waziri mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Napingana na Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda anayetaka Adhabu ya Kifo ifutwe

    Kwanini GENTAMYCINE nataka iendelee kuwepo na tena kama Watekelezaji wakiwa hawapo Mimi nipo tayari Kuwasaidia. 1. Adhabu ya Kifo inaokoa Gharama za Walipa Kodi katika Kuwatunza 2. Adhabu ya Kifo inasaidia Kuokoa muda kwa Watendaji wa Magereza Kuwatunza Wahalifu Wanaotaka a Kunyongwa 3...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu arejesha tena usafiri wa "Mchomoko" Simiyu

    Sasa ni rasmi ile biashara ya Magari madogo kubeba abiria katika mkoa wa Simiyu maarufu kama Mchomoko, imereja rasmi baada ya tarkibani miezi tisa tangu yazuiliwe kufanya kazi hiyo ndani ya mkoa huo. Hiki ni kicheko na furaha kubwa kwa wananchi wa mkoa wa Simiyu hasa vijana ambao walikuwa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aagiza Stendi Kuu Bariadi kutumika kwa mabasi makubwa na madogo

    26 Machi, 2023 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU AAGIZA STENDI KUU BARIADI ITUMIKE KWA MABASI MAKUBWA NA MADOGO WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza stendi kuu ya mabasi katika mji wa Bariadi mkoani Simiyu ianze kutumika kwa mabasi makubwa na madogo ili kuondoa usumbufu kwa abiria...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia na Waziri Mkuu wanunua tiketi 4000 mchezo wa Tanzania vs Uganda

    Picha: Rais Samia Suluhu Hassan Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa wamenunua jumla ya tiketi 4,000 za mechi ya kufuzu AFCON 2023 kati ya Tanzania na Uganda. Tiketi hizo zitagawiwa kwa mashabiki ili waende kushuhudia mechi hiyo itakayochezwa uwanja...
  5. Son of Israel from Africa

    JamiiForums Tanzania Tumezikumbuka Ziara za Waziri Mkuu Majaliwa hasa sehemu za Mikoani

    Habari za usiku ndugu wajukwaa, Kwanza niweke wazi, mimi ni kunguni na chawa mkubwa wa Kasimu Majaliwa Kasimu. Honestly nimekumbuka ziara zake huko Mikoani. Sehemu ambayo inanikosha ni pale tu kwenye kuzungumza na Watumishi wa Halmashauri na Mkoa Majumuisho Nafahamu Mh. Kasimu Majaliwa yupo...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa aahidi kuwasomesha Watoto wa Abdulaziz Ahmeid, Mwandishi wa Habari wa Channel Ten aliyefariki

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameahidi kuendelea kuwasomesha Watoto wa aliyekuwa mwandishi wa Habari wa Channel Ten, Abdul -Aziz Ahmed ambaye amefariki Dunia Machi 13, 2023 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Majaliwa ametoa ahadi hiyo wakati wa ibada ya...
  7. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Je, leo inaweza kuwa ndio ile siku? Ukweli halisi ni upi? Nini hasa kilitokea na kwanini tulijulishwa baada ya siku 5?

    Wanabodi Declaration of Interest Mimi Paskali sio GT, ila naweza kuandika contents kwa ajili ya ma GT only. JF ilipoanzishwa na Mkuu Maxence Melo na Mike Mushi, was meant to be a home of Great Thinkers!, Hili ni bandiko la maswali fikirishi kwa ma GT only!. Wewe kama ni mwenzangu na mimi, na...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu awataka vijana na wanawake kuchangamkia programu ya Imbeju ya benki ya CRDB

    Dar es Salaam 12 Machi 2023 – Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo ametoa rai kwa vijana na wanawake kote nchini kuchangamkia programu ya uwezeshaji kiuchumi iliyozinduliwa na Benki ya CRDB kwa kushirikiana na Tume ya TEHAMA (ICTC), na Tume ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kuboresha bunifu zao za...
  9. Rangooo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Waziri mkuu, vijana wa TAESA wanateseka toka January hawajapokea mshahara, tusaidieni jamani

    Sio uzushi, sio kwa makusudi naandika hivi sababu ni mhanga, January, February hatujalipwa ukizingatia mshahara ni 150,000/= tu, je hii ni haki jamani, na sio mara ya kwanza hii mshahara inachelewa sana kutoka na sisi ni binadam jamani ukizingatia baadhi ya maofisi wanakaa kimya hata senti...
  10. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa zamani wa Malaysia akamatwa kutokana na tuhuma za ufisadi

    Wachambuzi wa masuala ya kisiasa Nchini Malaysia wamesema kwamba kukamatwa kwa waziri mkuu wa zamani Muhyiddin Yassin, Alhamisi hakushangazi , lakini ni jukumu la serikali kuonyesha kwamba kesi dhidi yake ambaye pia ni mpinzani mkubwa siyo wa kisiasa. Muhyiddin alikamatwa kwenye makao makuu ya...
  11. chiembe

    JamiiForums Tanzania Kassim Majaliwa, Waziri Mkuu ambaye hajajishughulisha kuhakikisha Serikali inakuwa na taasisi imara, ilibaki na hali ilivyo (status quo)

    Waziri Mkuu Khasim Majaliwa, baadhi ya wanaomjua, bila mamlaka ya kufokafoka kama aliyopewa na Magufuli, uongozi ni changamoto kwake. Sasa kwa awamu hii, ni mifumo ndio inatakiwa kuwa na nguvu, ndio maana Rais Samia anasuka mifumo ya haki jinai. Sasa mifumo ya haki jinai itapunguza nguvu ya wale...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Lema: Nikimuona mtoto wa Waziri Mkuu Majaliwa au wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo nitaomba radhi

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA Lema amesema endapo atamuona mtoto wa Waziri mkuu mh Majaliwa au mtoto wa Rais Mwinyi anaendesha Bodaboda ndipo ataomba radhi. Lema amesisitiza Kuwa Bodaboda ni Kazi isiyofaa inayouwa na kuwapa ulemavu Vijana Wengi. Lema amenena haya kupitia ukurasa wake wa...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Majaliwa anabaniwa publicity na mfumo wa dola (TBC1 hairushi matukio yake mubashara lakini ya Waziri Mbarawa yanarushwa live)

    Kwa wiki kadhaa nimekuwa nikifuatilia chombo chetu cha habari cha Taifa TBC1 na kwa mtu mwenye akili timamu atagundua kuna namna fulani ya kumbania Waziri Mkuu wetu publicity. Wiki iliyopita alikuwa na ziara ya kikazi mkoani Songwe na kutembelea miradi mbalimbali ya maendeleo lakini matukio...
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wananchi wa Kibaha Vijijini kubomolewa nyumba zao, Mbunge asema anapeleka mashtaka kwa Waziri Mkuu

    Baadhi ya Wananchi wa Matuga, Kibaha Vijijini Mkoani Pwani wamelalamika uamuzi wa kubomolewa kwa nyumba zao pasipokuwa na taarifa huku wakidai kutokuwa na tamko rasmi la taarifa kutoka kwenye mamlaka. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wamedai zoezi hilo limefanyika Februari 5, 2023 na kutarajiwa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yafanyike au Baraza livunjwe ateuliwe Waziri Mkuu mpya?

    Mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yanakuja hivi karibuni katika kuongeza ufanisi. Mabadiliko hayo yanaweza yasiwe na tija au yakawa na tija, ila naamini mabadiliko hayo yakilenga kuvunja Baraza kumwondoa Waziri Mkuu yataleta ufa badala yake aachwe amalize miaka miwili ijayo. Bado sioni Waziri...
  16. Tajiri wa kinyankole

    JamiiForums Tanzania Sitokuja kumwamini hata kidogo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa baada ya kulidanganya taifa kuwa Magufuli ni mzima

    Cha ajabu na cha kushangaza serikali bado inamuamini kuwa ni mtu sahihi kuendelea kuwa waziri mkuu, ni bora mama angelivunja baraza la mawaziri akateua mtu mwingine wa kumsaidia kazi huyo majaliwa huenda anampotosha mama katika mambo mbalimbali kwani ameshaonekana ni mtu wa kusema uongo na nukuu...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Uingereza: Waziri Mkuu apigwa faini na Polisi kwa kutofunga mkanda wa Kiti akiwa ndani ya gari

    Ni Rish Sunak wa Uingereza Source: Sky news Hii kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haiwezekani ---- Waziri Mkuu wa Uingereza, Rishi Sunak amepigwa faini kwa kutofunga mkanda kwenye gari lililokuwa likitembea wakati akirekodi video kwa ajili ya mitandao ya kijamii. Polisi wa Lancashire...
  18. CK Allan

    JamiiForums Tanzania CCM yaagiza Serikali ya CCM kugawa vishikwambi Kwa walimu kama waziri mkuu alivyosema!

    This is ridiculous! Ndio unavyoweza kusema! Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu.. Anyway
  19. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania New Zealand: Waziri Mkuu atangaza kujiuzulu

    Jacinda Ardern (42) amesema ataachia ofisi kabla haijavuka Februari 7, 2023 kwa kuwa anahisi hana nguvu ya kutosha kuendelea kushika madaraka hayo. Ardern alikuwa kiongozi wa kwanza mwenye umri mdogo Mwanamke alipoteuliwa kushika nafasi hiyo akiwa na umri wa miaka 37 Mwaka 2017 kisha mwaka...
  20. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Nahisi wapo watu wana ugomvi na Waziri Mkuu wetu mchapa kazi hodari

    Nimekuwa nikipita humu mara kwa mara na threads nyingi zimekuwa zikimtakia au kumuombea mabaya Waziri wetu Mkuu mchapa kazi hodari mzalendo wa kweli asiyependa uzembe utokee popote, amekuwa akipigwa Vita na vya kimtandao wa kumuombea mabaya yamfike. Nadhani pengine hili linatokea baada ya...
Back
Top Bottom