ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,019
- 3,880
Kwanza kabisa nitoe angalizo kwamba yote ninayoandika hapa sio facts ambazo unaweza kuziverify so tusome kama sehemu ya kupanua uelewa na sio kama taarifa RASMI.Conspiracy theorists ni watu ambao wanaangalia mtiririko wa matukio na kuyaunganisha kisha kutoa maelezo kwa kutumia ushahidi ambao una jithibitisha na kujipinga wenyewe ili kujustify theories zao.Baada ya kifo cha Rais wa Tanzania John Magufuli zimeibuka theories Tatu kubwa:
Baadhi ya issues ambazi ni pressing ilikuwa ni pamoja na kuwafutia mining rights baadhi ya wamiliki wa makampuni makubwa ya madini?Kukataa chanjo za korona,barakoa na kutoa takwimu
Hata ukitazama uelekeo wa uongozi wa Mama Samia unaona kabisa kwamba ilikuwa ni ONE man SHOW yaani JPM alikuwa ni LONE wolf.Ukizingatia kwamba kifo chake kilitanguliwa na kifo cha katibu mkuu kiongozi ambaye ndiye mtu wake wa karibu kuliko wote kuna zidi kufanya hizitheories ziwe na uzito hasa kwa wale wenye fikra pana.
Kwa kuwa kwetu sisi JPM sasa ni kama LEGEND na tunaweza kutengeneza simulizi zake na kuziwekea vionjo ili tuweze kuelewa zaidi kuhusu zama zake basi ni wakaribishe wale ambao wamekutana na theories mbalimbali mitandaoni kuhusu UONGOZI na KIFO cha JPM waziweke hapa ili tuweze kujipatia taarifa zaidi.
Angalizo.Hizi taarifa sio facts mpaka zithibtishwe ila kwetu sisi watu baki ni namna ya kuendelea kumkumbuka JPM na Nyakati zake.
- Theory ya kwanza ni ya wanaosema kwamba He was eliminated kwa sababu aligusa interest za watu
- Theory ya Pili inasema He eliminated himself baada ya kuona wanataka kumeliminate
- Theory ya Tatu inasema kwamba he eliminated kwa sababu ali overstay the office