wazazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. justin mwanshinga

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Wanafunzi Kidato cha Tano na vyuo ni kilio kwa Wazazi masikini

    Na Mwl Matete Siku tatu zilizopita serikali ilitoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha tano na vyuo mbalimbali, kilichowastua wengi ni namna uchaguzi huo ulivyofanywa. Wazazi wengi wanalia hasa wale masikini ambao hawana uwezo wa kuwapeleka watoto wao shule binafsi...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Azory Gwanda watuma barua kwa Rais Samia Suluhu Hassani

    04 June 2021 Baada ya kauli za kupingana kati ya ile ya waziri Prof. Palamagamba Kabudi wa serikali ya Tanzania alipohojiwa na BBC Swahili na ya msemaji wa Mkuu serikali ya Tanzania Dr. Hassan Abbas kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari Azory Gwanda hapo mwezi November 2017. Msemaji wa...
  3. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Je, umelelewa na Mzazi Walimu, maisha yalikuwaje?

    Habari, Wote wazima, okay. Kama mada inavyosema, Je, mmoja wa wazazi wako alikuwa ni mwalimu au ni mwalimu, Je kipindi unasoma Hali ilikuwaje hapo nyumbani!?
  4. B

    JamiiForums Tanzania Wazazi wakanyeni watoto wenu,mtawazika kwa kujihusisha na ujambazi

    Jana nilipitia taarifa ya Jeshi la Polisi Dar kuhusu ujambazi na kukamatwa kwa majambazi. Lakini leo nimeambiwa kuna vijana wanashiba bangi wanajipanga hadharani kwenda kuiba huku mchana kutwa wakiwa kwenye bar na vijiwe vya bangi wakibugia vilevi. Niwaomba wazazi, msiwalazimishe Polisi...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Wazazi wa leo ni kama huyu je, tuendelee Kuwekeza katika Elimu za Watoto wetu ili waje kuwa na Maendeleo yao na Faida kwa Taifa?

    Leo nimedokezwa kuwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wanafanya Mtihani wa Moko sijajua kama ni kwa Taifa zima au labda ni kwa baadhi ya Shule tu. Nikiwa katika zunguka zunguka yangu nimekutana na Mzazi Mmoja wa Kike akifanya Tukio moja ambalo kutokana na kwamba namjua vyema lakini limenishtua pia...
  6. Masumbwe The Boss

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa kisasa ni changamoto kubwa sana kwenye malezi

    Nimekuja kibiashara hapa mjini kahama nikaona si mbaya nifikie kwa jamaa yangu ambaye tunatoka sehemu mmoja anaishi na familia yake hapa hatimaye nimefika amenipokea vizuri nashkuru ukweli yuko vizuri hongera zake mambo si haba kapanga apartiment nzima anausafiri istoshe ni mwajiriwa wa kampuni...
  7. F

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu: Mwanamke ama Mwanaume kama huna hela wewe ama Wazazi wako utaoa/kuolewa na maskini mwenzako

    Habari wadau. Nipo sehemu moja napata moja moto.. kuna jamaa katusua kapanda cheo kazini huko auditing firm moja kubwa , yupo early 30s anadai muda wa kuoa umefika, anadai lazima aoe mwanamke mwenye kipato kama chake ama amzidi yeye mwanaume kipato.. maana watu wanapenda sana kuvuna...
  8. Ben Zen Tarot

    JamiiForums Tanzania Shinyanga: Mwanafunzi ajitoa ujauzito kwa kijiti

    Mwanafunzi anayesoma kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Uzogole Manispaa ya Shinyanga (jina limehifadhiwa), amedaiwa kujitoa ujauzito kwa kijichokonoa na kijiti, ili aendelee na masomo. Imeelezwa mwanafunzi huyo alipata ujauzito huo wakati akiwa nyumbani akisubiri matokeo ya kidato cha...
  9. Kurzweil

    JamiiForums Tanzania Ethiopia: Mzozo wa Tigray kutenganisha Watoto na Wazazi wao

    Shirika la hisani la 'Save the Children’ limesema zaidi ya watoto 5000 watenganishwa na wazazi wao kutokana na mapigano yanayoendeleo jimboni Tigray. Shirika limeeleza watoto hao wako katika hatari ya kupata njaa, kunyanyasika kimwili na kingono. Mashariki ya kibinadamu yameshindwa kufikia eneo...
  10. Extrovert

    JamiiForums Tanzania Wazazi hebu leteni maoni yenu hapa

    Ikiwa mzazi ambaye anamuwazia mazuri mtoto akimaliza elimu yake ya juu kwa atatumia mahela kibao kugharamia elimu ya mtoto ila by the end! 1. Mtoto anatakiwa akanunuliwe mashine ya popcorn aiweke stand aanze kuuza bisi! 2. Anunue mashine ya kukamulia juisi ya miwa na glass! 3. Aanze kuuza uji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yaongeza umri wa Utegemezi kwa Wazazi kutoka miaka 18 hadi 21

    Rais Samia amesema kuanzia sasa umri wa mtoto atakayeruhusiwa kuwa mtegemezi kwa wazazi ambao ni wafanyakazi umeongezwa kutoka miaka 18 hadi 21. Hivyo mtoto wa miaka 21 atanufaika na marupurupu ya utegemezi kutoka kwa mzazi wake mathalani matibabu. Kazi Iendelee!
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wazazi wa Mbunge Bashiru Ally, PhD

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano. Nimetafuta historia ya huyu mtu mwenye akili nyingi sijaipata kikamilifu. Naomba kwa mwenye kujua walikozaliwa wazazi wake anijulishe tafadhali. Nikiangalia sura yake naona inafanana kiasi fulani na Paul Kagame au inafanana na watu wa Rwanda.
  13. Mboka man

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nakwenda kutambulishwa kama mchumba ukweni

    Baada ya mgogoro na kelele za muda mrefu za lini utakuja kwetu kujitambulisha mara nyumbani hawanielewi kila siku wananiuliza lini utakuja, mara unavyozidi kuchelewa unaniweka katika wakati mgumu sana haya ni maneno ya mtoto wa kike aliokuwa akiniimbia takribani miaka miwili tangu tuanzishe...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Mama Samia Suluhu wakumbuke watumishi wa CCM wanaoteseka kwa dhiki haswa wale wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM

    Naamini sijakosea kukuita Mwenyekiti mpya wa CCM, leo siku moja kabla ya uthibitisho wako. Naamini utakuwa ndiye tena kwa kura zoote, ni suala la muda tu. Mheshimiwa Mwenyekiti naomba nikueleze kuwa wako waliokuwa watumishi ndani ya CCM na hasa katika shule zilizokuwa chini ya Jumuiya ya...
  15. Mallia

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wazazi kukataa wachumba kisa ukabila ikomeshwe

    Hii tabia ya chafu ya kupeleka wenza nyumbani alafu wazazi wanamkataa mtu uliyempeleka imepelekea vijana wengi kuingia kwenye mahusiano ya ndoa na watu ambao sio machaguo yao na ndio maana ndoa za sikuhizi hazidumu, unakuta mtu ni mchaga basi kisa wazazi wake wanataka wachaga wenzao anamuacha...
  16. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Mtoto mwenye koti la rangi ya chungwa aliwapotea wazazi wake akiwa kwenye Shopping Mall

    Madhara ya kunyonyesha watoto mpaka wakianza kutembea. Haya miaka miwili dogo amenogewa na maziwa.
  17. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili za kawaida na tabia ambazo Wazazi wanaweza kuzitumia kuweza kutambua ikiwa Mtoto ana Mkazo/Stress

    Dalili za kawaida ni pamoja na Kupoteza hamu ya kula au kupata matatizo ya kumengenya Chakula ikiwemo maumivu ya mara kwa mara ya tumbo. Pia, kukosa umakini au Mtoto kuanza kujitenga na Marafiki/Wanafamilia mnapokaa pamoja Pia, Maumivu ya kichwa, shida ya kulala kama kushindwa kupata usingizi...
  18. Apollo one spaceship

    JamiiForums Tanzania Wazazi tuwe na hekima katika haya

    *Mtoto wako anakosea halafu mzazi unapanick unaanza kumkumbushia gharama zote ulizotumia kumsomesha.Umesahau kwamba kusomesha mtoto ni sharti kisheria.Mtoto hakulazimishi,bali sheria ndo inakufunga usomeshe hata kama Ni kwa gharama yoyote ile, kikubwa mtoto apate elimu bora.Wewe heshimu tu...
  19. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania Jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika

    Habari zenu waungwana wa humu JamiiForums. Jamani nyie waungwana, katika haya maisha jitahidi sana usiwe sehemu/sababu ya ndoa za rafiki zako kuvunjika. Hivi utasijikiaje ukiwaona watoto wanazurura mitaani baada ya wazazi wao kuachana kwa sababu ya uchonganishi wako? Kama ndoa inavunjika...
  20. mtimawachi

    JamiiForums Tanzania Wazazi wenzangu hili jambo tulitafakari,

    Hapa ninazungumzia suala la afya za watoto wetu hawa tunaowazaa. Inataka kuzoeleka sasa kwa watoto kuzaliwa wakiwa tayari wakiwa wameathirika na ukimwi licha njia mbalimbali za kitaalamu kuwepo.Sasa hivi mashuleni utakuta vitoto vidogo vinatumia dozi (ARVs) au ukipita CTC baadhi ya siku za jmos...
Back
Top Bottom