wazee

Wazee Lake is a lake east of Black River Falls, Wisconsin, in the town of Brockway, Jackson County, Wisconsin, United States. The name "Wazee" means "tall pine" in the Ho-Chunk language. The artificial lake is the deepest lake within the state of Wisconsin, with a maximum depth of approximately 355 feet (108 m). The man-made lake was formed after the site was used as a quarry for taconite mining between the mid-1960s through April 1983. The quarry produced about 850,000 tons of taconite pellets each year. The mine closed in 1983 as a result of a crash of the domestic steel markets in the United States. When the mine was in operation, pumps removed about 800 US gallons (3,000 L; 670 imp gal) of water per minute from the quarry. Once these pumps were shut down, the quarry began filling with water.
The lake is now part of a county park known as Wazee Lake Recreation Area. The lake is a prime scuba diving destination because of its deep, clear water. Visibility averages between 30 feet (9.1 m) and 40 feet (12 m) during the summer months. There are also visible remains of mining operations underwater, such as roadways used for hauling equipment. Some features have been added to the lake, such as underwater platforms for training divers and fish cribs to improve habitat for the fish. Fish species within the lake include rainbow, brook, and brown trout, bluegills, suckers, catfish, walleye, warmouth, and smallmouth bass.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania TAHURI: Tumuunge mkono Rais Magufuli katika vita dhidi ya Corona

    Taasisi ya Haki za Binadamu, Tanzania Human Rights-Foundation (TAHURI) imetoa tamko la kuwataka Watanzania kuungana pamoja katika vita dhidi ya Shirika la Afya Duniani, WHO na Rais Magufuli huku likiwataka wananchi kumuunga mkono Rais wao. Akiongea na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ikumbukwe: Chanjo ya corona ina umuhimu wa pekee kwa makundi maalumu si kwa watu wote

    Mabibi na mabwana katikati ya misukosuko na gonjwa hili lililotukalia vibaya mno hasa sisi wenye migogoro yoyote mingine ya kiafya, wale wenzetu na sisi wenye umri 50+, pia wale wafanyao shughuli zao kwenye mazingira yenye hatari zaidi, kwa hakika ina fikirisha sana. Ikumbukwe kuwa hata huko...
  3. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame amejenga nyumba kwa wasio na uwezo wa kujenga makazi bora, wengi wao ni wazee.

    Kila aliyekabidhiwa funguo za nyumba alipewa na chakula cha kuanzia maisha. Kijiji kina huduma zote za jamii, kuanzia shule, hospitali, kituo cha Polisi, soko, umeme, maji na barabara.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Simba SC msiwazuge Mashabiki wala kuona Aibu. Mpelekeni Bernard Morisson kwa Wazee wa Yanga SC awaombe Msamaha afunguliwe

    Najua mnajitahidi mno Kuficha na kutengeneza kila aina ya Mazingira dhidi yake ila wenye Kuujua hasa Mpira wa Bpngo ( Tanzania ) na muda mwingi tunakaa nao hawa Wachezaji tunajua kuwa Yanga SC kupitia Wazee wao wamemroga vibaya mno Bernard Morrison na sasa ana Uvumbe kama Shipa fulani hivi. Na...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Wazee wa CCM muangazieni RC Kunenge, huyu baba ni Kiongozi

    Wazee wa CCM na vyombo vya ulinzi na usalama Muangazieni huyu RC wa DSM. Mimi namuona kuwa hazina ya U Rais baada ya Mh Magufuli. Nimnyenyekevu na ana hekima yakipekee sana huyu Mzee.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Soft Rocks, strong feeling songs -- tukutane hapa

    Habari wadau, Leo nimeandaa huu uzi makusudi ili watu tupeane nyimbo nzur za soft rocks au atrong feeling songs. Kwanza mjue soft rocks ni tofaut na pop music mfano watu wanahoji celine dion anaimba mizik aina gani pop au soft rock jibu ni kwamba anaimba zote japo anasifika sn kwa soft rocks...
  7. X-Agent

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Wazee waitikia wito wa uhakiki mafao

    Wazee wetu huko Mwanza wameitikia kwa nguvu kubwa ombi la serikali kuhakiki taarifa kwaajili ya malipo ya Mafao yao, Ushauri wangu ni wasiwasimamishe wazee wetu hivi kwa foleni waanzishe utaratibu ambao ni rafiki kwa afya na nguvu za wazee wetu.
  8. Mkogoti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haya Wazee wa connection mtuambie kuna habari gani huko Twitter Naona kuna raia kaliamsha tena dude

    Habari Wadau wa humu? Nisiwachoshe wala kuchoshana humu? Ipo hivi huko Twitter kuna connection zinatembea kwamba eti katika wale COVID19 kuna mmoja wao eti kaachia vitu vya dakika kadhaa akiwa anajirecord amepanda juu ya nini sijui? Nafikili ni mtu amepanda juu ya mtu, Sasa basi na jina lake...
  9. eliakeem

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa Kenyan News and Politics: Happy End/Beginning (2020/2021) of the Year Festival

    Bila shaka tumekuwa na kipindi kizuri cha takribani siku 360. Tumekuwa na tumepitia changamoto nyingi, lakini tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwenye rehema kwa kutuweka tukiwa salama. Nichukue fursa hii kuwatakia mapumziko mema ya mwisho na mwanzo wa mwaka.
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini Wazee wengi ambao walipata kuwa Maarufu na Matajiri nchini wakioa tu Wanawake wa 30's huugua na Kufa haraka?

    Mifano ya Kichwa changu cha Habari ipo mingi tu ndani na nje ya Tanzania ila kwa Tanzania naona hali hii inaongezeka kila Uchao tu na Kututishia.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Wazee wa Simba wamechoka

    Timu zetu za VPL zimejaa vijana wengi wanaocheza kwenye viwanja vibovu sana. Vijana hawa wanapambana ili kupata nafasi ya kucheza Simba na Yanga na pengine Azam na nje ya nchi. Simba kuna hela vijana wanafahamu hivyo lakini kinachowashangaza ni kuwaona wazee wengi kama Bocco, Ajibu, Onyango...
  12. yuda75

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wazee wa kuopoa mkishalewa halafu asubuhi mnajutia, hebu tueleze ulijutia nini?

    Mimi nilikuwa nimelewa basi kichwa kidogo hakikutaka mapumziko kabisa kila dakika network inasoma basi katika kupepesa macho na macho yakaona kilicho dhaniwa ni lulu kumb ni limao Basi mazingira yakawekwa vizuri kwenda kupumzishwa vichwa vyote Baada ya mapambazuko ya alfajiri nilijutaaa kabisa...
  13. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Mwisho wa mwaka huu ndio ushafika. Wengine huwa tunapambana mwaka mzima siku za mwisho kama hizi ndio tunapumzika. Wale wa road trips ndio wakati wetu huu kupiga masafa mafupi, marefu na ya Kati. Mwaka huu napiga mikoa ya kaskazini Tanga, Kili na Arusha. Je mwenzangu road trips zako wapi? Raha...
  14. Jembe Jembe

    JamiiForums Tanzania Jinsi DC Sabaya alivyomnasa Afisa Ugani na mtandao wa kitapeli wa Q NET alivyochota mamilioni ya watu

    HAI, KILIMANJARO Mkuu wa wilaya ya HAI, Mkoani Kilimanjaro Lengai ole Sabaya amemsweka ndani mtumishi wa halmashauri ya wilaya hiyo, Dominica Mwapombe kwa tuhuma za kuendesha mtandao wa kitapeli na kufanikiwa kujipatia mamilioni ya fedha kutoka kwa walimu kwa njia ya udanganyifu. Aidha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Mkurugenzi wa Kinga; Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee, Siku ya Maadhimisho ya Mtoto Njiti, tarehe 17 Novemba 2020

    Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema hadi kufika hapa siku ya leo, napenda kuwashukuru nyote kwa kuja, tunapoungana kwa ajili ya kuadhimisha siku ya mtoto njiti Duniani leo tarehe 17 Novemba 2020. Aidha ninayo furaha kuwa sehemu ya maadhimisho haya, jambo...
  16. Afande Fojuman

    JamiiForums Tanzania Ni route ipi rahisi kutoka Mwanza kwenda Ruvuma?

    Kwema wakuu, Nina safari ya kutoka mwanza kwenda Ruvuma, Ombi langu kwenu ni route ipi nikipitia itakuwa rahisi kwangu kufika uko? Pia ni mabasi yapi mazuri nitumie ili nipunguze gharama, maana vyuma vimekaza. Shukrani!
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya achuma hela Ulaya kwa kugema pombe ya kienyeji

    Ndio kama hivyo, jamaa ametoka kimasomaso kwa kugema "muratina" aina ya pombe ambayo huku sio halali. Wazungu wameichangamkia na kuachia dollars $$$$ Foreigners enjoy Muratelia drink in the UK MURATINA A Kenyan man is minting money in the UK by brewing and selling the locally produced...
  18. Liverpool VPN

    JamiiForums Tanzania Wale wazee wa BOXING (Dynamite Vs Joe Royce)nani mshindi leo

    ---- FUTA NYUZI HII ...... Moderator
  19. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Kilichoiponza CHADEMA ni kutosikiliza maoni ya wazee kama Lyatonga Mrema

    Duniani kote uende Ulaya, Amerika au Marekani ya Kaskazini wazee huwa ndio washauri na ndio huwa wanatoa maoni juu ya suala lolote muhimu juu ya mustakabali wa taifa au nchi yao. Mzee Lyatonga Mrema aliwaonya wapinzani msio na busara hasa CHADEMA na ACT Wazalendo kuwa JPM anatimiza yale ambayo...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa wazee walioshindwa kudumu kwenye mfumo wa siasa na sasa wanapelekwa mfumo unavyotaka

    1. Edward Lowassa - alikuwa na nguvu CCM , akawa na nguvu upinzani huku akihesabika Kama shujaa wa mabadiliko. Hakudumu kwenye huo ushujaa akakubali kurudi CCM hadhi yake ikaporomoka na sasa anafanya watu wanayotaka siyo yeye anayotaka. Kisiasa hana Tena ushawishi, anazeeka akiwa amepotea kwenye...
Back
Top Bottom