Wadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother...
Majobless mpo!? Naona Kila siku mnalia tamisemi zitatangazwa lini ajira , maana vijana wanasubiri ajira Hadi wanapata stress wengine ni walevi na yawezekana hata wengine wataingia kwenye dimbwi la dawa za kulevya...huku Leo waziri mkuu ametoa Rai Kwa tamisemi kuwaajira waliopona uraibu, sasa...
Siasa hizi jamani! Waliopona uraibu wa madawa ya kulevya waziri mkuu ametoa hoja tamisemi huko wapewe ajira ...vipi inawatazama vipi vijana ambao wanaelekea kutumia hayo madawa sababu ya kukosa muelekeo wa maisha...kumbe wanasuburi waharibikiwe alafu ndo waje watoe ajira Kwa wagonjwa
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema katika mwaka 2024/2025, Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 787 kwa ajili ya kukopesha wanafunzi 250,000 wakiwemo 80,000 wa shahada ya kwanza ambao ni wapya.
"Maandalizi ya awali yameanza ikiwa ni pamoja na kusambaza mwongozo wa upangaji na utoaji...
WAZIRI MKUU MAJALIWA APONGEZA HATUA ZA UFUTAJI WA LESENI NA MAOMBI YA LESENI YASIYO NA SIFA
-Aagiza maeneo hayo kupewa wachimbaji wadogo na wawekezaji walio tayari
-Ampongeza Waziri Mavunde kusimamia zoezi la ufutaji Leseni
-Aagiza TAMISEMI na MADINI kukaa kutatua ongezeko la tozo za...
Ndugulile atachaguliwa kuwa Mkurugenzi wa WHO ukanda wa Afrika
Makonda ataenda kugombea ubunge jimbo la Kigamboni atashinda
sakata la sukari litamfanya Rais kuvunja baraza la mawaziri
Makonda atapendekezwa kuwa waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na bunge litamthibitisha kuwa...
Waweka Saini Makubaliano ya kuzalisha 570 MW za Kiwanda cha Umeme wa Maji Safi katika Taifa la Himalaya
Juni 2024
Mwenyekiti wa Kundi la Adani, Gautam Adani, amekutana na Waziri Mkuu wa Bhutan Tshering Tobgay na kutia saini ya Makubaliano na Druk Green Power Corporation ya nchi hiyo kwa ajili...
Tanzania is a country with great potential for economic growth and development. However, in order to achieve significant progress in the next five to ten years, there are several key areas that need to be addressed.
First and foremost, the government must prioritize investment in...
Wanaofanya kazi Ofisi ya Waziri Mkuu, Makamu wa Rais , Ofisi ya Rais wanabidi wawe na vigezo gani au elimu gani? ajira zao zipoje?
Elimu yao au taaluma zao?
Ajira wanaombea wapi?
Karibuni tujadili tuwasaidie vijana wenye Ndoto hiyo_ kwa uwazi
Wanabodi,
Naangalia Bunge live asubuhi hii, kusubiria hotuba ya hali ya uchumi, ndio nikakumbuka kumbe leo ni siku ya Alhamisi, ni siku ya maswali ya moja kwa moja kwa Waziri Mkuu, sasa naomba kuuliza, jee kuna uwezekano wa kukosekana kwa kambi rasmi ya upinzani Bungeni, kumepelekea kupunguza...
New Delhi [India], Juni 2024
Waziri Mkuu Narendra Modi amejibu jumbe mbali mbali za pongezi kutoka kwa viongozi wa dunia baada ya kuapishwa kwake kwa muhula wa tatu mfululizo.
Narendra Modi aliapishwa kuwa Waziri Mkuu wa India kwa muhula wa tatu mfululizo Jumapili katika sherehe ya kuvutia...
NAIBU WAZIRI MKUU BITEKO APONGEZA MIKAKATI YA KUINUA ELIMU DODOMA JIJI
- Ampongeza Mbunge Mavunde kwa ubunifu wa Teachers’ Breakfast Meeting
- Mbunge Mavunde agawa photocopiers kwa ajili ya uchapishaji wa mitihani
- Prof. Mkenda aanika mikakati ya serikali kwenye Elimu
- RC Senyamule aeleza...
Ni miaka 40 toka aondoke Hayati Waziri Mkuu Edward Moringe Sokoine,na ni miaka mitatu toka aondoke Hayati Rais John Pombe Magufuli, Viongozi awa wametuachia alama za Uongozi wao wa mfano kwa jinsi walivyokuwa na uadilifu na kufuatilia utendaji kazi huku wakikemea ulaji rushwa,ubadhirifu wa mali...
Jana nimeshangaa mno kuona watu wakitabiri, wakiomba na wakitamani Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atumbuliwe na Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na kauli yake ambayo hadi sasa sijaona ni wapi kakosea sana sana nimeona kapatia kabisa na alikuwa sahihi.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha yupo na wala...
Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa rasmi kutoka Congress
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyau atahutumia bunge la Marekani Congress hivi karibuni.
Mungu ibariki Israel
"Siyo sawa, aliyemkubwa na amfanye mdogo pia apate furaha kazini," Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko akizungumza katika Mkutano wa Kumi na Moja wa Kitaaluma wa Makatibu Mahsusi Tanzania uliofanyika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.
Mwendesha mashtaka mkuu wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, ICC, ametoa maombi ya kukamatwa kwa Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na kiongozi wa Hamas katika Ukanda wa Gaza kwa uhalifu wa kivita.
Mwendesha mashtaka, Karim Khan KC alisema kuna sababu za msingi za kuamini kwamba...
"Serikali inafanya kazi nzuri na kubwa kujenga miundombinu ya Elimu na kuhakikisha Elimu inafika nchini kote lakini kumekuwa na changamoto ya wanafunzi kutembea umbali mrefu hali inayopelekea Wanafunzi kupanga vyumba mtaani na Kuhatarisha Usalama wao.
Je, Serikali haioni umuhimu wa kuleta Sera...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka chini ya udhamini wa Tulia Trust iliyo chini ya Mheshimiwa Speaker wa bunge la jamuhuri ya muungano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.