Wazazi wenzangu mnaofuga huwa mnafanyaje inapotokea Mfugo Mama yupo kwenye heat?

FYATU

JF-Expert Member
Dec 7, 2011
5,392
4,468
Kwa kizungu tunaita "embarrasment, haswa kwa tabia za hawa mifugo aina ya Mbwa.

Afadhali hata kwa Kuku maana walau Mtoto mdogo huweza kufikiri tu hawa kuku wanapigana ila sasa ndio pale upo mahali na Watoto wako mmekaa mara linakuja kundi kubwa la Mbwa "wapo harusini" au hata hapo nyumbani kama mnafuga Mbwa.

Hebu wenye maarifa/mbinu tushirikishane ni nini kama mzazi ninachopaswa kufanya inapotokea hali kama hiyo maana changamoto ni pale unapoona Watoto wanavyowakodolea macho.
 
Ahahahaaa, heat za mbwa huwa ni kwikiwiiii, mfungie ndani tu mchana kwa kuepusha watoto kuona shughuli. Usiku mwachie akagegedwe tu...
 
Mbwa hata awe mkali kiasi gani ukikuta kanata wanakuwa wajinga sana, unaweza fanya tukio mpaka ukamaliza anakuangalia tu
 
Hahaha...ila mbwa bhana

Huwa nafurahia pale dume linapopiga tako

Kuna muda dume huwa linacheka kabisa kwa utamu

Zikinasiana sasa
 
Hata ndio yaleeee mzazi anaekataza watoto wasicheki picha za ngono na mifugo inafanya ngono hadharani nayeye anakenua meno , mm cna maneno najua karamu itamwaga wino
 
Mbwa hata awe mkali kiasi gani ukikuta kanata wanakuwa wajinga sana, unaweza fanya tukio mpaka ukamaliza anakuangalia tu
Kuna Mzee anafuga Mbwa, sasa Wezi wakaja na Mbwa jike aliye kwenye heat...basi yale Mambwa yakawa bize Wezi wakakomba kila walichohitaji.
 
Kama Mzazi ukishaona dalili za Mambo kuharibika, maana lazima hao Wanyama wako wataanza kuonyesha dalili basi unahakikisha wanafungiwa.
 
Hapo kama uko shamba, dawa yake ni kuhamia mjini tu. Huku mjini magari tu yatakusumbua.
Kuhama nyumba kisa mifugo hiyo itakuwa kazi....na pia mifugo kama Mbwa si hufugwa sana mjini tu?.

Tena kuna hawa 'stray Dogs' wanaozagaa mitaani....sasa waweza kuwa unafanya matembezi ya kawaida na Wanao mara mnakutana na kundi kubwa la Mbwa wapo harusini.
 
Nakuelewa lkn sijawahi kuona hiyo hali hapa Oysterbay.
Kuhama nyumba kisa mifugo hiyo itakuwa kazi....na pia mifugo kama Mbwa si hufugwa sana mjini tu?.

Tena kuna hawa 'stray Dogs' wanaozagaa mitaani....sasa waweza kuwa unafanya matembezi ya kawaida na Wanao mara mnakutana na kundi kubwa la Mbwa wapo harusini.
 
Uwe unawaambia ukweli watoto kwamba nini kinaendelea tena unaenda mbali zaidi kwa kusema hata ninyi mlikuja duniani baada ya mimi na mama yenu kucheza kamchezo kama kale
 
Uwe unawaambia ukweli watoto kwamba nini kinaendelea tena unaenda mbali zaidi kwa kusema hata ninyi mlikuja duniani baada ya mimi na mama yenu kucheza kamchezo kama kale
Duh, wewe waweza kufanya hivyo?.
 
Back
Top Bottom