Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri Mkuu wa zamani wa Singapore

Mto Songwe

JF-Expert Member
Jul 17, 2023
6,016
12,302
Ukiwa kiongozi wa nchi unapaswa kuwa vipi? Huyu hapa Waziri mkuu wa mwanzo wa Singapore Lee Kuan Yew akitoa somo kuhusu Singapore yake kwa ukali.

Hapa akiizungumzia SIA (Singapore Airlines na uongozi wake miaka ya 1980s).

Singapore Airlines sasa ni shirika bora la ndege duniani kote.

Mimi hata sijakuelewa. Kwani huyu yukoje? Mkali?

Kwa hiyo sasa tumlinganishaje na hawa wetu? Tuseme na Majaliwa awe mkali, au?

May be, ungetoa maelezo wewe kwanza kwa kadiri unavyomfahamu kulinganisha na wengine...

Kisha sisi wengine tutatoa maoni yetu msingi ukiwa ni Yale ya kwako..
 
Umemskiliza?
 
Hapa huyu Kiongozi wa Singapore alionesha kuwa nani ndio anatawala nchi Yao!! Hakuna kuonesha ulelege lege wa kuimba taarabu kwenye mambo ya msingi kuhusu maendeleo ya nchi! Watu wanaibia nchi na ushahidi wa CAG upo lakini Rais anacheka Cheka tu!!
 
Kiongozi aliye beba maono huwa hataki ujinga,hasa kwenye mambo ya msingi ya kujenga taifa lake.Mtawala siku zote huwa hana maono zaidi ya kuwaza madaraka tu.
kiongozi auwi watu, kiongozi hafungi watu jela kwa kisingizio cha uhaini, kiongozi afilisi matajiri ila anawabana kwa kutumia sheria ili walipe kodi, kiongozi arithishi mtoto wake madaraka ili amlinde na maovu yake, hayo yote huyo bwana kafanya,
 
huyo amekaa madarakani kuanzia 1959 mpaka 1990, mpaka alipoona mtoto wake anaweza kuongoza ndo akamwachia kiti, kwa hxo miaka yote hyo hakvkuwa na mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa pm ila yeye tu au?
 
Lee alimuua nani ? Alimrithisha madaraka mwanae ?
 
huyo amekaa madarakani kuanzia 1959 mpaka 1990, mpaka alipoona mtoto wake anaweza kuongoza ndo akamwachia kiti, kwa hxo miaka yote hyo hakvkuwa na mtu mwingine mwenye uwezo wa kuwa pm ila yeye tu au?
Acha kuongea uongo Lee hakumrisisha madaraka mtu yoyote yule
 
kiongozi auwi watu, kiongozi hafungi watu jela kwa kisingizio cha uhaini, kiongozi afilisi matajiri ila anawabana kwa kutumia sheria ili walipe kodi, kiongozi arithishi mtoto wake madaraka ili amlinde na maovu yake, hayo yote huyo bwana kafanya,
Wee jamaa haya umepatia wapi ?🤡
 
Back
Top Bottom