Hivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula. Haya maisha ni hatari

kikoozi

JF-Expert Member
Jun 24, 2015
2,030
2,929
Habarini ndugu zangu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 38, nina elimu ya degree ya mambo ya marketing kutoka chuo kikuu cha dasilamu (UDSM), nadhani nilisha eleza uko nyuma kuhusu baba yangu mzazi kunifukuza nyumbani kisa tu ataki nijishughulishe na mambo ya siasa, baada ya kunifukuza,

Nilimuoma anirudishie pesa yangu nilikuwa nimemkopa hapo kipindi cha nyuma, baada ya kuona anagoma kutoa pesa yangu nilimpeleka moja kwa moja kwenye ofisi ya kata kumshtaki, atimae alinipa pesa yangu na kuaminimbia nisije kukanyaga pale kwake, nilimuambia ntakanyaga maana pale ni kwetu kwaiyo hana mamlaka yeyote ya kunizuia, nikaenda kupanga chumba ila kodi ilikuja kuisha na mambo ayakukaa vizuri ndio nikamuomba rafiki yangu uyu nije kwao maana yeye ana chumba kizuri tu hapo kwao anakaa.

Siku za mwanzoni kabisa, uyu rafiki yangu kwao walikuwa wananiudumia vizuri kwenye swala la chakula cha asubuhi mchana na jioni, baada ya kupita miezi mitatu naona wamebadilika kabisa, wamekuwa ni watu wa roho mbaya sana, unaweza kuwa umetoka mizungukoni unakuja home chakula hakuna, unauliza wanakuambia hajapika

sasa juzi nimepishana maneno na baba yake, baada ya kuniuliza lini nitaondoka niliumia sana, nikamuambia baba unanifukuza, akasema noo anauliza maana bajeti haikai sawa kwenye nyumba yao, nilishangaa sana na kuuzunika sana, alipokuja uyu rafiki yangu nikamueleza kuwa mbona kwao naona kama dalili za kunifukuza , akasema nisijali

wakuu nimeshangaa sana ivi kumbe kuna watu ni wachoyo mpaka kwenye chakula aiseee, aya maisha ni hatari, watanzania tumefika uko

naombeni ushauri wenu nifanyeje ili niweze kurudisha system ya kama zamani kwenye hii nyumba ya uyu rafiki yangu wa kuwa nakula milo miatatu
 
Kama kweli una miaka 38 na unafanya haya, unahitaji msaada. Una tatizo la akili fanya kutafuta solution kabla hali haijawa mbaya sana.
Kama ni utani hakuna shida
 
Acha bange mkuu ushakuwa mkubwa 38? Dingi aliona mbali na hakuina faida yako sembuse hapo kwa rafiki yako?
 
Back
Top Bottom