James Martin
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 1,206
- 1,509
Kampeni za mwaka zimeingia hatua mpya ya kuwalazimisha watoto kujiingiza kwenye kampeni za kisiasa. Mambo hayo yametokea huko Bukoba baada ya wanafunzi kushinikizwa kusimama barabarani kuupokea msafara wa mgombea wa CCM. Mimi kama mzazi nikigundua mwanangu kesho atakosa masomo kwa ajili hii nitamuamuru akae nyumbani ajisomee na kucheza na wenzake.