Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 30,808
- 59,323
Baada ya ajali ya moto uliochoma shule Kagera jana kuua watoto 10 na kujeruhi 7 wa kati ya miaka 6 - 10 ππ (May their little souls Rest in Heaven πΌπΌ)
Naomba kuwauliza wanajamii wenzangu, je ni wakati gani kama mzazi/mlezi unaweza sema "It can't be helped. Mtoto NI LAZIMA aende boarding school."?
Ina maana tunakosa kabisa namna ya kuendelea kuishi na watoto wetu majumbani, chini ya uangalizi wetu wakaenda shule asubuhi na kurudi jioni kiasi cha kuwakimbiza boarding school wakiwa bado wadogo sana? Tukishawakimbiza boarding school katika umri huo mdogo, ni lini utapatikana muda wa kukaa nao na kuwajenga kihisia, kitabia na kiakili kama wazazi?
Hatuoni kama tunawapunja sana hawa watoto? Ama hata sisi wenyewe kwa kutoshiriki kikamilifu katika ukuaji wao?
πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ