kufanya maandamano na kuchoma Quran na kuidhalilisha. Waziri mkuu anasema idadi hiyo inaongezeka siku hadi siku na hivyo hajui nini kitatokea kama hii hali ikiendelea. Tukumbuke hivi karibuni kumekua na...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa atoa siku 7 kwa TARURA, DAWASA kukamilisha barabara Muhimbili

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewapa siku saba Meneja wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Dar es Salaam, Godfrey Mikinga na Mkurugenzi wa Usafi wa Usimamizi wa Usafi wa Mazingira wa Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingiza (DAWASA), Lydia Ndibalema wawe wamekamilisha...
  9. Li ngunda ngali

    JamiiForums Tanzania Adv Mwambukusi: Watanzania bora mumwamini shetani na siyo Waziri Mkuu

    Nukuu: Ndungu zangu Watanzania bora mumwamini shetani na siyo waziri mkuu. Waziri mkuu ametundanganya kwa mengi ikiwamo kifo cha Magufuli! Na hii ni mara ya tano anaudanganya umma bila fact. Mwambukusi.
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina alikuwa sahihi kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe.kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi. Dkt. Tulia amesema hayo June 28,2023 Bunge, Dkt. Tulia amesema...
  11. Influenza

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Tumesikia mijadala, hofu kuhusu makubaliano ya Bandari. Tumeanza kutoa elimu ya kuwapa faraja Watanzania

    Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa amekiri kuwa ni kweli tangu Bunge la Tanzania liliporidhia azimio la Nchi ya Tanzania kuimarisha mahusiano yake Nchi ya Tanzania na Nchi ya Dubai hasa katika maeneo ya Kiuchumi na Kijamii, kumekuwa na mijadala mingi, maoni, ushauri na hofu za Uwekezaji nchini...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alisimamisha Bunge kwa Dakika 25 "Atoa tuhuma NZITO maelekezo ya Waziri Mkuu, Mawaziri wakwama

    Mbunge wa Kisesa (CCM) Luhaga Mpina akichangia maoni yake kwenye makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa mwaka 2023/2024, Bungeni jijini Dodoma May 3, 2023, mchango huu ndio ulizua sintofahamu iliyomlazimu Spika kuagiza Mpina alete ushahidi.
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mpina alikuwa sahihi alivyomshutumu Waziri Mkuu kupuuzwa maagizo yake

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson amesema kuwa amejiridhisha na Mchango wa Mbunge wa Kisesa Mhe. Luhaga Mpina kuhusu maelekezo ya Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutofanyiwa kazi na watendaji wa jeshi la Hifadhi Dkt. Tulia amesema hayo leo June 28,2023...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Bandari imepewa DP-World kwa kuwa utendaji wa TICTS ni mdogo

    Akielezea suala linaloendelea kuhusu mkataba wa DP-World na Tanzania ametoa sababu kuwa ni utendaji kazi mdogo wa TICTS ambao umesababisha meli nyingi ziwe zinashushia mizigo Lamu, Mombasa au Afrika kusini hali ambayo imepunguza wateja wa Bandari ya Dar es salaam. Waziri Mkuu, Kassimu Majaliwa...
  15. Q

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu na Bunge wanataka kutafakari nini wakati walipitisha kwa 100%

    Nimemsikia Mbunge Lucy Mayenga akiwaomba wabunge wenzake watafakari upya kuhusu mkataba wa DP World. Wakati huo huo Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa amesema hawatapuuza maoni ya wananchi wanayotoa kuhusu huo mkataba. Hii tafsiri yake nini, ni kuwa Wabunge na WM wamegundua kosa lao, kuwa...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ninakuomba sana gombea urais wa Tanzania

    Kila mtanzania akichangia elfu 2 tu tutapata pesa ya kutosha kuendeshea na kununulia mashine za kisasa kuweza kuendesha bandari yetu badala ya kuwauzia warabu milele. Watanzania walioaminishwa na Hayati Magufuli kwamba wanaweza na nchi yao ni tajiri na wakaanza kujenga miradi ya matrillioni ya...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Kwako Waziri Mkuu: Suala la kuuza vyakula nje

    Napenda kumshukuru sana Mhe. Rais kwa kuufanyia kazi ushauri wangu nilioushauri kwa Waziri Mkuu mwezi February juu ya suala la kuuza vyakula nje. 👇 Kwa Waziri Mkuu. Farao hakuuza chakula nje kwa sababu nje kulikuwa na njaa, bali Farao aliuza chakula nje kwa sababu ndani kulikuwa na akiba ya...
  18. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Dkt. Slaa: Wapo viongozi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu

    Dkt. Slaa amesema wabunge wa CCM baadhi walichaguliwa kwa uchaguzi unaopatikana Tanzania tu, yaani uchaguzi wa kupita bila kupingwa, moja ya madhara ya kuwepo kwa jambo hilo ni kuzalisha idadi kubwa ya wabunge ambao ni wa chama kimoja (CCM). Kuwepo kwa wabunge wengi wa chama kimoja bungeni...
  19. Merekzedk

    JamiiForums Tanzania Historia ya Edward Moringe Sokoine

    Naombeni kujua historia ya waziri mkuu wa zaman Edwad sokoine
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania NEMC na JMAT wawaelewesha Viongozi wa Dini juu ya Sauti zilizozidi. Waziri Mkuu Majaliwa atoa Maagizo 8

    Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kwa kushirikiana na Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) leo 12 Juni 2023 wameendesha Kongamano la Kitaifa la Kujengewa uelewa kwa viongozi wa Dini na Kimila juu ya Athari za Sauti zilizozidi Viwango Katika Nyumba za Ibada...
Back
Top Bottom