Wazee wa CCM muangazieni RC Kunenge, huyu baba ni Kiongozi

Rais ajae alikuwa Chato juzi kuchota busara za Msuluhishi wa Mgogoro wa uchaguzi wa znz wa 2020
 
Hii Tanzania ya sasa hatuhitaji kuwa na rais mwenye hizo sifa.
Labda kwenye ngazi ya familia tu anaweza kukubalika.

Tumechelewa kwa sababu ya viongozi wanaona aibu kuchukua hatua kwenye madudu, yanayofanywa wasaidizi.
 
Anyway.....tuitafute background yake.....ktk familia yake kuna yeyote aliyeshiriki kumsaidia Jk Nyerere wakati wa kudai uhuru kama vile kutoa pesa nk..nk
 
Wazee wa CCM na vyombo vya ulinzi na usalama Muangazieni huyu RC wa DSM. Mimi namuona kuwa hazina ya U Rais baada ya Mh Magufuli. Nimnyenyekevu na ana hekima yakipekee sana huyu Mzee.
Naunga mkono hoja. Uongozi anaujua. Approach yake huwa ni kuelewesha na kuelekeza. Kuna wakati utafikiri ni mwalimu.
 
Back
Top Bottom