Wanawake wa JF,
Husika na mada tajwa hapo juu.
Waziri Mkuu anahitajika kwa minajili ya kuisimamia serikali ili kuleta amani, upendo, furaha na maendeleo ndani ya familia ambayo Mungu atatujalia kuanzisha pamoja.
Naomba ifahamike kuwa nchi yeyote Ile duniaini ili ifanikiwe inahitaji serikali...
Nimependa kuona salam za Christmas's za viongozi wa Kitaifa. Ningependa kusikia kauli zao kuhusu upungufu wa maadili, kuongezeka mauaji, kero za huduma ikiwemo upungufu wa umeme.
Lakini bado sijaweza kusikia salamu zao rasmi. Au awajashiriki misa ya Christmas's? Au watazungumza nasi jioni...
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amekiri kuwa vita vya Gaza vinawagharimu sana wakati idadi ya vifo vya wapiganaji wa IDF ikiongezeka katika ardhi ya Palestina iliyozingirwa. Matamshi ya Netanyahu yamekuja baada ya IDF kutangaza kwamba wanajeshi 14 wa Israel waliuawa mwishoni mwa wiki...
Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Waaswa Kufanya Kazi kwa Kushirikiana
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera Bunge na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama ametoa wito kwa watumishi walio chini yake kufanya kazi kwa kutegemeana na kushirikiana bila kutengeneza makundi.
Ametoa rai hiyo Mkoani...
Kama hii picha ni ya siku za karibuni yaani baada ya Sabaya kutoka maabusu, basi watanzania tuna kila sababu ya kujawa na hofu kubwa kuhusu uongozi wa nchi yetu na mustakabali wa nchi yetu!
Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali.
Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s).
Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.
Kasim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa Makamu wa Rais Dkt Isdory Mpango ni mzima wa afya na yupo nje ya nchi kimajukumu.
Waziri Mkuu amesema kuwa watanzaia waachane na ule mtandao unaosema maneno ya ajabuajabu na wasiwe wasiwasi wowote Kwa kuwa Makamu wa Rais Dk. Mpango ni mzima na...
hanang
hata
jambo
kassim majaliwa
magufuli
majaliwa
majukumu
makamu
makamu wa rais
mochwari
mpango
mzima
ofisini
philip mpango
premier
rais
raisi
serikali
tayari
wahanga
wakati
wapi
wazirimkuu
yuko
yuko wapi
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa dini kuwaangalia zaidi vijana, akilitaja kama kundi ambalo liko hatarini zaidi kupata maambukizi ya virusi vya UKIMWI, huku akiwataka kuimarisha huduma za unasihi na malezi yenye mlengo wa kustahimili mabadiliko yanayotokana na utandawazi...
===
Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Chama Cha Mapinduzi (CCM), imeelekeza kupatiwa ufumbuzi wa haraka wa kero ya kukatika kwa umeme, upungufu wa mafuta ambao huwa unajitokeza ingawa si mara kwa mara na changamoto ya bei ya mazao ya kilimo.
Pia, katika kikao cha NEC kilichofanyika...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemhukumu Bahati Malila kifungo cha miezi sita jela baada ya kutiwa hatiani kwa makosa matano, yakiwamo kughushi cheti kilichoonyesha kuwa kimeletolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Pia Mahakama hiyo imemuachia huru mshtakiwa Godfey Mtonyo baada ya upande wa...
Na Elius Ndabila
0768239284
Habari wanajamii forumu. Ni muda sijaandika hapa Zaidi ya kusoma. Nilikuwa msomaji kidogo , kwa hiyo mkiona kuna makosa kwenye andiko basi mjue ni uzee.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Majaliwa amehitimisha ziara yake ya kikazi jana Mkoani Songwe...
Kuna Madai kuwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa maagizo anayotoa kwa mamlaka za serikali yanapuuzwa na hayatekelezwi na hivyo kumuondolea sifa ya kuendelea kuwa Waziri Mkuu na nimesikia baadhi ya watu wakiwashawishi wabunge kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye kwa kushindwa kusimamia majukumu ya...
Waziri mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa watoa huduma za kifedha wapunguze gharama za upatikanaji wa huduma za fedha zikiwemo riba na ada ili wananchi wengi watumie huduma za fedha zilizo rasmi.
Wito huo umetolewa leo (Jumatano, Novemba 22, 2023) wakati anafungua Wiki ya Huduma ya Fedha...
Hakika naona utendaji kazi mzuri sana.
Huna kelele lakini hupumziki na kazi zako zinaeleweka.
1. Hapo nyuma kukatika kwa umeme kulikuwa hakuna formula, sasa hivi angalau - japo kaza tena ili mambo yaende.
2. Hapo nyuma upatikanani wa mafuta ulikuwa wakusua sua. Na bei zilikuwa zinapanda...
Post
Ofisi ya Waziri Mkuu
@TZWaziriMkuu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Maaskofu Emaus Mwamakulwa wa Kanisa la Uamsho la Morovian (Kushoto) Askofu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe Benson Bagonza. Kulia ni Padri Dokta Kitima ambaye ni Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa...
Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana Ajira na Wenye Ulemavu Imetangaza Programu ya Kukuza Ujuzi Nchini inayowezesha nguvu kazi ya Taifa kupata ujuzi na stadi za kazi stahiki ili kumudu ushindani katika soko la ajira.
Ofisi imeingia makubaliano vyuo mbalimbali kutoa mafunzo mafunzo ya ufundi...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini amemuwakilisha Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa katika Halfa ya Uzinduzi wa Idara Jumuiya ya Maridhiano na Amani Tanzania (JMAT) iliyofanyika Novemba 8, 2023 katika Ukumbi wa Mikutano wa Karimjee Hall Jijini...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amepokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Waziri Mkuu wa Ethiopia Dkt. Abiy Ahmed uliowasilishwa kwake na Waziri na Mshauri – Sera wa Ethiopia Mhe. Taye Atske-Selassie Made mara baada ya kuwasili Ikulu, Dar es Salaam 6.11.2023.
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Kama ilivyo desturi ya watanzania wenzetu ambao 90% ni ya wale waliokimbia shule, hivyo kujikuta wanaangukia katika mikono ya wanasiasa uchwara ambao sasa hivi wanawatumia vijana hao kwa malengo yao (wanasiasa) na familia.
Wanasiasa hao wamekuwa wakiwatumia vijana...