Wazee wa masumbwi, ligi ya kick boxing inaendelea Azam

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
3,230
2,000
Vifuti, mateke ya kutosha, Mawashi, yoko na mai gel za kutosha,

Leo kutakuwa na mapambano sita, yote ntakuwa naupdate hapa

Michezo yote ina rounds Tatu

Pambano la Kwanza

Frank Moshi Vs Jafari Juma
Mshindi Jafari Juma

Pambano la Pili
Ally Said Vs Patna Ally
Mshindi, Ally Said

Pambano la Tatu
Sadam Ally Vs Kambi Juma

Mshindi. Sadam Ally kwa KO round ya kwanza

Pambano la nne
Kiziwa Mwambaka Vs Yusufu Nayano
Mshindi, Yusufu Nayano round ya pili KO

Pambano la Tano
Hussein Hashim Vs Hassan Abdul
Mshindi, Hussein Hashim, round ya pili KO

Pambano la Sita
Samir Salum(Nahodha wa Black panther) Vs Said Ally
Mshindi, Said Ally, KO Round ya 1
 

NAWATAFUNA

JF-Expert Member
Nov 14, 2019
8,783
2,000
Aisee ni hatarii.
Kanda ya ziwa hasa mkoa wa Mara kuna kick boxing wa maana kule.
Embu waende na kule kuanzisha michuano.
 

Utopologist

JF-Expert Member
Feb 17, 2021
325
1,000
Utopolo aingie kwenye haya mashindano, anaweza fanya vizuri maana mpira ameshindwa kabisa.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom