Nina rafiki yangu mmoja tumeshakuwa kama ndugu maana tulikutana a level mpaka chuo kikuu tuko wote na kitaa tupo wote. Sasa alioa mke wake sasa ni miaka 3 wako kwenye ndoa halali kabisa. Mkewe ni mnyaturu, shida inayojitokeza yule mkewe pia anafanya kazi.
Tatizo ni kwamba yule mwanamke anaishi...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, kumekuwa na ukatishaji ndoto kwa watoto na unyanyasaji mkubwa wa vipawa na machaguo ya watoto hasa pale wanapotaka kusoma au kufanya kitu ambacho mzazi anakichukulia ni duni au si kipaumbele chake.
Chukulia mfano mtoto aliyemaliza form four na akafahulu...
Katika Maisha yangu huwa kuna wakati nawalamu mno wazazi wangu , Walimu wangu na Serikali pia kwa Mfumo wa hovyo sana,
Katika Maisha yangu nilikuwa na Kipaji kikubwa sana cha kucheza Mpira, Wakati huo TV hazikuwepo tulikuwa tunawekewa mikanda ya mpira hasa World Cup na kwa sisi tulikuwa...
Kuna mke na mume wameanza mgogoro mkali ambao unatishia ndoa kuvunjika. Miaka miwili iliyopita walioana na sasa wana mtoto mmoja na wote ni waajiriwa wa serikali na wote wameanza kazi intake moja ila idara tofauti.
Wote wanatokea familia masikini ila familia ya mwanamke ina ahueni kidogo maana...
Habari wana jukwaa!
Binti mmoja alimuaga mama yake anaenda kutembelea maeneo ya kihistoria na marafiki zake. Mama yake alimjibu "safari njema mwanangu na Mungu awe nanyi"
Mtoto alimjibu mama yake "Mungu hawezi kuwa na sisi tumeshajaa tayari kwenye gari labda akae kwenye buti"
Huyo mtoto...
Wazazi wetu ni watu muhimu sana ambao hakuna ambae aliwaomba wamlete hapa duniani,kila mmoja alikuja duniani kwa sababu wazazi wake walitamani mtoto hivyo tumekuja duniani kwa mapenzi ya wazazi na sio mapenzi yetu.
Katika siku za karibuni kumekuwa na malalamiko mengi ya vijana tunaotafuta...
Siyo kwamba huwezi kufanikiwa ukiwa nyumbani, unaweza sana, ila kwa wengi inakuwa kikwazo kikubwa kwa sababu mbalimbali.
Kubwa ikiwa ni mazoea na uhakika wa maisha hata mtu ukishindwa. Kwa kuwa unajua upo nyumbani, huhofii sana kushindwa.
Wazazi na watu wa karibu watakuzuia usiondoke nyumbani...
Wazazi wengi mmekuwa kikwazo cha watoto wenu katika kufikia ndoto zao na malengo yao. wazazi wengi mnawalazimisha watoto wenu kufanya vitu mnavyovitaka nyie na sio wanavyovipenda wao .
Mnawanyanyasa watoto na kuwafanya waishi maisha ya kulazimisha sana katika jamii zao. Unakuta mzazi...
Na Mwandishi Wetu,
Busokelo-Rungwe
*Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha
Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe.
*Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao
Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
Kumpenda mtoto wako ni sawa hili halina shida na ndivyo inavyotakiwa lakini kumpenda mtoto mpaka ushindwe kumuonya au kumrebebisha tabia flani hili si sawa yaani mtoto unampenda kiasi mpaka anafanya mambo ya ajabu unaumuangali? Kuna wadada ndoa 4 kaachika na nje ya maisha ya kawaida hawezi...
MAMLAKA ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), imesema kuna kundi kubwa la watoto wenye jinsia mbili, lakini wanafichwa na wazazi, hivyo kushindwa kupatiwa matibabu.
Kutokana na hatua hiyo, jamii imetakiwa kuacha imani potofu na kutumia fursa zilizopo katika mamlaka hiyo, ili watoto...
Kuna mambo yanafanyika ila athari zake huja huonekana baada ya muda mrefu sana..Ukifatilia asilimia kubwa watoto wanakuwa na migogoro na baba zao kuliko mama zao. Yaani ukisikia mtoto ana bifu na mzazi mmoja au amemtelekeza, basi asilimia 99% ya mzazi aliyetelekezwa anakuwa ni Baba. Moja kwa...
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu, amepiga marufuku wakuu wa shule zote za serikali kutoza michango ya kujiunga na kidato cha tano zaidi ya Sh. 188,000.
Amesema mkuu yeyote wa shule atakayebainika kukiuka agizo hilo, hatua kali...
Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali.
Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume.
1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata...
Wale wazazi vijana wengine walipata watoto wakiwa vyuoni na kuingia katika soko la ajira wakiwa ni wazazi bila ndoa. Wenginge walitengana na wenza, wengine walifiwa hupelekwa.
Kama uwezo upo, hakuna asiyependa elimu nzuri kwa watoto wake. Wakina Junior wengi hupelekwa kusoma English Medium...
Wenslausi James (30) na Betha Kasimili (25), ambao ni wakazi wa kijiji cha Busongo kata ya Mwamashele wilayani Kishapu Mkoani Shinyanga, wamefariki dunia baada ya mwanaume huyo kujilipua kwa moto kwa kutumia mafuta ya Petroli, kwa madai ya wazazi wa mwanaume kumkataa mwanamke.
Kwa Mujibu wa...
Mitandao inaweza kwa mizuri kwa watoto katika masuala mbalimbali ikiwemo ya Shule, lakini inakuja na hatari mbalimbali ikiwemo uonevu wa mitandaoni (Cyberbullying)
Wazazi wanapaswa kufahamu kile Watoto wanaona na kusikia mitandaoni, watu wanaokutana nao pamoja na taarifa ambazo Watoto wanazitoa...
Wakuu poleni na majukumu ya siku ya leo. Nimekuwa nikifatilia mienendo ya wanafunzi wetu pindi wanapokuwa likizo nikajiridhisha kuwa watoto wengi wanaingizwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanaume wasio waadilifu. Kipindi hiki kuna wanafunzi waliomaliza Kidato cha Sita mtaani, wapo waliomaliza...
Nije moja kwa moja kwenye mada,
JKT walitangaza vijana waliomaliza kidato cha SITA kujiunga na mafunzo ya JKT kwa MJIBU WA SHERIA.
JKT walitoa maelekezo vitu wanavyopata kuwa navyo watoto, ajabu unamnunulia Mtoto hivo vifaa walivyotaja wao, baada ya Mtoto kufika kambini anakutana na vitu...
Nimetafakari gharama wanazoziingia wazazi kuwapeleka watoto ex form six JKT. Ni kubwa na mzigo usio na sababu ya msingi kwa wazazi masikini. Si chini ya laki mbili (200,000 Ths) kwa uchache. Hizi ni hela nyingi kwa mzazi wa vipato vya chini huko vijijini anaye-strugle kupata ada ya shule za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.